PreGE2025 Zitto Kabwe: Tangu 2019 uchaguzi una mashaka, mwaka huu tupo kupambana, si kususa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tapeli sana huyo, ilikuwaje alishindwa kulinda hizo kura zake 2019, 2020, 2024 leo ndo iwezekane? Keshaahidiwa ofa yenye harufu ya uswahiba halafu anakuja kudanganya watu humu?
Atajua mwenyewe na mtazamo wake,ila naamini sii mtazamo wa watanzania
 
Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tangu mwaka 2019 kumekuwa na mashaka makubwa kwenye uchaguzi, na kwamba chama hicho kimeamua kushiriki mwaka huu ili kupambana kulinda kura kuliko kususa ambako hakubadilishi kitu.

Amesema hayo leo Mei 4,2025 mara baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo.
View attachment 3324634
Anapambana vepe naye huyu mamluki
 
Kama alishindwa kulinda kura zake ili ashinde Mwaka 2020, atawezaje kuzilinda Mwaka huu 2025?

Bahati mbaya Sheria inataka ukishapiga kura uondoke ukakae nyumbani kusubiri matokeo
Kwenye mazingira haya utalindaje kura👇

Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tangu mwaka 2019 kumekuwa na mashaka makubwa kwenye uchaguzi, na kwamba chama hicho kimeamua kushiriki mwaka huu ili kupambana kulinda kura kuliko kususa ambako hakubadilishi kitu.

Amesema hayo leo Mei 4,2025 mara baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo.
View attachment 3324634
Mpuuzi hyu ayatollah...kama mlishindwa kpambana Maalim Seif akiwepo, wewe utaweza wapi na woga kama kuku
Nionesha kijana wako mmoja ambaye atalinda kura? Mpuuzi si utaenguliwa, utalinda kura za nani? stupid!
 
Zitto baada ya kupanda kisiasa yuko anashuka kisiasa Zitto miaka yote aambayo amekaa bungeni heti leo anaenda kuchukua fomu ya Ubunge alafu Kuna mtu anamfananisha Zitto na Lissu
 
Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tangu mwaka 2019 kumekuwa na mashaka makubwa kwenye uchaguzi, na kwamba chama hicho kimeamua kushiriki mwaka huu ili kupambana kulinda kura kuliko kususa ambako hakubadilishi kitu.

Amesema hayo leo Mei 4,2025 mara baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo.
View attachment 3324634
Huyo ameshahakikishiwa na Samia kuwa atatangazwa kuwa mshindi. Kwa sasa suala siyo umepata kura ngapi bali ni kutangazwa kuwa uneshinda hata umepata kura moja tu ya kwako,uchaguzi umepoteza maana kabisa katika nchi hii. Na sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu atakwenda kupiga kura hata wa CCM kwani imeshaamuliwa kuwa CCM ishinde kwa 99% hivyo hakuna haja ya kwenda kuchomwa na jua kupiga kura wakati tayari matokeo yapo. Madiwani wote watoke CCM na wabunge wote watoke CCM.
 
Ujinga mtupu,huyu akili zake ni kama za wale G55
 
Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tangu mwaka 2019 kumekuwa na mashaka makubwa kwenye uchaguzi, na kwamba chama hicho kimeamua kushiriki mwaka huu ili kupambana kulinda kura kuliko kususa ambako hakubadilishi kitu.

Amesema hayo leo Mei 4,2025 mara baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo.
View attachment 3324634
Usnitch tu Zitto. Tunajua mnatafuta kutangazwa chama kikuu Cha upinzani,na kamwe haitakuwa. Mngeonekana wa Maana kama mngesapoti no reforms no election tungewaelewa!
 
Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tangu mwaka 2019 kumekuwa na mashaka makubwa kwenye uchaguzi, na kwamba chama hicho kimeamua kushiriki mwaka huu ili kupambana kulinda kura kuliko kususa ambako hakubadilishi kitu.

Amesema hayo leo Mei 4,2025 mara baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo.
View attachment 3324634
Huko nyuma hamkupambana mlikua mnasusa? Serikali za mitaa mlisoma hadi albadir sijui iliishia wapi?
 
Walewale, huyu anatafuna ruzuku tu.Hamna upinzani hapo
 
Kama alishindwa kulinda kura zake ili ashinde Mwaka 2020, atawezaje kuzilinda Mwaka huu 2025?

Bahati mbaya Sheria inataka ukishapiga kura uondoke ukakae nyumbani kusubiri matokeo
Zito kashaahidiwa ubunge...ili kuwakilisha upinzani bungeni...
 
Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tangu mwaka 2019 kumekuwa na mashaka makubwa kwenye uchaguzi, na kwamba chama hicho kimeamua kushiriki mwaka huu ili kupambana kulinda kura kuliko kususa ambako hakubadilishi kitu.

Amesema hayo leo Mei 4,2025 mara baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo.
View attachment 3324634
Huyu muongo inawezekana ameahidiwa kuachiwa jimbo basi anajidai anaenda kupambana.wewe na chama chako mnanguvu gani za kupambana na dola.msibiri kupiwa viti vyenu vitatu Zanzibar ,muunde serikali ya mseto tu basi.
 
Deep down nikajua mwamba atagombea URAIS kumbe yeye bado ako na ubunge so sad.
 
Zito kashaahidiwa ubunge...ili kuwakilisha upinzani bungeni...
Basi ndiyo maana ameamua kujitoa ufahamu, eti atakwenda kulinda kura

Unalindaje kura sasa wakati Mwaka 2020 ulishindwa
 
Back
Top Bottom