Zitto Kabwe: Tanzania Bara (Tanganyika) inachukua 98% ya Mapato yote ya Muungano, Zanzibar inaambulia 2% tu

Zitto Kabwe: Tanzania Bara (Tanganyika) inachukua 98% ya Mapato yote ya Muungano, Zanzibar inaambulia 2% tu

kwahiyo ulitaka na zanzibar wapate wakati wana rais na serikali yao? na ratial yake je? chukua watanganyika 58m ongeza wazenji 2m gawanya kwa kila mtu uone kama hautapata hiyo ratio, kwanza wanapata kingi sana.
Umeelewa kilichojibiwa au umerukia kwa mpauko wa hasira mkuu,

Unaniuliza mimi ndio nilileta swali? Afu unareply bila hata data za msingi
 
Zanzibar inajitegemea Kwa Mapato yake ,kinachotoka Bara kwenda huko ni 2% tuu na wakati Bara mnakomba 98% ya Mapato yanayotokana na Muungano zikiwemo zaidi ya Bilioni 400 ambazo TRA anakusanya Bado taasisi zingine kama uhamiaji ,Utalii nk.
Tuambiwe pia hiyo 2% ni sawa na kiasi gani na hiyo 98% kutoka Zenji ni sawa na kiasi gani ili tuwe na wigo mkubwa wa kujadili
 
We jamaa bwana.
Kwahiyo hawawezi wakala pesa zetu kizembe😂😂😂😂😂.
😂😂😂😂kabisaa masta, yaani wanajifanyaga hawapendi Muungano, afu kdg tu wamedeka wanataka mgao wa fedha, mara bili ya umeme hawalipi, tukisema kitu ooh kwanza hatutaki Muungano..

Sasa washajichanganya
 
Hako kabwana mdogo hamna mtu yeyote anaejua sasa hivi kanataka nini na msimamo wake ni upi. Kapo kapo tu. Hata kenyewe hakajajijua kako upande gani na kanataka nini
 
Temeke imezungukwa na bahari pande zote..???
Sie hatuzungumzii kijiografia bali tunazungumzia kiupana wa mipaka na kiuzalishaji.
Sijui umeelewa mkuu!?
Tunazungumzia kiutendaji/kiuzalishaji.
 
Wacha porojo eleza wewe



Wewe kweli ni mbumbumbu unafananisha znz na temeke pole sana

Hebu c
Hebu nichanganulie kidogo hapa mkuu

T- Tanzania
ZRA - Zanzibar
Je, ya Tanganyika iko wapi? That means TRA ni overall , je TRA hai operate Zanzibar?

Swali lingine nje ya hilo kwanini mtu akitoka na mzigo Zanzibar pale bandarini lazima alipe ushuru, wakati huo huo anayetoka Tanzania bara kwenda visiwani halipi?
Kule wanakwepa ushuru wakija bara wanakadiriwa Kodi halisi
 
Huwezi kuwa na elimu ukafananisha Zanzibar na temeke wewe ni mbumbumbu
Kwa uchumi,
Kwa Idadi ya watu
Kwa majengo
Kwa elimu
Kwa Miundombinu
Yani hakuna hata kipengele kimoja hapo ambapo Zanziba inaipita Temeke...

Jimbo watu 7,000 😂😂😂
Kupenda vya dezo tu....
 
Huyu ni Msenge tu, sijawah mwelewa sijui ni Gongo au Majini yanamsumbua...
Mada zake ukizichimba anasimama kidini zaidi japo anajificha kwenye wingi wa hoja za hovyo.
 
Anaongelea TRA ilhali anafahamu fika kuwa Zanzibar wana mamlaka yao ya mapato ZRA, ambayo Zanzbar inatumia mapato yake yote kwa 100%

Kama suala la mapato ni la Muungano, ZRA ni ya kazi gani Zenji? Si iwe tu hiyohiyo TRA...!!?

Kumbe kweli Zitto ni "mpumbavu"
Alivyo mbumbavu wala hasemi Tanesco inadai sh? Zanzimbar.Na wala hasemi ni wazanzibar wangapi wameajiriwa na serikali ya Tanganyika isivyo sawa.
 
Kwani Zito anamjibu Lisu? Kwani Zito kaanza Leo kutoa hizo takwimu?

CCM hawawezi kuzitoa maana ukweli ni kwamba zinawaelemea Wazanzibar na kufaidisha Wabara zaidi.
Kwani haujui kuwa Zitto ni kibaraka wa ccm au unadanganywa na hizo rangi za bendera??
 
Back
Top Bottom