Zitto Kabwe ni genius apewe heshima yake, ninyi Ufipa mtujibu kwanza maswali yetu haya


CCM inamiliki miradi kwasababu za kihistoria, na kuwepo kwake madarakani. Siku wakitoka madarakani, miradi yake yote itakufa kama vilivyowafia viwanda na mashirika ya umma. CCM haina uwezo wa kushindana kwenye mazingira sawa, itakuwa kama viwanda vya umma vilivyowafia baada ya ujio wa soko huria.
 

Unahitaji kupimwa akili. Eti hawana asset, Kama hujui kitu kaa kimya. Halafu ni mapito gani Zitto amepitia?. Wenzake wamepewa kesi za ugaidi na dunia nzima ikatangaziwa na Rais kuwa Mbowe ni gaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…