Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Honestly sielewi hata unaongea utoto gani!Nani anataka kuvuruga Tanzania zaidi ya nyie Machadema? Harafu Tanzania ikifa nyie Machadema na wale ewajinga mtanufaikaje Sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Honestly sielewi hata unaongea utoto gani!Nani anataka kuvuruga Tanzania zaidi ya nyie Machadema? Harafu Tanzania ikifa nyie Machadema na wale ewajinga mtanufaikaje Sasa?
Unashindia mayai viza utakuwa na akili zipi za kunielewa?Honestly sielewi hata unaongea utoto gani!
Ya kwanza umeleta namba, that's good, ya pili umeleta maelezo ya mtu, tena akiwa anaongea na waandishi wa habari...Tizama uwiano hapo chini.
Huo ni mfano tu nimechukua mapato ya mwaka fulani na mwaka fulani kote kote .View attachment 2979568View attachment 2979569
Maskini Zitto, ungwini wake mzigo hajui kuwa asilimia mbili wanazopata ni kubwa zaidi kimahesabu.
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa mojawapo ya Changamoto za Muungano Kwa miaka Mingi.
Aidha Kwa wale msiojua TRA inakusanya zaidi ya Bilioni 400 Kila mwaka kutoka Zanzibar ambazo Kwa sehemu kubwa zinatumika Bara.
=======
MAPATO KARIBU YOTE YA MUUNGANO HUCHUKULIWA NA TANZANIA BARA - ZITTO
Zitto Kabwe amesema Mapato yote ya Muungano kutoka mambo ya muungano, Zanzibar inatumia 2% tu, wakati Tanganyika inatumia 98%. Ziada ya mapato ya Muungano ukiondoa matumizi ya muungano yote inachukuliwa na Tanganyika," Zitto Kabwe
Pia ameeleza kuwa Zanzibar wanapata 4.5% tu ya mikopo na misaada ya kimataifa kutoka nje. Zanzibar inaidai Serikali ya Muungano matrilioni ya fedha ambazo hawapati kama mgawo wao. Ukweli ni kwamba hata mtaji wa kuanzisha Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zilitumika fedha za Zanzibar
========
My Take
Naunga mkono hoja ya Zito, Wazanzibar ndio wanapaswa kulaumu na kulalamika kuhusu Muungano kwamba wanapunjwa na sio Tanzania Bara kama wanavyodanganywa na kina Lissu.
Unajaribu kujiuliza, Chadema na Lisu wake na kina Mbowe wanahubiri Mgawanyiko,chuki na Utengano wa Tanzania Kwa maslahi ya nani hasa?
Mfanyakazi Online Media
TRA Zanzibar?Zanzibar inajitegemea Kwa Mapato yake ,kinachotoka Bara kwenda huko ni 2% tuu na wakati Bara mnakomba 98% ya Mapato yanayotokana na Muungano zikiwemo zaidi ya Bilioni 400 ambazo TRA anakusanya Bado taasisi zingine kama uhamiaji ,Utalii nk.
Unashangaa nini Sasa? Ndio ilivyo hivyoTRA Zanzibar?
Zito na wewe nani ni bingwa wa Uchumi na hesabu? Acha ujingaMaskini Zitto, ungwini wake mzigo hajui kuwa asilimia mbili wanazopata ni kubwa zaidi kimahesabu.
Watanganyika tupo 60M na Wazanzibari 1.2M Hivyo ukichukua mapato kwa idadi ya watu, Tanganyika inapaswa ipate 98.04% na Wazanzibari wapate 1.96%. Wakipata 2% wanakuwa wameondezewa 0.04% sasa nani anapunjwa? Watanganyika wanapunjwa kwa 0.04%.
Chenga za zao gani? Jikite kwenye hojaZitto ni Chenga.
Ana hoja gani Zanzibar wanachangia ngapi wanazokusanya kupitia ZRA!huyo Zitto ni tumbiri.Chenga za zao gani? Jikite kwenye hoja
Hatujuani bwashee! Zitto dogo na tunajuana. Naona na wewe ni kilaza tuZito na wewe nani ni bingwa wa Uchumi na hesabu? Acha ujinga
Nani anayeung'ang'ania huu Muungano unaomnyonya Mtanganyika na kumnufaisha Mzanzibar lakini bado Mzanzibar analalamika na kutetewa na akina Zitto?
