Zitto Kabwe: Tanzania Bara (Tanganyika) inachukua 98% ya Mapato yote ya Muungano, Zanzibar inaambulia 2% tu

Tizama uwiano hapo chini.
Huo ni mfano tu nimechukua mapato ya mwaka fulani na mwaka fulani kote kote .View attachment 2979568View attachment 2979569
Ya kwanza umeleta namba, that's good, ya pili umeleta maelezo ya mtu, tena akiwa anaongea na waandishi wa habari...

Nilichoona mm juu jumla ya mapato halisi ni B 286+ vs B 39+

Hauoni kama figures zinatofautiana pakubwa mno
 
.... angeanza kwa kuelezea inachangia % ngapi kwenye mapato ya muungano hadi ipate hiyo 2% kama mgao ingekuwa nzuri zaidi.
 
Maskini Zitto, ungwini wake mzigo hajui kuwa asilimia mbili wanazopata ni kubwa zaidi kimahesabu.
Watanganyika tupo 60M na Wazanzibari 1.2M Hivyo ukichukua mapato kwa idadi ya watu, Tanganyika inapaswa ipate 98.04% na Wazanzibari wapate 1.96%. Wakipata 2% wanakuwa wameongezewa 0.04% sasa nani anapunjwa? Watanganyika wanapunjwa kwa 0.04%.
 
Zanzibar inajitegemea Kwa Mapato yake ,kinachotoka Bara kwenda huko ni 2% tuu na wakati Bara mnakomba 98% ya Mapato yanayotokana na Muungano zikiwemo zaidi ya Bilioni 400 ambazo TRA anakusanya Bado taasisi zingine kama uhamiaji ,Utalii nk.
TRA Zanzibar?
 
Zito na wewe nani ni bingwa wa Uchumi na hesabu? Acha ujinga
 
Nani anayeung'ang'ania huu Muungano unaomnyonya Mtanganyika na kumnufaisha Mzanzibar lakini bado Mzanzibar analalamika na kutetewa na akina Zitto?
 
Nani anayeung'ang'ania huu Muungano unaomnyonya Mtanganyika na kumnufaisha Mzanzibar lakini bado Mzanzibar analalamika na kutetewa na akina Zitto?
Ndio maana nawaita wajinga kama sio wapumbavu, yaani anyonywe Zanzibar mje kusema Bara inanyonywa?

Bara ndio wanaung'ang'ania na hakuna Mzanzibari anautaka.
 
Hatujuani bwashee! Zitto dogo na tunajuana. Naona na wewe ni kilaza tu
Huna hoja ndio maana unaongea ujinga.

Hakuna mtu anataka kujua sura Yako Bali content zako zinaonyesha ni kiazi.
 
Kwani waoni asilimia ngapi ya watanzania wote? Zitto anajenga hoja kitoto sana
 
Twende kwanza Kwa population ratios 1.5m Kwa 60m ni sawa na 1.5/60 x 100 = ni sawa na 2.5% sasa kwenye mapato au mikopo inatakiwa hii ndio iwe kigezo!! Hata uwakilishi bungeni, Sasa iweje mbunge mmoja awakilishe watu wachache kama diwani wa Huku!? Any way yule mpendekeza passport ndio alilikoroga zaidi ni Bora Sasa Huu muungano ujadiliwe tufikie muafaka wa usawa!!
 
Zitto yupo bias kutokana
1.uislam-akili hua inahama haifanyi kazi kama namba 1 ni Muislam mwenzake.
2.Mapato ya chama chake chanzo ni Serikali ya Zanzibar.
Hapo lazima atetee hata kama cheusi kiwe chekundu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…