Yaani ufumaniwe kwa tamaa zako halafu eti uje hapa sijui ng'we ng'we ng'we ng'we nini huko, alaa!!Kama yule wa kwenu ambae amendolewa sio? ongeeni na vijana wenu huko, wataisha kwa tamaa
mpunguze viherehere na midomo
Yule kafumaniwa kapoteza maisha , take that. Mpunguze midomoYaani ufumaniwe kwa tamaa zako halafu eti uje hapa sijui ng'we ng'we ng'we ng'we nini huko, alaa!!
unafikiri kila mtu yuko kama mlivyo?🐒
Trump karudi atawanyooshie bsit holes woteACT wazalendo nayo ni kama imeingia rasmi kwenye mfumo wa upinzani wa kulalamika na kukurupuka bila kua na mawazo mapya, fikra wala mipango mikakati mbadala.
Zitto Kabwe ana tamani kurudi kwenye ramani ya siasa tena lakini kwa kukurupuka mno. Anajaribu kuiingiza ACT wazalendo kwenye upinzani nchini kwa style ambayo ni useless na completely nonsense.
Kwamba eti na ACT wazalendo wameingia kwenye record ya matukio sijui ya drama gani huko, ili sasa na wao eti waonekane ni against the government na ni tishio kwa gov. Hivi ni vichekesho na kwakweli ni kiwango kibaya sana cha kukata tamaa.
ACT wazalendo wameachana rasmi na siasa za hoja, mipango na mikakati na wameamua rasmi kujiunga na upinzani wa visingizio mfu na drama.
kutengeneza script na kusambaza chuki, dhidi ya serikali sikivu ya CCM na vyombo vya ulinzi na usalama kamwe haviwezi kudhoofisha imani ya waTanzani kwa CCM.
Mawenge ya kiongozi mustaafu wa ACT wazalendo yamewaingiza chaka kisiasa.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Hata Wazazi wako wana mpuuzaWe huna unalojua, Rais wa nchi apuuzwe na nani? Hizo sonona zitawamaliza. Rais ni raia namba one kila mtu anamwangalia. CCM imeshinda kwa 99% serikali za mitaa subiri 2025 99% nyingine
Nakupa taarifa za ndani sana kwamba haya mauaji ni michezo ya vyama vyenyewe vya kisiasa hata ule unyama aliofanyiwa Lissu 2017 September ni mchezo wa CHADEMA wenyewe.Na kibao kuuwawa ni mchezo wa kuigizwa ukiongozwa na Samia?.
Taarifa za kiusalama hizi ninazokupa.Uwe una prove how and when, watu hawaamini empty words
Michezo ya kisiasa yenye nia ya kutafuta huruma ya kijamii.zile alama walikosea kuzichora.
yaani zimekua kama tattoo za mgongoni tu 🐒
Usalama utakuwa wewe? Zitto angekuwa mahakamani sahizi anapambania kesiTaarifa za kiusalama hizi ninazokupa.
Huijui siasa ya Tanzania ndio maana unaropoka haya maneno.Usalama utakuwa wewe? Zitto angekuwa mahakamani sahizi anapambania kesi
Everything is govern by laws. Siasa za tanzania nazijua vizuri. Ni rahis sana kila mtu kusema na taarifa za kiusalama, ili mradi a fit his narrativeHuijui siasa ya Tanzania ndio maana unaropoka haya maneno.
Elewa ulichoambiwa, kwamba Abdul Nondo ni muigizaji sawa na wale wa bongo movie.Everything is govern by laws. Siasa za tanzania nazijua vizuri. Ni rahis sana kila mtu kusema na taarifa za kiusalama, ili mradi a fit his narrative
But si kila mtu ni usalama
So unless una evidence yoyote, take a hike bro hamna unalojua
Kwahio CDM wanaachwa wauwe watu?. Kuna muda kujifanya unaakili nyingi kunaongeza kudhauraulika na kuonyesha ujinga wako.Nakupa taarifa za ndani sana kwamba haya mauaji ni michezo ya vyama vyenyewe vya kisiasa hata ule unyama aliofanyiwa Lissu 2017 September ni mchezo wa CHADEMA wenyewe.
Ni taarifa za mkubwa mmoja serikalini, ni mmoja wa wasaidizi wa karibu wa Rais Samia.
Alijetaka kisha mahakama zinaongozwa na Ma CCM akishinda kesi?.Michezo ya kisiasa yenye nia ya kutafuta huruma ya kijamii.
Huyo Nondo alishawahi kujiteka enzi zile za hayati JPM haishangazi kuhusika kwake katika igizo jingine la awamu ya sita.
Kuna mwingine anasubiri muda wa kudalalia post za electionACT wazalendo nayo ni kama imeingia rasmi kwenye mfumo wa upinzani wa kulalamika na kukurupuka bila kua na mawazo mapya, fikra wala mipango mikakati mbadala.
Zitto Kabwe ana tamani kurudi kwenye ramani ya siasa tena lakini kwa kukurupuka mno. Anajaribu kuiingiza ACT wazalendo kwenye upinzani nchini kwa style ambayo ni useless na completely nonsense.
Kwamba eti na ACT wazalendo wameingia kwenye record ya matukio sijui ya drama gani huko, ili sasa na wao eti waonekane ni against the government na ni tishio kwa gov. Hivi ni vichekesho na kwakweli ni kiwango kibaya sana cha kukata tamaa.
ACT wazalendo wameachana rasmi na siasa za hoja, mipango na mikakati na wameamua rasmi kujiunga na upinzani wa visingizio mfu na drama.
kutengeneza script na kusambaza chuki, dhidi ya serikali sikivu ya CCM na vyombo vya ulinzi na usalama kamwe haviwezi kudhoofisha imani ya waTanzani kwa CCM.
Mawenge ya kiongozi mustaafu wa ACT wazalendo yamewaingiza chaka kisiasa.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Kubali kataa hiyo ni sinema kama zilivyo nyingi tu.Kwahio CDM wanaachwa wauwe watu?. Kuna muda kujifanya unaakili nyingi kunaongeza kudhauraulika na kuonyesha ujinga wako.
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu,pole sana.Nakupa taarifa za ndani sana kwamba haya mauaji ni michezo ya vyama vyenyewe vya kisiasa hata ule unyama aliofanyiwa Lissu 2017 September ni mchezo wa CHADEMA wenyewe.
Ni taarifa za mkubwa mmoja serikalini, ni mmoja wa wasaidizi wa karibu wa Rais Samia.
Hiyo habari nzima ya utekaji wa Nondo ni mchezo wa kuigiza, wahusika wakuu ni hao kina Zitto Kabwe.Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu,pole sana.
kufilisika kwa hoja kisiasa ni kitu mbaya sana,Michezo ya kisiasa yenye nia ya kutafuta huruma ya kijamii.
Huyo Nondo alishawahi kujiteka enzi zile za hayati JPM haishangazi kuhusika kwake katika igizo jingine la awamu ya sita.