Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenzao uyoHivi ni kweli Serikali ya Awamu hii inamuogopa Mh Zitto Zubberi Kabwe !!?.
Kuna jambo gani nyuma ya Pazia !?
Huwa najiuliza,Hivi kazi yao ni kulinda RAIA na Mali zao au kuwanyanyasa RAIA?Mh Zitto, tunakupongeza na kukutia moyo kwa kuwa this much daring dhidi ya watesi wa raia wasio na hatia yoyote.
Mungu atatenda at some point am sure!
PumbaSoon atakuwa kwenye mikono salama asitutishe na uchawi wake uchawi haujawahi kumsaidi MTU
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
JIBU NI "B"Huwa najiuliza,Hivi kazi yao ni kulinda RAIA na Mali zao au kuwanyanyasa RAIA?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh Zitto, tunakupongeza na kukutia moyo kwa kuwa this much daring dhidi ya watesi wa raia wasio na hatia yoyote.
Mungu atatenda at some point am sure!
Yajayo yanafurahisha, serikali inachekesha na vyovyote vile, mjipange, hawajakurupuka.Mh Zitto, tunakupongeza na kukutia moyo kwa kuwa this much daring dhidi ya watesi wa raia wasio na hatia yoyote.
Mungu atatenda at some point am sure!
Wee mwache ajimwambafai wam lissuHivi ni kweli Serikali ya Awamu hii inamuogopa Mh Zitto Zubberi Kabwe !!?.
Kuna jambo gani nyuma ya Pazia !?
Tangu ayeyuke pale jukwaani mwanza akiteremka huku chini anasubiriwa nilimwogopaSoon atakuwa kwenye mikono salama asitutishe na uchawi wake uchawi haujawahi kumsaidi MTU
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzao uyo