Zitto Kabwe: Tangu lini Rais anaheshimu Bunge? Kosa la Lugola ni kufanya dili kwa kumzunguka Rais, hoja ya Bunge ni kisingizio tu

Zitto Kabwe: Tangu lini Rais anaheshimu Bunge? Kosa la Lugola ni kufanya dili kwa kumzunguka Rais, hoja ya Bunge ni kisingizio tu

Mkuu Zitto niliku PM tangia mwezi huu January mwanzoni nikupe huu mkasa ukazingua.

Nilitaka nikupe mikasa ya mawaziri wanne akiwemo Kangi yani serikali ya Magufuli imeoza mpaka mwisho. Sema kwakuwa uliniona yanki ukadharau ila nilitaka nikupe uiweke hadharani.

Kutokana na position niliyo nayo naona mengi na siyafurahii kabisa ila pia nikiyaweka humu nina uhakika nitakamatwa ila kiukweli uozo ni mkubwa kuliko kawaida.

Vipi mkuu. Madeal yako yamekwama. Mana ZITTO ndo Hana kabisa credibility. So Kama wewe humjui Zitto Basi huna lolote.
 
Kipengele gani cha katiba kimevunjwa? Mbona unamawazo ya kushikiwa....
Bunge = Rais + wabunge
Sasa Rais ni mhimili unaojitegemea lakini Bunge ni muunganiko wa Rais na wabunge..ibara ya 62(1) ya katiba ya jamuhuri ya muungano wa tanzania..
Don't argue with a fool... Fool hapa haimaanishi mjinga bali mpumbavu. Shule alienda kusoma ujinga! Balaa kubwa sana. Unataja ibara ya katiba kujifurahisha! Soma basi uelewe. Muswada unaletwa na rais bungeni. Bunge likiupitisha, rais anausaini na hapo ndipo tu unakuwa sheria. Rais analeta bajeti bungeni. Bunge linaweza kuipitisha au likakataa. Rais hatoi muswada na kuusaini kuwa sheria pasipo Bunge. Rais hatayarishi bajeti na kuanza kuitekeleza bila ya ridhaa ya Bunge.
Jidondofila, hayo maelezo ni kwa ajili ya chekechea. Nimelazimika kuyatoa kwako kwa kuwa wewe ni mpumbavu. Ulienda shule kujua KKK tu bila kuongeza maarifa. Awamu ya 5 wanasaini miswada pasipo Bunge. Hivyo matamko lukuki bila sheria. Wanaanzisha miradi bila baraka za Bunge. Wananunua ndege bila kibali cha Bunge. Halafu anakuja mpumbavu wa jina lako na kuuliza katiba imevunjwa wapi? Pathetic!
 
Ujinga huo ulionao ndio tatizo...nimekueleza vizuri unapotamka bunge unamaanisha Rais na Wabunge...bunge lina sehemu 2,Moja rais na Wabunge.Kaa ukijua Rais ni sehem ya bunge.

Nna shukuru kwa kutambua kuwa mimi ni Mjinga.
 
Rais ni taasisi na Waziri ni mtu. Zitto anakurupuka!
Bwasheee daaaah! Na likes kibao umepeta kwa post hii, kweli shule za Kata zimetuharibia nchi beyond control. Trump anapohenyeshwa Marekani kwa kukiuka miiko flaniflani yeye siyo sehemu ya taasisi ya urais nchini humo? Kwanza Rais siyo taasisi ila urais ndiyo taasisi.
 
Hata mie hili limenishangaza sana hasa ukizingatia raisi wetu ndie anaongoza ktk haya! anyway, usanii ndani ya ccm haukuanza leo.
 
Na huyu jenerali na wenzake walikwendaje romania kusaini mkataba wakati sheria ya viongozi kutoka kwenda nje lazima kibali cha rais. Je walipataje kibali? Je rais alikuwa hajui watu wakubwa kama jenerali anaenda romania?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwigulu kamuumbua Zitto live
Screenshot_20200124-100017.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awamu ya 5 ya Majizi yanayojitegemea... Hakuna rais hapo zaidi ya wizi wenye mwamvuli wa uzalendo.

Yeye hajui umuhimu wa bunge halafu anatupigia kelele tu
 
Lugola ametolewa kafara ili Marekani ichelewe kuiweka Tanzania kwenye orodha ya nchi za kuwekewa vikwazo.
Hayo mengine visingizio tu.
 
Rais Magufuli anasema Kangi Lugola na wenzake wamesaini Mkataba bila ruhusa ya Bunge. Hii ndio standard? Mkataba Gani? Mbona kama hiyo ndio standard wengi hawapaswi kuwepo ofisini hata yeye mwenyewe.

