Zitto Kabwe: Tangu lini Rais anaheshimu Bunge? Kosa la Lugola ni kufanya dili kwa kumzunguka Rais, hoja ya Bunge ni kisingizio tu

Zitto Kabwe: Tangu lini Rais anaheshimu Bunge? Kosa la Lugola ni kufanya dili kwa kumzunguka Rais, hoja ya Bunge ni kisingizio tu

Kapambane jimboni kwako, unapumulia mashine. Usijifanye national hero!
 
Kuna jambo. SIO HILI AMESEMA Rais. Najua kosa la Kangi kafanya Dili kwa kumzunguka Rais. Rais amekasirika. Rafiki yangu Kangi hakujua kuwa hakuna DILI nchini bila mkono wa Rais. Hoja ya BUNGE ni kisingizio tu.
Bora hata umetuambia na sisi maana wengine tulikuwa hatujui 😂😂😂
 
Mimi pia nimejiuliza maswali kama yako Mheshimiwa.

Hili la kisingizio cha Bunge sio kweli, ni uongo mtakatifu.

Kumbe dream liner ya pili tunaachukua kwa hire purchase na sio cash tena? Cash imeisha?
 
Rais ni taasisi na Lugola ni mtu.. Umeelewa Zitto? Kamwe milele yote huwezi mlinganisha Rais na mtu yeyote yule.
 
Kwahiyo Rais unamlinganisha na waziri? Maana mifano uliyotoa yote rais aliagiza.

Tusaidiane kujua mipaka, majukumu na mamlaka ya raisi na waziri bila kelele.
 
Kwahiyo Rais unamlinganisha na waziri? Maana mifano uliyotoa yote rais aliagiza. Tusaidiane kujua mipaka, majukumu na mamlaka ya raisi na waziri bila kelele.
Zitto si anajua watanzania hawafikiri kwa bongo zao yaani Lugola umlinganishe na Rais....Lini Magu amekataa hajaagiza?
 
Back
Top Bottom