Zitto Kabwe na Vicky Kamata mwacheni hayati Magufuli apumzike kwa amani huko mbinguni

Ukipakwa mafuta matakatifu kabla ya kifo unapata msamaha wa dhambi zako zote unazozifahamu na usizozifahamu.

Hayati Magufuli alipatiwa sakramenti hii na kardinali Pengo!

Hivi mbaendaga Kanisani kufanya nini nyingi!?
 
Huyo Vick afukuzwe chama. Msaliti na anamsemea mtu ambaye anajulikana. Hafai kabisa huyo Kamata
 
Ukipakwa mafuta matakatifu kabla ya kifo unapata msamaha wa dhambi zako zote unazozifahamu na usizozifahamu.

Hayati Magufuli alipatiwa sakramenti hii na kardinali Pengo!
Hebu nioneshe hiki ulichokisema kimeandikwa wapi ktk biblia takatifu, usilete vijitabu Vya kitapeli Vya mitaani tafadhali
 
Hivi hawa watu wako hai au walishakufa?
1.Hitler
2.Iddi Amin
3.Bokassa
4.Mobutu????
 
Katili kama yule awe mbinguni?!
 
Mbingu gani ?

Nikimkuta uko nitaomba kwenda jehanam
 
Waovu akina Hitler, Bokassa Idi Amin etc wanatajwa hadi hii leo na wataendelea kutajwa kwa miaka mingi sana ijayo. Kwani huyo dhalimu mwendazake ana umuhimu gani mpaka asitajwe? [emoji15][emoji15][emoji15]

Braza K alimaliza Kila kitu.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…