Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
ACT wazalendo nayo ni kama imeingia rasmi kwenye mfumo wa upinzani wa kulalamika na kukurupuka bila kua na mawazo mapya, fikra wala mipango mikakati mbadala.
Zitto Kabwe ana tamani kurudi kwenye ramani ya siasa tena lakini kwa kukurupuka mno. Anajaribu kuiingiza ACT wazalendo kwenye upinzani nchini kwa style ambayo ni useless na completely nonsense.
Kwamba eti na ACT wazalendo wameingia kwenye record ya matukio sijui ya drama gani huko, ili sasa na wao eti waonekane ni against the government na ni tishio kwa gov. Hivi ni vichekesho na kwakweli ni kiwango kibaya sana cha kukata tamaa.
ACT wazalendo wameachana rasmi na siasa za hoja, mipango na mikakati na wameamua rasmi kujiunga na upinzani wa visingizio mfu na drama.
kutengeneza script na kusambaza chuki, dhidi ya serikali sikivu ya CCM na vyombo vya ulinzi na usalama kamwe haviwezi kudhoofisha imani ya waTanzani kwa CCM.
Mawenge ya kiongozi mustaafu wa ACT wazalendo yamewaingiza chaka kisiasa.🐒
Mungu Ibariki Tanzania