Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,015
- 10,269
Anakazi ya kugawa wapiga kuraHivi kwanini huwa hawamkamati ZZK wanamwogopa eeh ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakazi ya kugawa wapiga kuraHivi kwanini huwa hawamkamati ZZK wanamwogopa eeh ??
Alishasema kuwa alikuwa anabeep tu. Kazi ile ni ngumu na angejua hilo toka mwanzo asingejaribu. Sasa ameshalijua hilo akae pembeni.
Ndio hapa huwa siamini uchawi hivi wachawi wote wa sunbawanga na wale wa DRC tymeshundwa kumtoa huyu jamaa?? Sasa wale wachawi wanaojidai uchawi wa Tv wako wapi??Zitto; hebu mloge huyo mshamba. Kama vipi sema tukuchangie.
Kwani bado mna amini kauli za huyo dogo? Boya tu huyo labda umachachali wa uongo uongo. Nimekaa na Waha sehemu flani wengi wao(sio wote) wana vitabia kama vya Uzitto wa Kabwela,hovyo sana.Kichwa cha uzi kinajieleza chenyewe.
Si kauli yangu bali ni ya mwanasiasa machachari kabisa mh Zitto ambayo kaitoa leo kupitia ujumbe wake wa twitter akimjibu JPM kuhusu kuhusika kwa TISS katika utekaji.
Ni kauli nzito ambayo inahitaji mikakati mizito sana kivitendo (NEC huru, nk) ili azma yake ifikiwe. Vyama vya siasa na taasisi huru zianze mikakati mapema maana 2020 yenyewe ndiyo hii.
CC Zitto, John Mnyika, nk, nk
Alisikika chapombe mmoja baada ya kushiba Mbege na ndafu.Teh teh teh!
Kichwa cha uzi kinajieleza chenyewe.

Wamkamate kwa kosa lipi? Kwani si kasema Ukweli iweje akamatwe?Hivi kwanini huwa hawamkamati ZZK wanamwogopa eeh ??
Acha kuwasemea wana kigoma hawajakutuma na wana kigoma siyo wajinga wanajua mna Tabia mbaya ya kuwaonea watuNiliwahi kumfanyia tathmini ndogo huyo ZWAZWAK(ZZK)na kumuona ana moyo wa hasira,kauli za matusi na dharau hata kujifanya mtu asiyejali matumizi ya busara na hekima ambayo ni amali kubwa kwa maisha ya Binadamu kama alivyoiomba Nabidi Suleiman kwa Mwenyezi MUNGU.
Lakini hali hii haimtokei kwa babati ama maamuzi ya upepo wa Kisulisuli, la hasha;bali,huyu kijana kavurugwa tangu pale wale "think tanks" walipomuacha kwenye "KIPE" chake cha ACT Wazalendo -Uanaharakati na kjiunga kwenye Chombo sahihi na imara cha CCM.Kwa kweli ni safu ya juu karibu yote ilimkimbia hata na baadhi ya Wanachama wake wenye akili zilizozamia uelewa.
Sasa hana pa kujishika,kamba zote zinateleza na mafuriko maji yanazidi kuongezeka kutokana na mvua za kisiasa kimaendeleo, zinazomiminwa na JPM.
Atabaki na matusi mdomoni.Ninakuhakikishia ZZK,jiandae kisaikolojia,Wanakigoma mjini kazi wanajiandaa kupa mwingine.Wanasema huna Hati miliki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msiba ndiye kigagula hatari ana waganga wa kienyeji wengi mno ni mshirikina kuliko wana ccm wote nchini
Moshi wa Ruangwaiko wazi kabisa
Wewe Kapuku Mtozeni ndio wa kumtisha Zitto !Niliwahi kumfanyia tathmini ndogo huyo ZWAZWAK(ZZK)na kumuona ana moyo wa hasira,kauli za matusi na dharau hata kujifanya mtu asiyejali matumizi ya busara na hekima ambayo ni amali kubwa kwa maisha ya Binadamu kama alivyoiomba Nabidi Suleiman kwa Mwenyezi MUNGU.
Lakini hali hii haimtokei kwa babati ama maamuzi ya upepo wa Kisulisuli, la hasha;bali,huyu kijana kavurugwa tangu pale wale "think tanks" walipomuacha kwenye "KIPE" chake cha ACT Wazalendo -Uanaharakati na kjiunga kwenye Chombo sahihi na imara cha CCM.Kwa kweli ni safu ya juu karibu yote ilimkimbia hata na baadhi ya Wanachama wake wenye akili zilizozamia uelewa.
Sasa hana pa kujishika,kamba zote zinateleza na mafuriko maji yanazidi kuongezeka kutokana na mvua za kisiasa kimaendeleo, zinazomiminwa na JPM.
Atabaki na matusi mdomoni.Ninakuhakikishia ZZK,jiandae kisaikolojia,Wanakigoma mjini kazi wanajiandaa kupa mwingine.Wanasema huna Hati miliki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Barikiwa sanaZitto; hebu mloge huyo mshamba. Kama vipi sema tukuchangie.