unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,865
Mkuu Zitto niliku PM tangia mwezi huu January mwanzoni nikupe huu mkasa ukazingua.
Nilitaka nikupe mikasa ya mawaziri wanne akiwemo Kangi yani serikali ya Magufuli imeoza mpaka mwisho. Sema kwakuwa uliniona yanki ukadharau ila nilitaka nikupe uiweke hadharani.
Kutokana na position niliyo nayo naona mengi na siyafurahii kabisa ila pia nikiyaweka humu nina uhakika nitakamatwa ila kiukweli uozo ni mkubwa kuliko kawaida.
Don't argue with a fool... Fool hapa haimaanishi mjinga bali mpumbavu. Shule alienda kusoma ujinga! Balaa kubwa sana. Unataja ibara ya katiba kujifurahisha! Soma basi uelewe. Muswada unaletwa na rais bungeni. Bunge likiupitisha, rais anausaini na hapo ndipo tu unakuwa sheria. Rais analeta bajeti bungeni. Bunge linaweza kuipitisha au likakataa. Rais hatoi muswada na kuusaini kuwa sheria pasipo Bunge. Rais hatayarishi bajeti na kuanza kuitekeleza bila ya ridhaa ya Bunge.Kipengele gani cha katiba kimevunjwa? Mbona unamawazo ya kushikiwa....
Bunge = Rais + wabunge
Sasa Rais ni mhimili unaojitegemea lakini Bunge ni muunganiko wa Rais na wabunge..ibara ya 62(1) ya katiba ya jamuhuri ya muungano wa tanzania..
Kinukuu hicho kifungu kama ulivyonukuu na 62(3) tuuone huo uongo wangu...maana akili zako kama mzigo tu ...wewe ni kubebwa
Ujinga huo ulionao ndio tatizo...nimekueleza vizuri unapotamka bunge unamaanisha Rais na Wabunge...bunge lina sehemu 2,Moja rais na Wabunge.Kaa ukijua Rais ni sehem ya bunge.
Bwasheee daaaah! Na likes kibao umepeta kwa post hii, kweli shule za Kata zimetuharibia nchi beyond control. Trump anapohenyeshwa Marekani kwa kukiuka miiko flaniflani yeye siyo sehemu ya taasisi ya urais nchini humo? Kwanza Rais siyo taasisi ila urais ndiyo taasisi.Rais ni taasisi na Waziri ni mtu. Zitto anakurupuka!
Hata hilihili la chama chetu la akina Dr. Musukuma Kasheku😃😃😃😃😃Bunge gani?
Hahahaha, yaan comments zote mkuu umekuja kujibu hiiBila kumpa boss mgawo wake
barafu,
Roho imemuuma kwasababu Lugola kala 10% peke yake.
Hili zuzu sijui limetoka wapi humu! bora ungeficha upumbavu kwa kukaa kimya.Rais ni taasisi na Waziri ni mtu. Zitto anakurupuka!
Rais Magufuli anasema Kangi Lugola na wenzake wamesaini Mkataba bila ruhusa ya Bunge. Hii ndio standard? Mkataba Gani? Mbona kama hiyo ndio standard wengi hawapaswi kuwepo ofisini hata yeye mwenyewe.
Ujenzi wa Chato Airport Shs 69 bilioni haukupitishwa na BUNGE
Ununuzi wa Helkopta 13 USD 200m za kumlinda yeye Rais haukupitishwa na Bunge
Mkataba wa SGR haukupitishwa na Bunge, Shs 5 Trilioni
Mkataba wa passport mpya haukupitishwa na BUNGE, shs 230 bilioni
Ununuzi wa ndege haukupitishwa na BUNGE, 1.5 Trilioni. Juzi Serikali imesaini Mkataba na Boeing kununua ndege ya pili ya Dreamliner kwa Mkopo ( lease purchase) BILA RUHUSA YA BUNGE wala huo mkopo haumo kwenye mikopo iliyoruhusiwa na BUNGE
Mkataba wa Barrick haukupitishwa na BUNGE
Rais aliidhinisha Fedha Shs 600 bilioni kutoka Benki Kuu ili kununua Korosho zilizoleta hasara ya USD 500m ( Shs 1.2 Trilioni) bila idhini ya Bunge.
Tangu lini Rais anaheshimu Bunge?
Kuna jambo. SIO HILI AMESEMA Rais. Najua kosa la Kangi kafanya Dili kwa kumzunguka Rais. Rais amekasirika. Rafiki yangu Kangi hakujua kuwa hakuna DILI nchini bila mkono wa Rais. Hoja ya BUNGE ni kisingizio tu.
[/KK]

Mbaya zaidi wewe ni Mbunge, ulipaswa kuongea haya Bungeni. Pia kauli zenu tunazikumbuka kila siku. Kipindi cha uongozi wa Rais Kikwete, mlimdhihaki sana sana na kumuita Rais legelege, mkadiriki kusema nchi hii inahitaji Rais dictator!! Leo mnalalamikia nini?!Mheshimiwa Zitto, umeongea kipinzani zaidi kuliko ukweli.
Kwa jinsi Rais alivyoongea ni kwamba ule mkataba haukusainiwa na Bunge wala waizara ya fedha, kwa maana kwamba moja kati ya hizo (Wizara ya fedha au Bunge) zingesaini huo mkataba hapo procedures zingekuwa zimefuatwa. Sio waizara kujiwakilisha yenyewe.
Kama mnasema Rais ni mpiga dili, basi ziwekeni dili zake wazi Watanzania tuzijue. Mimi ni CHADEMA sikuungi mkono kwa hili. Tusitumie siasa kwenye ukweli. Rais hajawahi kukopa pesa yeye kama Rais, ila ni Wizara ya Fedha. Kangi hakutumia Wizara ya Fedha.
Eti wewe Chadema , so what!? Ondoa ujinga. Maendeleo unayaona wewe, Kangi kafanya kama alivyofanya boss wake , kugeuza fedha za wananchi kama fedha zake mfukoni . Kuzitumia bila nidhamu. Wote wachafu.Mbaya zaidi wewe ni Mbunge, ulipaswa kuongea haya Bungeni. Pia kauli zenu tunazikumbuka kila siku. Kipindi cha uongozi wa Rais Kikwete, mlimdhihaki sana sana na kumuita Rais legelege, mkadiriki kusema nchi hii inahitaji Rais dictator!! Leo mnalalamikia nini?!
Mbona huongelei kilichokuondoa CHADEMA? Kama kweli nyie mmekamilika, mbona wewe ulitumbuliwa na Mbowe hadi ukahama chama?
Tanzania ni yetu sote, tuache majungu kwa maslahi yenu wala ruzuku.
Sisi raia wa kawaida hatuna ruzuku, ila maendeleo. Maendeleo tunayaona, tulalamikie nini?!!