Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Pigieni kura mgombea mwenye nguvu iwe CHADEMA au ACT-Wazalendo

Akiwa mkoani Ruvuma, Manispaa ya Songea mjini akiwahutubia maelfu ya watani zangu wale ambao ukimwachia mke wako dakika mbili ujue imekula kwako Zitto zuberi Kabwe amesisitiza lengo ni kuiondoa CCM madarakani hivyo wananchi wakiona mbunge wa CHADEMA ana nguvu eneo husika apigiwe kura huyo na wakiona wa ACT wazalendo ana nguvu apigiwe kura huyo

Akiwasha moto kwa watu wa manispaa ya Songea mjini,Zitto kabwe amesisitiza kuwa watu wa Songea ni watu wa mabadiliko sana ingawa hapo awali nguvu kubwa ilitumika kuzima mabadiliko hayo hapo Songea

Zitto anasema watu wana maisha magumu kila wilaya alizopita yaani wako taabani hawana pesa mifukoni wala hawajui kesho yao

Ikumbukwe muasisi wa Taifa hili na mtu makini kama Rashid Kawawa alitokea Songea,Rashid Mfaume Kawawa alijulikana kama Simba wa vita hii ni kutokana na uongozi wake bora katika vyama vya wafanyakazi enzi za ukoloni
View attachment 1586916

Kawawa aliwatikisa wakoloni na kuwashikisha adabu alipoamua kuhamishia nguvu zake za kuandamana na vurugu bila kuogopa nguvu ya mkoloni kwenye uhuru wa Tanganyika na kumuunga mkono mwalimu Nyerere.
 
Hakika mkuu,halafu anachonifurahisha zaidi ananadi sera za CDM katika suala la uraisi. kiukweli Zitto anafanya kazi kubwa, hii combination lazima ma ccm washindwe haraka.

..Ndiyo maana Msajili anahaha kuzuia ACT na CDM wasitangaze ushirikiano wao.

..Na naamini Msajili anajua kwamba hawajavunja sheria ila na yeye anataka kujikosha kwa CCM.
 
Akiwa mkoani Ruvuma, Manispaa ya Songea mjini akiwahutubia maelfu ya watani zangu wale ambao ukimwachia mke wako dakika mbili ujue imekula kwako Zitto zuberi Kabwe amesisitiza lengo ni kuiondoa CCM madarakani hivyo wananchi wakiona mbunge wa CHADEMA ana nguvu eneo husika apigiwe kura huyo na wakiona wa ACT wazalendo ana nguvu apigiwe kura huyo

Akiwasha moto kwa watu wa manispaa ya Songea mjini,Zitto kabwe amesisitiza kuwa watu wa Songea ni watu wa mabadiliko sana ingawa hapo awali nguvu kubwa ilitumika kuzima mabadiliko hayo hapo Songea

Zitto anasema watu wana maisha magumu kila wilaya alizopita yaani wako taabani hawana pesa mifukoni wala hawajui kesho yao

Ikumbukwe muasisi wa Taifa hili na mtu makini kama Rashid Kawawa alitokea Songea,Rashid Mfaume Kawawa alijulikana kama Simba wa vita hii ni kutokana na uongozi wake bora katika vyama vya wafanyakazi enzi za ukoloni
View attachment 1586916

Kawawa aliwatikisa wakoloni na kuwashikisha adabu alipoamua kuhamishia nguvu zake za kuandamana na vurugu bila kuogopa nguvu ya mkoloni kwenye uhuru wa Tanganyika na kumuunga mkono mwalimu Nyerere.

Hawa ilipaswa kuvaana nao head on tu.

Kucheza ngoma zao za mahepe haisaidii.

Kwa kucheza ngoma zao yaani kufuata wanavyotaka hatuwezi kutoboa. Ikumbukwe ngoma zao zimewekwa kuhakikisha CCM inashinda hata ikibidi kwa wizi!
 
atakuwa ni jiwe tu huyo!!

..siyo Jiwe.

..ingawa Zitto mwanzo aliamini kwamba Jiwe anaweza kuwa na nia nzuri na Tanzania na wapinzani.

..ila baada ya TL kushambuliwa ndipo Zitto akagundua kwamba they are being confronted by a brutal monster.
 
Kig
Akiwa mkoani Ruvuma, Manispaa ya Songea mjini akiwahutubia maelfu ya watani zangu wale ambao ukimwachia mke wako dakika mbili ujue imekula kwako Zitto zuberi Kabwe amesisitiza lengo ni kuiondoa CCM madarakani hivyo wananchi wakiona mbunge wa CHADEMA ana nguvu eneo husika apigiwe kura huyo na wakiona wa ACT wazalendo ana nguvu apigiwe kura huyo

Akiwasha moto kwa watu wa manispaa ya Songea mjini,Zitto kabwe amesisitiza kuwa watu wa Songea ni watu wa mabadiliko sana ingawa hapo awali nguvu kubwa ilitumika kuzima mabadiliko hayo hapo Songea

Zitto anasema watu wana maisha magumu kila wilaya alizopita yaani wako taabani hawana pesa mifukoni wala hawajui kesho yao

Ikumbukwe muasisi wa Taifa hili na mtu makini kama Rashid Kawawa alitokea Songea,Rashid Mfaume Kawawa alijulikana kama Simba wa vita hii ni kutokana na uongozi wake bora katika vyama vya wafanyakazi enzi za ukoloni
View attachment 1586916

