Zitto Kabwe ni Asset ya Rostam Aziz ya Muda Mrefu Kimsingi Kawauza Wenzie wa ACT

Yote kwa yote huo udalali wake wa kiasiasa anadalalia uko Tanganyika sio Zanzibar
 
ZZK na FAM walizigeuza siasa biashara huku wakiwatoa kafala wenzao kama mtaji
 
Maalim angekuwa hai leo angeondoka ACT. Kipindi anaenda ACT alikuwa anamjua Mbowe vizuri kuwa ni dalali wa siasa wa muda mrefu . Alishauriwa na viongozi wa dini kumuamini zitto na kwa kuzingatia hali halisi ya zanzibar. Ila leo angeondoka na pengine kuanzisha movement mpya. Rip Maalim.
 
Zitto kadhooifisha siasa za upinzani Zanzibar, baada ya wanachama wa CUF kujiunga ACT nguvu yao ilikwisha kabisa, na baada ya Seif kufariki stori za mamlaka kamili Zanzibar ni history tu sasa.
 
Maalim alirip February na Shujaa March 🐼
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…