Na chai wanakunywa sana au unataka na picha?Kwahyo mpina na samia wapo vzur tu
Nilikua namkubali Sana, sijui NI kwamba hajui au anafanya makusudi nae kanunuliwaKwakweli nilishangaa sana na mpaka sasa bado nashangaa kuona Sheikh Ponda na uzalendo wake wote wa kweli alionao aliamua kutimkia ACT πππ
My 'like' is not endorsementBwana Zitto tangu akiwa chadema amekuwa akipata ufadhili wa kifedha wa Rostam. Uswahiba wao umeendelea zaidi hata wakati wa sakata la fedha za ESCROW ambapo zitto alikuwa upande wa Standard Chartered Hongkon yenye uhusiano na Rostam.
JPM hakumpenda zitto maana alimjua ipasavyo vile vile hakumpenda rostam sababu ya uwizi wake. Ila JPM aliwabana Rostam na Manji wakatubu kuwa wataacha wizi wa makaratasi. Bahati mbaya JPM akaanza kumkaribisha Rostam jirani yake. Haikuchukuwa muda akafa. Hii ni stori nyingine.
ACT ilianzishwa kwa ufadhiliwa Rostam na Lowasa na marehemu Filikunjombe. Kiliwekwa kama chama mbadala wakati wa uchaguzi wa 2015 ila mambo hayakutimia.
Luhaga Mpina ni swahiba wa zito na hata marehemu Filikunjombe. Rejea wakati wa Sakata la Escrow. Walikuwa wamoja.
Hivyo kwa hali ya sasa, zitto kwa kutumiwa na Rostam wamemuita mpina ku legitimize uchaguzi ili kumpa fursa Samia kuendelea kutawala.
Kimsingi akina Semu na Othman wameuzwa bila kujua. Zitto ni dalali.
Zitto ana malory ya kusafirisha mafuta . Kayapataje huyu wakati alitoka UDSM na jozi moja ya viatu???Matapeli ya kisiasa hayo!
Sintashangaa kukuta kwenye mashahidi wa siri wa kesi ya Lisu, Zito ni mmojawapo.Zitto ana malory ya kusafirisha mafuta . Kayapataje huyu wakati alitoka UDSM na jozi moja ya viatu???
Inawezekana kabisaSintashangaa kukuta kwenye mashahidi wa siri wa kesi ya Lisu, Zito ni mmojawapo.
Inawezekana kabisaSintashangaa kukuta kwenye mashahidi wa siri wa kesi ya Lisu, Zito ni mmojawapo.
Huyu Bwana huwa ana amini ana AKILI kuliko watu woteInawezekana kabisa
Dini inanguvu na inaondoa uwezo wa kufikiri.ndugu zetu linapokuja swala la kum support muslim mwenzake au msabato mwenzake nyie wengine wote atawaona vikaragosi.Kwakweli nilishangaa sana na mpaka sasa bado nashangaa kuona Sheikh Ponda na uzalendo wake wote wa kweli alionao aliamua kutimkia ACT πππ