Zitto Kabwe: Sherehe za Mapinduzi za leo ndiyo za mwisho kwa Rais Magufuli ambaye anamaliza muda wake wa Urais Oktoba mwaka huu

Zitto Kabwe: Sherehe za Mapinduzi za leo ndiyo za mwisho kwa Rais Magufuli ambaye anamaliza muda wake wa Urais Oktoba mwaka huu

Mh. Zito ni mwanasiasa, na ametoa kauli ya kisiasa kuonyesha matamanio yake katka ulingo wa kisiasa katika uchaguzi utakaofanyika mwaka huu. Kauli yake imejaa ukweli kabisa kwa kuwa Rais aliyepo madarakani anamalizia kipindi chake kutokana na matakwa ya kikatiba.

Na ili apate kuwa tena Rais mteule wa baada ya uchaguzi kwa kipindi kijacho na kisha kuapishwa tena kuwa Rais wa JMT hana budi kufikia vigezo vifuatavyo;
1. Apitishwe tena na chama chake kugombea nafasi hiyo
2. Ashinde kupitia mchakato wa upigaji kura kwa kushindanishwa na wagombea kutoka vyama vingine vya ushindani
3. Ithibitike kuwa ana akili timamu na mwenye afya isiyotia shaka
4. Mpaka siku ya uchaguzi ajaliwe kuwa hai kwa kadiri Mwenyezi Mungu atakavyo na kwa mapenzi yake Yeye mwenyewe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Unaweza ukahalalisha kila hoja kama Shida Ni possibilities na Potentiality. Unaweza Sema pia kwa Zitto nk. Point Hapo Ni nia na mahali na mazingira. Zitto anatapatapa. Kama ana uhakika huo Kwanini autamke. Ni dalili ya kushindwa na anaanza tengeneza mazingira ya kujitetea baadaye. Ubaya wa watu kama Zitto huwa hawawajibiki na maneno yao. He’s very fake. Sihitaji kuwaconvince how fake Zitto is. Just amueni tu kufuatilia Maisha yake. Utajiri Wake. Na hasa kipindi alichokuwa na cheo cha kamati ya Bunge.
 
Zitto kauli zake hazina tofauti na mlevi wa mataputapu
Zitto huyu aliwahi kutangaza hadhari Rais kafa na kutoa tweet za kushangilia kila bada ya daki tano baadae akaja kufutabusemi wake
Ni wa kupuuzwa tu
HIZI NI SHEREHE ZA MWISHO ZA MAPINDUZI ZITTO AKIWA MBUNGE
 
Unaweza ukahalalisha kila hoja kama Shida Ni possibilities na Potentiality. Unaweza Sema pia kwa Zitto nk. Point Hapo Ni nia na mahali na mazingira. Zitto anatapatapa. Kama ana uhakika huo Kwanini autamke. Ni dalili ya kushindwa na anaanza tengeneza mazingira ya kujitetea baadaye. Ubaya wa watu kama Zitto huwa hawawajibiki na maneno yao. He’s very fake. Sihitaji kuwaconvince how fake Zitto is. Just amueni tu kufuatilia Maisha yake. Utajiri Wake. Na hasa kipindi alichokuwa na cheo cha kamati ya Bunge.
kama ni ufeki nenda kajionee kule Chato.
au Igoma Mwanza.
 
Mwaka huu Zitto asipokufa kwa Presha sijui? maana anaumwa Maguphobia
 
Hiyo haiondoi ukweli wa kauli yake. Its true JPM hizi ni sherehe zake za mwisho kama presidaa.
Msimdanganye, maana yeye mwenyewe na mwawaziri wake, Wakuu wastaafu na viongozi waandamizi wa chama chake wanalijua hilo. Kuwa hii vita ta kupata Tume huru ikikamilika tuu basi mzee ajaze masanduku na mabegi yake kwenye ATCL Airbus kutanguliza nyumbani tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Vita ipi ya tume huru?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ZZK almaarufu Ayatollah ana wenge sana baada ya tathmini ya chama kuonesha chama kina bendera nyingi kuliko wanachama.
mimi nasema ndugu Tundu ANTIPAS Mughwai Lisu pamoja na Ndugu BEN RAIBU SANANE Walizuliwa na watu wa usalama wa taifa. asituchoshe huyo mshamba wa chato
 
Back
Top Bottom