Zitto Kabwe: Tangu lini Rais anaheshimu Bunge? Kosa la Lugola ni kufanya dili kwa kumzunguka Rais, hoja ya Bunge ni kisingizio tu

Zitto anamfananisha Waziri na Rais?.......

Waziri unaweza kumlinganisha na KUB au RC fullstop!
Hiyo ndo inayowapa taabu akina zitto. Hajui yeye ni mbunge wa jimbo, hajui mawaziri ni wateule wa rais. Eti mbona yeye, yeye nani? Rais vs Waziri na mbunge?
Huyu zitto alidhani ata switch kutoka kwa Kikwete alelewe na Magufuli.Alihudhuria uzinduzi wa Bunge wakati wenzake wamegoma. Imegoma sasa ni tatizo.
 
Bila kumpa boss mgawo wake
Wewe uligawa kiasi gani? Imekula kwako dogo! Ni wewe tu uliyehudhuria uzinduzi wa Bunge wakati wenzako wamegoma. Naona umeshindwa kulelewa.
 
Mwenzenu zitto ukute anamaanisha rais Wa tff nyie mnahangaika kutoa mapovu
 
Mkuu kama umeona uozo wa awamu hii kwa kiasi hicho ninachokihisi, basi awamu iliyopita ilikuwa ni uozo na kufukiwa. Walideka hadi akina Zitto.
 
Hata kama kamtoa lakin kangi katufanyia mabadiliko makubw ya kiutendaji. Hasa kuruhusu dhamana week end, bas kusafir usiku hasa zinazokuja dar, kuondoa traffic wala rushwa. Kuzuia tochi za nyuma pamoja na kero lukuk za polis wetu. Namkubali sana. Nikifungua kampun ya ulinzi siwez kutomfikiria
 
Kangi bwana hatari sana, yaani anakwenda kufunga dili ya 1trilioni na WAROMANIA??, hawa wazee wetu wanashida sana na exposure ya dunia..nina wasiwasi sana na hiyo biashara iliyotaka kufanyika na WaRomania aka Wanigeria weupe..
 
Noma sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais ni taasisi na Waziri ni mtu. Zitto anakurupuka!
Huo ndiyo unafiki wenyewe. Endeleeni kumtetea lkn siku yako ikifika sijui nani atakutetea. Kumbuka Khangi Lugola na Ilani yake ya ccm hadi kwenye nyumba za ibada lkn haikumuokoa.

Penye ukweli. Tujifunze kuwa wakweli. Na penye uongo ubaki kuwa hivyo. Tukiwa na lengo la kujenga nchi basi kusiwe na double standard.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unaongea utoto gani we dogo?
 
Kinukuu hicho kifungu kama ulivyonukuu na 62(3) tuuone huo uongo wangu...maana akili zako kama mzigo tu ...wewe ni kubebwa
 
Ujinga huo ulionao ndio tatizo...nimekueleza vizuri unapotamka bunge unamaanisha Rais na Wabunge...bunge lina sehemu 2,Moja rais na Wabunge.Kaa ukijua Rais ni sehem ya bunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…