Ujenzi wa Chato Airport Shs 69 bilioni haukupitishwa na BUNGE

Ununuzi wa Helkopta 13 USD 200m za kumlinda yeye Rais haukupitishwa na Bunge

Mkataba wa SGR haukupitishwa na Bunge, Shs 5 Trilioni

Mkataba wa passport mpya haukupitishwa na BUNGE, shs 230 bilioni

Ununuzi wa ndege haukupitishwa na BUNGE, 1.5 Trilioni. Juzi Serikali imesaini Mkataba na Boeing kununua ndege ya pili ya Dreamliner kwa Mkopo ( lease purchase) BILA RUHUSA YA BUNGE wala huo mkopo haumo kwenye mikopo iliyoruhusiwa na BUNGE

Mkataba wa Barrick haukupitishwa na BUNGE

Rais aliidhinisha Fedha Shs 600 bilioni kutoka Benki Kuu ili kununua Korosho zilizoleta hasara ya USD 500m ( Shs 1.2 Trilioni) bila idhini ya Bunge.

Tangu lini Rais anaheshimu Bunge?

Kuna jambo. SIO HILI AMESEMA Rais. Najua kosa la Kangi kafanya Dili kwa kumzunguka Rais. Rais amekasirika. Rafiki yangu Kangi hakujua kuwa hakuna DILI nchini bila mkono wa Rais. Hoja ya BUNGE ni kisingizio tu.
[/KK]

Mheshimiwa Zitto, umeongea kipinzani zaidi kuliko ukweli.
Kwa jinsi Rais alivyoongea ni kwamba ule mkataba haukusainiwa na Bunge wala waizara ya fedha, kwa maana kwamba moja kati ya hizo (Wizara ya fedha au Bunge) zingesaini huo mkataba hapo procedures zingekuwa zimefuatwa. Sio waizara kujiwakilisha yenyewe.
Kama mnasema Rais ni mpiga dili, basi ziwekeni dili zake wazi Watanzania tuzijue. Mimi ni CHADEMA sikuungi mkono kwa hili. Tusitumie siasa kwenye ukweli. Rais hajawahi kukopa pesa yeye kama Rais, ila ni Wizara ya Fedha. Kangi hakutumia Wizara ya Fedha.
 
Mbaya zaidi wewe ni Mbunge, ulipaswa kuongea haya Bungeni. Pia kauli zenu tunazikumbuka kila siku. Kipindi cha uongozi wa Rais Kikwete, mlimdhihaki sana sana na kumuita Rais legelege, mkadiriki kusema nchi hii inahitaji Rais dictator!! Leo mnalalamikia nini?!
Mbona huongelei kilichokuondoa CHADEMA? Kama kweli nyie mmekamilika, mbona wewe ulitumbuliwa na Mbowe hadi ukahama chama?
Tanzania ni yetu sote, tuache majungu kwa maslahi yenu wala ruzuku.
Sisi raia wa kawaida hatuna ruzuku, ila maendeleo. Maendeleo tunayaona, tulalamikie nini?!!
 
Tujiulize, Zitto Kabwe anakiongoza chama chake cha ACT Wazalendo kama cha Wanachama au kama ya kwake. Mbowe anaiongaza Chadema kama ya Wanachama au ya kwake.
Mo anataka kuingoza Klabu ya Simba kama ya Wanachama au ya kwake.
Katika Inchi za Afrika kila Kiongozi akiteuliwa au akiunda Chama cha Siasa basi huja na kanuni na sharia zake na kuona chombo hicho kama mali yake na kuzingatia maslahi binafsi zaidi kuliko ya umma.
Rais wetu aliyeko Madarakani amejitahidi sana kuokoa na kukusanya pesa nyingi za Serikali na kwa maana hii Inchi imenufaika na uongozi wake kuliko yeye na rafiki zake.
Kama ni mtihani basi amepata daraja la A.
Si rahisi mwanafunzi kupata 100 kwa 100.
Sina shaka yoyote kumpa big up Rais Makufuli.
Hanijui na sina maslahi ya moja kwa moja kwake lakini alichofanya ni vizuri tumshukuru.
Mswahili huwa anasuburi mtu akifa ndiyo anamsifia lakini akiwa hai ni kumkandia tu.
Leo hii tukimpa Zitto Kabwe uongozi wa Inchi hii hatima yetu itakuwaje.
Leo hii tukimpa Mbowe Inchi hii hatia ya Inchi yetu itakuwaje.
Leo mimi na wewe tukipewa Inchi hii hatima yake itakuwaje.
Tafakari.
 
Mbaya zaidi wewe ni Mbunge, ulipaswa kuongea haya Bungeni. Pia kauli zenu tunazikumbuka kila siku. Kipindi cha uongozi wa Rais Kikwete, mlimdhihaki sana sana na kumuita Rais legelege, mkadiriki kusema nchi hii inahitaji Rais dictator!! Leo mnalalamikia nini?!
Mbona huongelei kilichokuondoa CHADEMA? Kama kweli nyie mmekamilika, mbona wewe ulitumbuliwa na Mbowe hadi ukahama chama?
Tanzania ni yetu sote, tuache majungu kwa maslahi yenu wala ruzuku.
Sisi raia wa kawaida hatuna ruzuku, ila maendeleo. Maendeleo tunayaona, tulalamikie nini?!!
Eti wewe Chadema , so what!? Ondoa ujinga. Maendeleo unayaona wewe, Kangi kafanya kama alivyofanya boss wake , kugeuza fedha za wananchi kama fedha zake mfukoni . Kuzitumia bila nidhamu. Wote wachafu.
 
Back
Top Bottom