Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini mpuuzi usiwe ni wewe usiyejua nini kinaendelea?Mpuuzi sana huyu mtu,badala aseme kuwa mwaka huu ni wamwisho kwake kuwa bungeni anamsemea jpm,Nina uhakika act- haitapata hata diwani wa sawa,so zzk anahaha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hizo barabara zomejengwa na Lumumba co Ltd kama msaada?Mwenzio alishawaomba hadi wazee wa ujiji wamsaidie, wakampuuza. Ujiji leo barabara za lami na mataa kila kona. Watakuelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye masikio na asikie na mwenye macho na aone!Kweli kinywa!! Unapata wapi umahiri wa kuyatamka maneno kama haya?? Zitto, unaweza kututhibitishia maono yako kuhusu huu mwisho??
Jiwe alijua mwanaume atatetereka,haya sasa kapigia mstari!ZZK almaarufu Ayatollah ana wenge sana baada ya tathmini ya chama kuonesha chama kina bendera nyingi kuliko wanachama.
Haya buanaa! Heri yenyu wenye hayo macho na masikio. Wengine tumeziba
Kichwa cha uzi kinajieleza chenyewe.
Si kauli yangu bali ni ya mwanasiasa machachari kabisa mh Zitto ambayo kaitoa leo kupitia ujumbe wake wa twitter akimjibu JPM kuhusu kuhusika kwa TISS katika utekaji.
Ni kauli nzito ambayo inahitaji mikakati mizito sana kivitendo (NEC huru, nk) ili azma yake ifikiwe. Vyama vya siasa na taasisi huru zianze mikakati mapema maana 2020 yenyewe ndiyo hii.
CC Zitto, John Mnyika, nk, nk
Zitto mwenzio anakula bata tu mbona.Zitto atulie dawa iingie.
JPM for life
Endelea kuota mchana!
Zitto ni state agent anaye play minds za wasojielewaZitto mwenzio anakula bata tu mbona.
kama ni dawa inawaingia kina Nape, Mwigulu, January, Kinana, Makamba sr, nk ambao walikesha kuchonga kinyago wakakiweka sebuleni lakini kimekuja kuwatimulia boys quarter (ghetto) huko dadeki!!
Chaka...zaHiyo haiondoi ukweli wa kauli yake. Its true JPM hizi ni sherehe zake za mwisho kama presidaa.
Msimdanganye, maana yeye mwenyewe na mwawaziri wake, Wakuu wastaafu na viongozi waandamizi wa chama chake wanalijua hilo. Kuwa hii vita ta kupata Tume huru ikikamilika tuu basi mzee ajaze masanduku na mabegi yake kwenye ATCL Airbus kutanguliza nyumbani tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila anayetumikia uongozi wa kuchaguliwa katika AWAMU hii ya TANO, madiwani wa chama tawala, madiwani wa upinzani, wabunge wa chama tawala, wabunge wa chama Cha upinzani, spika wabunge na hata Rais mwisho wa kuhudhuria sherehe za mapinduzi Zanzibar NI mwaka huu 2020, maana yake NI kwamba mwakani 12/01/2021 watakaokuja kuhudhuria na sura ya viongozi wa AWAMU ya sitta, Ila Sasa viongozi wa Sasa hivi Kama wakija kuomba Tena uongozi na vyama vao vikiwapa ridhaa ya kugombea nyadhifa zao na wananchi wakija kuwachagua Basi watakuja kuhudhuria sherehe za mapinduzi za mwakani.kwa Hilo basi Zitto hajafanya kosa kusema hivyoKichwa cha uzi kinajieleza chenyewe.
Si kauli yangu bali ni ya mwanasiasa machachari kabisa mh Zitto ambayo kaitoa leo kupitia ujumbe wake wa twitter akimjibu JPM kuhusu kuhusika kwa TISS katika utekaji.
Ni kauli nzito ambayo inahitaji mikakati mizito sana kivitendo (NEC huru, nk) ili azma yake ifikiwe. Vyama vya siasa na taasisi huru zianze mikakati mapema maana 2020 yenyewe ndiyo hii.
CC Zitto, John Mnyika, nk, nk
Analazimisha mambo ili chati iongezeke kama walivyo ma celebrity wetuZZK almaarufu Ayatollah ana wenge sana baada ya tathmini ya chama kuonesha chama kina bendera nyingi kuliko wanachama.
Ila cha Ajabu hatakamatwa wala ya Tundu Lissu hayatamkuta... Sijui naye ni mtu wa system ndani ya upinzani
kwani Zitto kakosea wapi kwenye hili?
uchaguzi upo October 2020 na lolote linaweza kutokea ukizingatia huku ndani ya CCM yetu kuna mpasuko wa kufa mtu.... ninyi mlioko huko nje hamjui tu!
Za ccm ndio balaa ukitaka usidaiwe hela ya uchofu tundika bendera watapita na kukupongeza wakidhani ni mwenzaoZZK almaarufu Ayatollah ana wenge sana baada ya tathmini ya chama kuonesha chama kina bendera nyingi kuliko wanachama.
Kama CCM ilivyo na wauaji wengi kuliko wanachama halaliZZK almaarufu Ayatollah ana wenge sana baada ya tathmini ya chama kuonesha chama kina bendera nyingi kuliko wanachama.