Zitto mwenyewe ni member hapa hivyo ameisikia hii kauli yako na kwa ninavyofahamu hata yeye anaweza akawa anajuwa kuwa wewe ni Ballile...So anaweza kukujibu vizuri zaidi kwani mimi na wengineo tunakusikia kwa mbali tu kuwa umenunuliwa na MAFISADI mara baada ya kusomeshwa.