Zitto Kabwe: Simbachawene usipigane na teknolojia, huwezi kushindana na kazi ya kukua kwa majukwaa ya mazungumzo

Zitto kazi yake ni kujioendekeza kwa mamangi. Hawampendi matusi tani 200 lakini hachoki kujipendekeza kama mke mwenza
 
Hakuna kitu kigumu kama kupambana na wakati, ni ngumu sana ukishazeeka kurudi ujanani, unaweza kufosi kuwa kama kijana lakini hautachukua muda mrefu kabla hujagonga mwamba.

 
Unamaanisha yule Simba dhaifu wa Kibakwe?
Wapo wengine kibao,idodomya sijui walimkosea nini Mungu mpaka awape viongozi empty set ivo, huwezi kuzuia kitu ambacho watu wana alternatives lukuki endapo utaizuia hiyo wanayotumia.
 
M
Kupitia ukurasa wake wa Twitter bwana Zitto Kabwe amemuasa Waziri wa Mambo ya ndani bwana Simbachawene aache kuzuia social media kama space na Ch's badala yake yeye mwenyewe azitumie vizuri zitamsaidia kufikia watu

Jinga sana ajaribu aone anafikiri ni magazeti wanqyoyafungia wanavyotaka spaces meeting moja inakuwa na watu hadi 4000 sasa zuieni mikutano ya hadhara watu wanakutana huko hakuna cha siro wala mabomu ya machozi mtu yuko washington DC anashiriki na mtu aliyeko bumbuli naona ndicho kinachowauma mmezoea kuwafanya watu kama kware wa kufugwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…