bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Huwezi kuwa na elimu ukafananisha Zanzibar na temeke wewe ni mbumbumbuYani check ulivyokuwa hauna hoja, umebaki kusema mbumbu...ππ
Ukiona elimu ni gharama ,jaribu ujinga...Banza hakukosea...
Wewe nawe ni wale wale Zanzibar ufananishe na temeke pole sana mbumbumbuAnabisha nini huyo!?
Temeke na Zanzibar hazina tofauti sana kama anabisha alete uthibitisho sio kutukana tu.
Umeelewa kilichojibiwa au umerukia kwa mpauko wa hasira mkuu,kwahiyo ulitaka na zanzibar wapate wakati wana rais na serikali yao? na ratial yake je? chukua watanganyika 58m ongeza wazenji 2m gawanya kwa kila mtu uone kama hautapata hiyo ratio, kwanza wanapata kingi sana.
AiseeAnabisha nini huyo!?
Temeke na Zanzibar hazina tofauti sana kama anabisha alete uthibitisho sio kutukana tu.
Tuambiwe pia hiyo 2% ni sawa na kiasi gani na hiyo 98% kutoka Zenji ni sawa na kiasi gani ili tuwe na wigo mkubwa wa kujadiliZanzibar inajitegemea Kwa Mapato yake ,kinachotoka Bara kwenda huko ni 2% tuu na wakati Bara mnakomba 98% ya Mapato yanayotokana na Muungano zikiwemo zaidi ya Bilioni 400 ambazo TRA anakusanya Bado taasisi zingine kama uhamiaji ,Utalii nk.
ππππkabisaa masta, yaani wanajifanyaga hawapendi Muungano, afu kdg tu wamedeka wanataka mgao wa fedha, mara bili ya umeme hawalipi, tukisema kitu ooh kwanza hatutaki Muungano..We jamaa bwana.
Kwahiyo hawawezi wakala pesa zetu kizembeπππππ.
Temeke imezungukwa na bahari pande zote..???Anabisha nini huyo!?
Temeke na Zanzibar hazina tofauti sana kama anabisha alete uthibitisho sio kutukana tu.
Sie hatuzungumzii kijiografia bali tunazungumzia kiupana wa mipaka na kiuzalishaji.Temeke imezungukwa na bahari pande zote..???
Una kichwa cha panzi pia usini qoute aalaaah!Wewe nawe ni wale wale Zanzibar ufananishe na temeke pole sana mbumbumbu
What about Malawi / NyasalandWhat is the poorest country in the world?
Africa
- Somalia.
- South Sudan.
- Sudan.
- Tanzania.
- The Gambia.
- Togo.
- Uganda.
- Zambia.
Wacha porojo eleza wewe
Wewe kweli ni mbumbumbu unafananisha znz na temeke pole sana
Kule wanakwepa ushuru wakija bara wanakadiriwa Kodi halisiHebu c
Hebu nichanganulie kidogo hapa mkuu
T- Tanzania
ZRA - Zanzibar
Je, ya Tanganyika iko wapi? That means TRA ni overall , je TRA hai operate Zanzibar?
Swali lingine nje ya hilo kwanini mtu akitoka na mzigo Zanzibar pale bandarini lazima alipe ushuru, wakati huo huo anayetoka Tanzania bara kwenda visiwani halipi?
Kwa uchumi,Huwezi kuwa na elimu ukafananisha Zanzibar na temeke wewe ni mbumbumbu
Sasa kuzungukwa na bahari inaongeza nini...Temeke imezungukwa na bahari pande zote..???
Hii ripoti sio sahihi.What about Malawi / Nyasaland
Alivyo mbumbavu wala hasemi Tanesco inadai sh? Zanzimbar.Na wala hasemi ni wazanzibar wangapi wameajiriwa na serikali ya Tanganyika isivyo sawa.Anaongelea TRA ilhali anafahamu fika kuwa Zanzibar wana mamlaka yao ya mapato ZRA, ambayo Zanzbar inatumia mapato yake yote kwa 100%
Kama suala la mapato ni la Muungano, ZRA ni ya kazi gani Zenji? Si iwe tu hiyohiyo TRA...!!?
Kumbe kweli Zitto ni "mpumbavu"
Kwani haujui kuwa Zitto ni kibaraka wa ccm au unadanganywa na hizo rangi za bendera??Kwani Zito anamjibu Lisu? Kwani Zito kaanza Leo kutoa hizo takwimu?
CCM hawawezi kuzitoa maana ukweli ni kwamba zinawaelemea Wazanzibar na kufaidisha Wabara zaidi.