Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mnafiki mkubwa yuleKiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tangu mwaka 2019 kumekuwa na mashaka makubwa kwenye uchaguzi, na kwamba chama hicho kimeamua kushiriki mwaka huu ili kupambana kulinda kura kuliko kususa ambako hakubadilishi kitu.
Amesema hayo leo Mei 4,2025 mara baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo.
Nov. 2024 hatukukuona ukipambana mbona.Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tangu mwaka 2019 kumekuwa na mashaka makubwa kwenye uchaguzi, na kwamba chama hicho kimeamua kushiriki mwaka huu ili kupambana kulinda kura kuliko kususa ambako hakubadilishi kitu.
Amesema hayo leo Mei 4,2025 mara baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo.
Muhuni sana. ACT walipopewa serikali Zanzibar yupo kimya.Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tangu mwaka 2019 kumekuwa na mashaka makubwa kwenye uchaguzi, na kwamba chama hicho kimeamua kushiriki mwaka huu ili kupambana kulinda kura kuliko kususa ambako hakubadilishi kitu.
Amesema hayo leo Mei 4,2025 mara baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo.
View attachment 3324634
Hachambui tena reportMuhuni sana. ACT walipopewa serikali Zanzibar yupo kimya.
Ni mdini sana, mganga njaa na yupo zaidi kimaslahi, tumbo. Report za CAG alikuwa anazikomalia wakati wa Magufuli. Sasa hivi yupo kimya. Anatembea na ruzuku.
DalaliKiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tangu mwaka 2019 kumekuwa na mashaka makubwa kwenye uchaguzi, na kwamba chama hicho kimeamua kushiriki mwaka huu ili kupambana kulinda kura kuliko kususa ambako hakubadilishi kitu.
Amesema hayo leo Mei 4,2025 mara baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo.
View attachment 3324634
PandikiziKiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tangu mwaka 2019 kumekuwa na mashaka makubwa kwenye uchaguzi, na kwamba chama hicho kimeamua kushiriki mwaka huu ili kupambana kulinda kura kuliko kususa ambako hakubadilishi kitu.
Amesema hayo leo Mei 4,2025 mara baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo.
View attachment 3324634
Mzito kuyaachia maslahi yake. Anajua atakuwa Kiongozi Mkuu wa Kambi ya upinzani bungeni!Zitto ni mzito.
Amelamba asali.Hachambui tena report
Unapambana huku umesaini kushiriki? Basi bovu, unajua ni bovu halina breki, unasema nitapanda hilo hilo basi na "kidogo"!!! Uwendawazimu. No reform no electionKiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tangu mwaka 2019 kumekuwa na mashaka makubwa kwenye uchaguzi, na kwamba chama hicho kimeamua kushiriki mwaka huu ili kupambana kulinda kura kuliko kususa ambako hakubadilishi kitu.
Amesema hayo leo Mei 4,2025 mara baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo.
View attachment 3324634
Sina hakika dhamira ni ya dhati,kwani dhamira ya binaadamu sii dhamira ya shetani.Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tangu mwaka 2019 kumekuwa na mashaka makubwa kwenye uchaguzi, na kwamba chama hicho kimeamua kushiriki mwaka huu ili kupambana kulinda kura kuliko kususa ambako hakubadilishi kitu.
Amesema hayo leo Mei 4,2025 mara baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo.
View attachment 3324634
Tapeli sana huyo, ilikuwaje alishindwa kulinda hizo kura zake 2019, 2020, 2024 leo ndo iwezekane? Keshaahidiwa ofa yenye harufu ya uswahiba halafu anakuja kudanganya watu humu?Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tangu mwaka 2019 kumekuwa na mashaka makubwa kwenye uchaguzi, na kwamba chama hicho kimeamua kushiriki mwaka huu ili kupambana kulinda kura kuliko kususa ambako hakubadilishi kitu.
Amesema hayo leo Mei 4,2025 mara baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo.
View attachment 3324634
Keshapewa warranty ya kushinda , traitor tu huyuKiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tangu mwaka 2019 kumekuwa na mashaka makubwa kwenye uchaguzi, na kwamba chama hicho kimeamua kushiriki mwaka huu ili kupambana kulinda kura kuliko kususa ambako hakubadilishi kitu.
Amesema hayo leo Mei 4,2025 mara baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo.
View attachment 3324634