Zitto Kabwe: Sherehe za Mapinduzi za leo ndiyo za mwisho kwa Rais Magufuli ambaye anamaliza muda wake wa Urais Oktoba mwaka huu

Kweli kinywa!! Unapata wapi umahiri wa kuyatamka maneno kama haya?? Zitto, unaweza kututhibitishia maono yako kuhusu huu mwisho??
 
Zitto atulie dawa iingie.

JPM for life
 
Zitto atulie dawa iingie.

JPM for life
Zitto mwenzio anakula bata tu mbona.

kama ni dawa inawaingia kina Nape, Mwigulu, January, Kinana, Makamba sr, nk ambao walikesha kuchonga kinyago wakakiweka sebuleni lakini kimekuja kuwatimulia boys quarter (ghetto) huko dadeki!!
 
Zitto mwenzio anakula bata tu mbona.

kama ni dawa inawaingia kina Nape, Mwigulu, January, Kinana, Makamba sr, nk ambao walikesha kuchonga kinyago wakakiweka sebuleni lakini kimekuja kuwatimulia boys quarter (ghetto) huko dadeki!!
Zitto ni state agent anaye play minds za wasojielewa
 
Chaka...za

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viwango vya ujinga, uoga na unafiki viko katika viwango vya juu sana katika jamii ya watanzania. Ukisoma thread na comments kwenye uzi huu utatambua yafuatayo:
1. Kuna utekaji
2. Uuaji
3. Ujinga wa kufikiri akiuuawawa au kupotea mtu ni makosa yake
4. Uungaji mkono uhalifu
5. Kujipendekeza kwa serikali na uongizo katika lolote ikiwa ni pamoja na matendo dhalimu ya viongozi
 
Kila anayetumikia uongozi wa kuchaguliwa katika AWAMU hii ya TANO, madiwani wa chama tawala, madiwani wa upinzani, wabunge wa chama tawala, wabunge wa chama Cha upinzani, spika wabunge na hata Rais mwisho wa kuhudhuria sherehe za mapinduzi Zanzibar NI mwaka huu 2020, maana yake NI kwamba mwakani 12/01/2021 watakaokuja kuhudhuria na sura ya viongozi wa AWAMU ya sitta, Ila Sasa viongozi wa Sasa hivi Kama wakija kuomba Tena uongozi na vyama vao vikiwapa ridhaa ya kugombea nyadhifa zao na wananchi wakija kuwachagua Basi watakuja kuhudhuria sherehe za mapinduzi za mwakani.kwa Hilo basi Zitto hajafanya kosa kusema hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakujawahi kuwa na mpasuko ccm...
Kielewe chama mkuu....
Mivutano ni ya kawaida na huwa inaifaidisha ccm.....
Membe lazima akagombee upande wa pili..
kwani Zitto kakosea wapi kwenye hili?

uchaguzi upo October 2020 na lolote linaweza kutokea ukizingatia huku ndani ya CCM yetu kuna mpasuko wa kufa mtu.... ninyi mlioko huko nje hamjui tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…