Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Hahahaha, Chief mbona unapumua kwa shida sana? Unafiki wake nini hapo?Nafiki kubwa hili likafie huko mbali sisi tunahitaji solutions na siyo umbea tu kwenye Miranda ya kijamii
Jadili hoja mezani usiangalie imetoka kwa nanii??Nafiki kubwa hili likafie huko mbali sisi tunahitaji solutions na siyo umbea tu kwenye Miranda ya kijamii
Hi ndio hoja aliotoa?Mwanasiasa ni mtu asie na uhakika na ubongo wake anategemea matukio ya wakati huo
Maneno ya chadema kuwa alitumwa na raisi wa awamu ya nne yanaweza kuwa ya uhakika maana kadili watu wanavyo tolewa na kuwekwa watu wa aina fulan ambayo watu wanaona ni awamu ya NNE zitto nae anaunga mkono bila kujali atashambuliwaje
Wanafeli sana jamaa, ni kama walivyoanza kumtukana Nape na hoja yake ya mikopo ya awamu ya 5 badala ya kumjibu kwa hoja zakeJadili hoja mezani usiangalie imetoka kwa nanii??
Tumuamini nani sasa Bwashee?Usimwamini Mwanasiasa Yoyote by Zitto Kabwe!
Inawezekana hoja isiwe hiyo ila nimejaribu kufwatilia mwenendo wakeHi ndio hoja aliotoa?
Mungu tu!Tumuamini nani sasa Bwashee?