mtanganyika mpya
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 424
- 302
Hivi kwanini huwa hawamkamati ZZK wanamwogopa eeh ??
Mh. Zito ni mwanasiasa, na ametoa kauli ya kisiasa kuonyesha matamanio yake katka ulingo wa kisiasa katika uchaguzi utakaofanyika mwaka huu. Kauli yake imejaa ukweli kabisa kwa kuwa Rais aliyepo madarakani anamalizia kipindi chake kutokana na matakwa ya kikatiba.
Na ili apate kuwa tena Rais mteule wa baada ya uchaguzi kwa kipindi kijacho na kisha kuapishwa tena kuwa Rais wa JMT hana budi kufikia vigezo vifuatavyo;
1. Apitishwe tena na chama chake kugombea nafasi hiyo
2. Ashinde kupitia mchakato wa upigaji kura kwa kushindanishwa na wagombea kutoka vyama vingine vya ushindani
3. Ithibitike kuwa ana akili timamu na mwenye afya isiyotia shaka
4. Mpaka siku ya uchaguzi ajaliwe kuwa hai kwa kadiri Mwenyezi Mungu atakavyo na kwa mapenzi yake Yeye mwenyewe tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utacheka mpaka unye ila huo ndio ukweli pambaf! Wewe ni nani hadi ubishe wakati yeye mwenyewe anajua hivyo?Alisikika chapombe mmoja baada ya kushiba Mbege na ndafu.Teh teh teh!
kama ni ufeki nenda kajionee kule Chato.Unaweza ukahalalisha kila hoja kama Shida Ni possibilities na Potentiality. Unaweza Sema pia kwa Zitto nk. Point Hapo Ni nia na mahali na mazingira. Zitto anatapatapa. Kama ana uhakika huo Kwanini autamke. Ni dalili ya kushindwa na anaanza tengeneza mazingira ya kujitetea baadaye. Ubaya wa watu kama Zitto huwa hawawajibiki na maneno yao. He’s very fake. Sihitaji kuwaconvince how fake Zitto is. Just amueni tu kufuatilia Maisha yake. Utajiri Wake. Na hasa kipindi alichokuwa na cheo cha kamati ya Bunge.
Ni mtu wa system tangu zamani!anaandaliwa membe kuwa raisi kupitia ACT WAZALENDO!!jiwe hana nafasi tena ya uraisi 2020!!!Hivi kwanini huwa hawamkamati ZZK wanamwogopa eeh ??
Vita ipi ya tume huru?Hiyo haiondoi ukweli wa kauli yake. Its true JPM hizi ni sherehe zake za mwisho kama presidaa.
Msimdanganye, maana yeye mwenyewe na mwawaziri wake, Wakuu wastaafu na viongozi waandamizi wa chama chake wanalijua hilo. Kuwa hii vita ta kupata Tume huru ikikamilika tuu basi mzee ajaze masanduku na mabegi yake kwenye ATCL Airbus kutanguliza nyumbani tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzenu yupi ni mentaly sick?? Zitto ameanzwa lini?Uchaguzi mkuu wa rais na wabunge ni october au mwenzetu ni mentally sick hujui km kuna uchaguzi wa rais mwaka huu?
mimi nasema ndugu Tundu ANTIPAS Mughwai Lisu pamoja na Ndugu BEN RAIBU SANANE Walizuliwa na watu wa usalama wa taifa. asituchoshe huyo mshamba wa chatoZZK almaarufu Ayatollah ana wenge sana baada ya tathmini ya chama kuonesha chama kina bendera nyingi kuliko wanachama.