Zitto Kabwe na Vicky Kamata mwacheni hayati Magufuli apumzike kwa amani huko mbinguni

Zitto Kabwe na Vicky Kamata mwacheni hayati Magufuli apumzike kwa amani huko mbinguni

Kwahiyo JPM "alipewa" adhabu ya kifo? Na nani? He, unajua Mme wa Vicky Kamata nae aliishafariki? Naye "alipewa" adhabu ya kifo? Na nani?
Wacha kupoteza nguvu nyingi kwa kutetea uzembe
 
Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.

Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.

Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Kwani wamesema nini? Hebu tupeni hapa maana si wote tuko Jamhuri kama za Twitter na Instagram
 
Comrade tulia watu wamwage nyongo zao.
Pia wafuasi wake tulieni dawa iwaingie.
Dah! Umemjibu vema sana. Kwani huyu mtu alipokua anatesa watu mbona wao walikua wanapiga kelele za kushangilia?
Tens Kwa taarifa yake magu hayupo mbinguni bali yupo motoni na anaejua ni mungu tu.
 
Huwezi kujibu hoja nzito ndio maana mmeshindwa hata kumsaidia Gaidi Mbowe. Sasa anasubiri kitanzi tu! Ninyi bakini kushughulikiwa kushughulikiwa utafikiri mamaako hashughulikiwi!
Gaidi ni mwana ccm mwenzenu Hamza na wewe unalijua ukiwa kama msaidizi wake.
 
Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.

Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.

Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.

Hivi kuna mbingu ya CCM?
 
Back
Top Bottom