Zitto Kabwe: Njooni mnikamate mimi mnihoji, mnaogopa nini? Wacheni kuwaonea Watanzania wengine kwa ajili yangu

Zitto Kabwe: Njooni mnikamate mimi mnihoji, mnaogopa nini? Wacheni kuwaonea Watanzania wengine kwa ajili yangu

Ujue Serikali ina mikono mirefu. Inapomkamata mtu lazima ijiridhishe kweli kweli. Acheni kabisa kuleta dharau kwa Serikali. Kila Mamlaka imewekwa na Mungu.
Mfalme wa kwanza wa Israeli hakuwekwa na Mungu ndiyo maana walipata taabu sana

Hivyo kuna mamlaka mbovu ambazo zimekuja wala mkono wa Mungu hazina
 
Mh @Zitto, tunakupongeza na kukutia moyo kwa kuwa this much daring dhidi ya watesi wa raia wasio na hatia yoyote.
Hupaswi kumpongeza,unapaswa kuntia shime afanye kosa litakalomtia hatiani aone kama hatakamatwa
Zitto ni mwanasiasa muoga sana na dhaifu,anawatumia watu kufika malengo yake huku yeye amejificha na kuwaacha wakitaabika
Halafu anasema njooni mnikamate,akukamate nani wakati hujaingia kwenye 18?Fanya kosa tu dogo uone kama utaogopwa au la
 
nina uhakika wa 100% hujaielewa thread..... umekurupuka!
 
Na siku ya Christmas kuna mtu ataenda kushiriki ekaristi takatifu huku akijua yeye ni sadist.
Zitto huwa hashiriki Ekarist kamanda.
Yeye ana mganga wake alikowapelekaga akina Shonza na Ben Saanane
 
Kwa maneno mengine sasa vijana waache kutumika na huyu bwana....mwami huwaga unafikiria kweli kabla ya kuongea au ndio kukurupuka tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"----'you don,t worth the battle anymore.'"

They probably "found (his) weakness" rather than 'weekness'.

Unapokuwa na matatizo ya lugha kiasi hiki, kwa nini uitumie hiyo lugha na huku ipo tunayoielewa sote vizuri tu?

Kama hawajui kwamba Kabwe is 'not worth the battle,' kwa nini usiwadokezee wewe unayejua kwa maana inaelekea unaifahamu vyema mienendo ya Mh Zitto Kabwe. Ya nini wewe unayejua uendelee kunyamamizia huku watu wa pembeni ya Zitto, wasiokuwa na makosa waendelee kuumizwa? Wewe haya yanayoendelea yanakufurahisha kwa vipi!
Kwanza heshima yako.

Pili ahsante kwa kukirekebisha kingereza changu kibovu.

Tatu sifurahishwi na kinachoendelea japo namna Zitto anavudili na kinachoendelea ndio kinachinifanua nimuone uwezo wake kwenye siasa umefikia mwisho.

Nne, namna pekee ya kudili na upuuzi huwa ni kuupuuzia.

Tano, pamoja na kukosoa kwako kote nimeshukuru kwamba umejua mantiki ua mchango wangu kwenye uzi huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom