Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
Ukiwa kiongozi mkuu wa nchi unakuwa "public property" milele. Unaingia katika mitaala ya jamii. Wanafunzi wanasoma habari zako kama sehemu ya masomo yao. Kina Shaka, Mansa Musa, George Washington, Otto von Bismark, Mangungo wa Msowero, n.k. wanajadiliwa hadi leo. Hawana anasa ya mapumziko si mbinguni wala kuzimu.Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.
Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.
Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Tatizo, hao uliwaotaja hawastahili kumkosoa Magufuli. They are unabashed opportunists with very shaky credibility statures.