Kawawa aliwatikisa wakoloni na kuwashikisha adabu alipoamua kuhamishia nguvu zake za kuandamana na vurugu bila kuogopa nguvu ya mkoloni kwenye uhuru wa Tanganyika na kumuunga mkono mwalimu Nyerere.
Kigoma yenyewe wamemgundua ni tapeli wa siasa, anachofikilia ni upigaji tuuu.
Kumbuka alivyoenda Benki ya Dunia alisema anazuia Mikopo ili Serikali ya CCM isije ilaonekana nzuri kwa Wananchi, na baada ya Serikali ya CCM kutekeleza Miradi na kuona hana sera za kuwadanganya Wananchi akaatunga Sera akaenda nazo kwa Waganga wake wakazipiga yamini ya kupumbaza Wananchi alivyopanda jukwaa akaunadi utekelezaji wa CCM.
 
Hivi mgombea mwenye nguvu utamjuaje kwa kumkodolea macho tu au kwenye sanduku la kura?

Chadema na ACT wazalendo wameanza kuchanganyikiwa wanataka watu wapige ramli
 
Akiwa mkoani Ruvuma, Manispaa ya Songea mjini akiwahutubia maelfu ya watani zangu wale ambao ukimwachia mke wako dakika mbili ujue imekula kwako Zitto zuberi Kabwe amesisitiza lengo ni kuiondoa CCM madarakani hivyo wananchi wakiona mbunge wa CHADEMA ana nguvu eneo husika apigiwe kura huyo na wakiona wa ACT wazalendo ana nguvu apigiwe kura huyo

Akiwasha moto kwa watu wa manispaa ya Songea mjini,Zitto kabwe amesisitiza kuwa watu wa Songea ni watu wa mabadiliko sana ingawa hapo awali nguvu kubwa ilitumika kuzima mabadiliko hayo hapo Songea

Zitto anasema watu wana maisha magumu kila wilaya alizopita yaani wako taabani hawana pesa mifukoni wala hawajui kesho yao

Ikumbukwe muasisi wa Taifa hili na mtu makini kama Rashid Kawawa alitokea Songea,Rashid Mfaume Kawawa alijulikana kama Simba wa vita hii ni kutokana na uongozi wake bora katika vyama vya wafanyakazi enzi za ukoloni
View attachment 1586916

Kawawa aliwatikisa wakoloni na kuwashikisha adabu alipoamua kuhamishia nguvu zake za kuandamana na vurugu bila kuogopa nguvu ya mkoloni kwenye uhuru wa Tanganyika na kumuunga mkono mwalimu Nyerere.
ACT Wazalendo & CDM watamfanya mtu apate kiharusi sasa. Hasa pale sheria inapotumia neno "coalition meaning temporary alliance" na wala siyo "cooperation meaning working hand on hand". Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa na wala haviusiani kabisa.

Pia kanuni hazizuii mgombea wa chama kimoja kumpigia debe wa chama kingine, ndiyo maana Augustine Mrema anampigia debe mgombea wa CCM. Kwa kuwa ni sahihi kabisa kwa Zito kusema adui ni CCM, hivyo ktk nafasi inayogombewa yule mwenye kuonekana ndiye mwenye ushawishi na nguvu miongoni mwa vyama hivi viwili wananchi ndiyo wampigie kura.

Naiona strategy nzuri ilivyopangiliwa na vichwa vyenye akili kubwa, wakati Tundu Lissu akipumzika kwa muda, macho na masikio yote ya Watanzania yatageukia sasa kusini mwa nchi yetu wakimsikiliza Zitto Kabwe. Shujaa mwingine ambaye anaanza kutoa nondo zake akiwafundisha wapigakura.

Upande wa Zanzibar, maji yameshazidi unga. CCM ni lazima katika mchezo huu mpira muutafute kwa kurunzi. Bakini na sera zenu za maendeleo ya vitu wakati shahuku ya wapigakura ni maendeleo yao ili hali zao za maisha ziwe bora zaidi.
 
ACT Wazalendo & CDM watamfanya mtu apate kiharusi sasa. Hasa pale sheria inapotumia neno "coalition meaning temporary alliance" na wala siyo "cooperation meaning working hand on hand". Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa na wala haviusiani kabisa.

Pia kanuni hazizuii mgombea wa chama kimoja kumpigia debe wa chama kingine, ndiyo maana Augustine Mrema anampigia debe mgombea wa CCM. Kwa ni sahihi kabisa kwa Zito kusema adui ni CCM hivyo ktk nafasi yule mwenye kuonekana mwenye kati ya vyama hivi wananchi ndiyo wampigie kura.

Naiona strategy nzuri ilivyopangiliwa na vichwa vyenye akili kubwa, wakati Tundu Lissu akipumzika kwa muda, macho na masikio yote kwa Watanzania vyarakuwa kusini ya nchi yetu wakimsikiliza Zitto Kabwe. Shujaa mwingine anaanza kutoa nondo zake akiwafundisha wapiga.

Upande wa Zanzibar, maji yameshazidi unga. CCM ni lazima katika mchezo huu mpira muutafute kwa kurunzi. Bakini na sera zenu za maendeleo ya vitu wakati shahuku ya wapigakura ni maendeleo yao ili hali zao za maisha ziwe bora zaidi.
Babu piga spana hats aliyekuwa anaota hataki kuja siku akatoa shikamo,Itabidi Sasa she Kama raia kukusalimu.
 
Back
Top Bottom