Zitto Kabwe: Sherehe za Mapinduzi za leo ndiyo za mwisho kwa Rais Magufuli ambaye anamaliza muda wake wa Urais Oktoba mwaka huu

Zitto; hebu mloge huyo mshamba. Kama vipi sema tukuchangie.
Ndio hapa huwa siamini uchawi hivi wachawi wote wa sunbawanga na wale wa DRC tymeshundwa kumtoa huyu jamaa?? Sasa wale wachawi wanaojidai uchawi wa Tv wako wapi??
 
Kwani bado mna amini kauli za huyo dogo? Boya tu huyo labda umachachali wa uongo uongo. Nimekaa na Waha sehemu flani wengi wao(sio wote) wana vitabia kama vya Uzitto wa Kabwela,hovyo sana.

macson
 
iko wazi kabisa
 
Mwambie awasikilize hawa wakina mama wa Zanzibar. Magufuli Baba Lao, kwa safi kabisaa!!!
 

Attachments

  • VID-20200112-WA0049.mp4
    14 MB
Niliwahi kumfanyia tathmini ndogo huyo ZWAZWAK(ZZK)na kumuona ana moyo wa hasira,kauli za matusi na dharau hata kujifanya mtu asiyejali matumizi ya busara na hekima ambayo ni amali kubwa kwa maisha ya Binadamu kama alivyoiomba Nabidi Suleiman kwa Mwenyezi MUNGU.
Lakini hali hii haimtokei kwa babati ama maamuzi ya upepo wa Kisulisuli, la hasha;bali,huyu kijana kavurugwa tangu pale wale "think tanks" walipomuacha kwenye "KIPE" chake cha ACT Wazalendo -Uanaharakati na kjiunga kwenye Chombo sahihi na imara cha CCM.Kwa kweli ni safu ya juu karibu yote ilimkimbia hata na baadhi ya Wanachama wake wenye akili zilizozamia uelewa.
Sasa hana pa kujishika,kamba zote zinateleza na mafuriko maji yanazidi kuongezeka kutokana na mvua za kisiasa kimaendeleo, zinazomiminwa na JPM.
Atabaki na matusi mdomoni.Ninakuhakikishia ZZK,jiandae kisaikolojia,Wanakigoma mjini kazi wanajiandaa kupa mwingine.Wanasema huna Hati miliki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuwasemea wana kigoma hawajakutuma na wana kigoma siyo wajinga wanajua mna Tabia mbaya ya kuwaonea watu
 
Wewe Kapuku Mtozeni ndio wa kumtisha Zitto !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…