Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
zitto kabwe ni mwanaume kwelikweli .anahimili vishindo vyote ! Amepitia majaribio mengi ya hatari lakini hutamuona amepanikii !Pale mnaposema tumemmaliza mnajaribu kuweka sherehe mtakuta asubuhi yupo ! Anazijua siasa za ushindani ,Hana mihemuko Anaimalisha chama chake kimkakati.jembe analovuta halimfanyi alaumu wengine ,Hana matusi! Ni muungwana !! Wenzetu wa ufipa wako pale pale kwenye siasa zisizo badilika za matusi kashfa na kejeli. Wanamuangalia zito kama msalitii. Kila jambo analofanya kwao ni mapovu tu! Hawamtaki na hawampendi hata kumuona! Hawataki astawi !
Wale jamaa wangekuwa wanatoa pumzi basi ya zitto wangeisitisha! Labda wangetamani mabaya yamkute lakini mungu sio mwanadamu.
Jamaa wa ufipa walishawahi kuongoza Kambi rasmi ya upinzani Bungeni! Waliwahi kufikisha wabunge 100 na zaidi bungeni , walikuwa wanapata ruzuku isiyopungua m 200 Kwa mwezi wakati huo zitto na chama chake walikuwa na mbunge mmoja tu yaani Zitto mwenyewe .
Lakini mpaka Leo chama Chao hakina aseti yoyote! Wala kitega uchumi chochote! Hawana hata Costa ya kubeba wanachama!
Ufipa walipokuwa na nguvu walipata wadhamini wengi wa ndani na nje ya nchi wao waliwekeza kwenye anasa na mbwembwe Mahali pa kwenda Kwa gari wanaenda Kwa helkopta.
Sidhani kama wanamiliki hata kipande Cha ardhi popote tz. CCM ukongwe wao unaongozwa na utajiri wao hata wakitoka madarakani Leo wanavitega uchumi lukuki hawatateteleka ,wanamajengo ya kupangisha ,Wana ofisi Kila mkoa na wilaya ,Wana ardhi Kila mkoa Wana shule na vyuo. Ufipa hawapendi kuambiwa ukweli kwamba zama zenu zimekwisha !!
Hawana jengo lolote iwe la bawacha ,bavicha au chama Kwa ujumla wake! Walipata ufadhili wa pick up nyingi sana na pesa kibao Leo zile pick up haijulikani zimepaki wapi ! Kama wangewekeza Kwa kujenga vitega uchumi vya chama Leo wasingekuwa wanapambania ruzuku ya wabunge 19 mahakamani !
Ukubwa wa chama chochote ni vitega uchumi endelevu .Leo mnashinda humu kumtukana zitto wa juzi hapa na tayari Wana ofisi ya maana kabisa.
Nafsi haziwasuti hata kidogo siku nyingine mkipata wafadhili mpunguze anasa jengeni vitega uchumi ,msipofanya hivyo mtaendelea kuwachukia akina zitto Kwa kuwaita CCM B ! Wakati mlipewa nafasi mmeichezea.
Na wadhamini mtawezaje kuwashawishi tena ? Mtujibu maswali yetu sio kutukana Kila mtu haya karibuni Kwa mitusi yenu!!