TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Mleta mada kuna kitu anajaribu kukwepa!Wapi kavunja katiba ...someni jamani msishikiwe akili na MAWAZO yenu na wanasiasa uchwara...Katiba ipo wazi kwani huoni.
Bila kumpa boss mgawo wake
Rais Magufuli anasema Kangi Lugola na wenzake wamesaini Mkataba bila ruhusa ya Bunge. Hii ndio standard? Mkataba Gani? Mbona kama hiyo ndio standard wengi hawapaswi kuwepo ofisini hata yeye mwenyewe.
Ujenzi wa Chato Airport Shs 69 bilioni haukupitishwa na BUNGE
Ununuzi wa Helkopta 13 USD 200m za kumlinda yeye Rais haukupitishwa na Bunge
Mkataba wa SGR haukupitishwa na Bunge, Shs 5 Trilioni
Mkataba wa passport mpya haukupitishwa na BUNGE, shs 230 bilioni
Ununuzi wa ndege haukupitishwa na BUNGE, 1.5 Trilioni. Juzi Serikali imesaini Mkataba na Boeing kununua ndege ya pili ya Dreamliner kwa Mkopo ( lease purchase) BILA RUHUSA YA BUNGE wala huo mkopo haumo kwenye mikopo iliyoruhusiwa na BUNGE
Mkataba wa Barrick haukupitishwa na BUNGE
Rais aliidhinisha Fedha Shs 600 bilioni kutoka Benki Kuu ili kununua Korosho zilizoleta hasara ya USD 500m ( Shs 1.2 Trilioni) bila idhini ya Bunge.
Tangu lini Rais anaheshimu Bunge?
Kuna jambo. SIO HILI AMESEMA Rais. Najua kosa la Kangi kafanya Dili kwa kumzunguka Rais. Rais amekasirika. Rafiki yangu Kangi hakujua kuwa hakuna DILI nchini bila mkono wa Rais. Hoja ya BUNGE ni kisingizio tu.
Kipengele gani cha katiba kimevunjwa? Mbona unamawazo ya kushikiwa....johnthefool ndio maana umeshindwa kukataa kama wewe sio Mgaya. Kama nasikia harufu ya mkangafu tu. Taasisi gani isiyoheshimu Bunge wala Katiba? Mbona ulanzi unaheshimu mkangafu ambao unaheshimu kimpumu kinachoheshimu pingu? Ukisikia kuzeeka vibaya si kwingine. Futa huo upuuzi wako mwenyewe.
Bila shaka tunaelekea pazuri..
Twende ibara ya 63(1)
Rais kama sehemu moja ya bunge atatekeleza madaraka yote aliokabidhiwa na katiba hii kwa ajili hio...
Ibara hio 63(1) inajibu au inatoa tafsiri ya kifungu cha 3 cha ibara ya 62...hii imewekwa mahususi kwa sbb huenda bunge likagoma kuridhia au hata kutojadili jambo ambalo ni la maamuzi baina ya wabunge na Rais...basi ibara hii inampa Rais ambae ni sehemu ya bunge madaraka yote ya kuamua jambo hilo...
Uliza tena...ujulishwe
Taasisi inaruhusiwa kukosea,mtu haruhusiwi kukosea?😜😜😜Rais ni taasisi na Waziri ni mtu. Zitto anakurupuka!
Shauri yao, sisi hayo hayatuhusu. Acha wafu wazikane wenyewe!Bunge gani?
Mbona nakuona kama Una akili kumbe ni mpuuzi ?! SamahaniWakati huo hilo bunge la akina Mbowe lilikuwa wapi?!
Rais ni taasisi na Waziri ni mtu. Zitto anakurupuka!
Hakuna aliye juu ya sheria.Rais ni taasisi na Waziri ni mtu. Zitto anakurupuka!
Kwa hiyo hata kama mtu anajenga ikulu kijijini kwake ni sawa tu na pia ni kwa manufaa ya umma.Zitto unachosahau, Baba kwenye familia huwa hakosei, na akikosea anazonjia zAke za kumwambia...
Hicho anachokisemA akasome vzr katiba ya nchi,juu ya majukum ya rais kwa manufaa ya Uma..
Sio swala kukiuka kanuni,ila kutekelezA kwa manufaa ya uma...
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye yuko juu ya Sheria na katiba haaaaKweli hata mimi nimejiuliza kidogo,kwanza ni ukweli kuwa sifungamani na Kangi Lugola na Kamishna Andengenye kuhusu huo unaoitwa "ufisadi" wao wa Romania,ila jambo langu mahususi ni kuwa Rais mwenyewe, kama Mkuu wa nchi na Serikali, amefanya mambo mengi bila idhini ya Bunge.
Rais alianza kwa kuzuia mikutano ya kisiasa kwa vyama vingine na chama chake na makada wa chama chake wakiendelea kufanya mikutano. Katazo hili halipo kisheria na ni uvunjifu wa Katiba aliyoapa kuilinda lakini mpaka sasa Rais haoni kama hilo ni kosa.
Mambo mengi Mh. Rais kayafanya yanayohusisha matumizi ya mamilioni ya pesa bila idhini ya Bunge ambalo ni muwakilishi wa wananchi. Unapokuwa unakemea rushwa, basi si tu ukemee kwa maneno, bali hata matendo yako yaakisi kile unachokitenda.
Hawa kina Lugola sio kwamba walifanya makosa ya kuingia huo mkataba bila kujua, ila walifanya kile ambacho wanaona mkubwa wao anafanya kwa kukiuka taratibu wakajua ndio mtindo wa awamu hii.
What a mother goat does, A child Goat should imitate...
Mheshimiwa Zitto atukumbushe haya hapo Oktoba ili tufanye uamuzi sahihi
Where's your head bwashee? Go and find where you left then use it! Yaani ccm masalia hujui tofauti ya uliowataja na ukomo wa majukumu yao? Rudi darasani na usione aibu kusoma na wanao!Zitto anamfananisha Waziri na Rais?.......
Waziri unaweza kumlinganisha na KUB au RC fullstop!
Hakuna udadavuzi zaidi kumshambulia,hapa lazima waufyate,namsubiri kwa hamu sana mwanaharakati uchwaraWewe ZZK, Ngoja timu Lumumba waje kukudadavua
Ndugu yangu awamu hii uko kijiweni tu! Uliamini siasa ni kazi yako ya maisha, endelea lakini ktk safari hii ya maisha uko taaban. Usihangaishe watu kujadili mambo ambayo yako wazi. Bunge gani hilo ambalo mulizoea kugawana posho mutakavyo? Hakuna uelewa zaidi ya kusoma internet na kuiga mambo ya youtube.Rais Magufuli anasema Kangi Lugola na wenzake wamesaini Mkataba bila ruhusa ya Bunge. Hii ndio standard? Mkataba Gani? Mbona kama hiyo ndio standard wengi hawapaswi kuwepo ofisini hata yeye mwenyewe.