ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
Achana na Mushi, anacheza karata-tatu.Watu kwa kuotea......yaani Zema kawa balille tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na Mushi, anacheza karata-tatu.Watu kwa kuotea......yaani Zema kawa balille tena?
Ndiyo mimi naweza kutathimini jinsi kelele zilivyoweza kubadilisha labda kama wewe huoni nitakuita kipofuHakuna mtu mwenye haja ya kumnunua Zitto, wa nini? Yeye ni mpiga makelele tu. Kuna anayeweza kutathmini objectively makelele yake tangu ayaanze yameweza vipi kubadilisha utendaji wa serikali?
Hivi Zemarcopolo kumbe ni Ballile?!!!! lini kaungana na mafisadi huyu? Na kwa faida ipi? ahhhhhhhhhhhhZitto mwenyewe ni member hapa hivyo ameisikia hii kauli yako na kwa ninavyofahamu hata yeye anaweza akawa anajuwa kuwa wewe ni Ballile...So anaweza kukujibu vizuri zaidi kwani mimi na wengineo tunakusikia kwa mbali tu kuwa umenunuliwa na MAFISADI mara baada ya kusomeshwa.