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa mojawapo ya Changamoto za Muungano Kwa miaka Mingi.
Aidha Kwa wale msiojua TRA inakusanya zaidi ya Bilioni 400 Kila mwaka kutoka Zanzibar ambazo Kwa sehemu kubwa zinatumika Bara.
=======
MAPATO KARIBU YOTE YA MUUNGANO HUCHUKULIWA NA TANZANIA BARA - ZITTO
Zitto Kabwe amesema Mapato yote ya Muungano kutoka mambo ya muungano, Zanzibar inatumia 2% tu, wakati Tanganyika inatumia 98%. Ziada ya mapato ya Muungano ukiondoa matumizi ya muungano yote inachukuliwa na Tanganyika," Zitto Kabwe
Pia ameeleza kuwa Zanzibar wanapata 4.5% tu ya mikopo na misaada ya kimataifa kutoka nje. Zanzibar inaidai Serikali ya Muungano matrilioni ya fedha ambazo hawapati kama mgawo wao. Ukweli ni kwamba hata mtaji wa kuanzisha Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zilitumika fedha za Zanzibar
========
My Take
Naunga mkono hoja ya Zito, Wazanzibar ndio wanapaswa kulaumu na kulalamika kuhusu Muungano kwamba wanapunjwa na sio Tanzania Bara kama wanavyodanganywa na kina Lissu.
Unajaribu kujiuliza, Chadema na Lisu wake na kina Mbowe wanahubiri Mgawanyiko,chuki na Utengano wa Tanzania Kwa maslahi ya nani hasa?
Mfanyakazi Online Media
Ndio maana nawaita wajinga kama sio wapumbavu, yaani anyonywe Zanzibar mje kusema Bara inanyonywa?Nani anayeung'ang'ania huu Muungano unaomnyonya Mtanganyika na kumnufaisha Mzanzibar lakini bado Mzanzibar analalamika na kutetewa na akina Zitto?
Huna hoja ndio maana unaongea ujinga.Hatujuani bwashee! Zitto dogo na tunajuana. Naona na wewe ni kilaza tu
Kwani waoni asilimia ngapi ya watanzania wote? Zitto anajenga hoja kitoto sana
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa mojawapo ya Changamoto za Muungano Kwa miaka Mingi.
Aidha Kwa wale msiojua TRA inakusanya zaidi ya Bilioni 400 Kila mwaka kutoka Zanzibar ambazo Kwa sehemu kubwa zinatumika Bara.
=======
MAPATO KARIBU YOTE YA MUUNGANO HUCHUKULIWA NA TANZANIA BARA - ZITTO
Zitto Kabwe amesema Mapato yote ya Muungano kutoka mambo ya muungano, Zanzibar inatumia 2% tu, wakati Tanganyika inatumia 98%. Ziada ya mapato ya Muungano ukiondoa matumizi ya muungano yote inachukuliwa na Tanganyika," Zitto Kabwe
Pia ameeleza kuwa Zanzibar wanapata 4.5% tu ya mikopo na misaada ya kimataifa kutoka nje. Zanzibar inaidai Serikali ya Muungano matrilioni ya fedha ambazo hawapati kama mgawo wao. Ukweli ni kwamba hata mtaji wa kuanzisha Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zilitumika fedha za Zanzibar
========
My Take
Naunga mkono hoja ya Zito, Wazanzibar ndio wanapaswa kulaumu na kulalamika kuhusu Muungano kwamba wanapunjwa na sio Tanzania Bara kama wanavyodanganywa na kina Lissu.
Unajaribu kujiuliza, Chadema na Lisu wake na kina Mbowe wanahubiri Mgawanyiko,chuki na Utengano wa Tanzania Kwa maslahi ya nani hasa?
Mfanyakazi Online Media
Hoja ni mgawanyo kulingana na mchango wako au ni asilimia ya watu? Acha utotoKwani waoni asilimia ngapi ya watanzania wote? Zitto anajenga hoja kitoto sana
Sasa watu asilimia 2 unataka tugawane nusu kwa nusu? Si upoyoyo huo? Huko shuleni ulienda kusomea ujinga?Hoja ni mgawanyo kulingana na mchango wako au ni asilimia ya watu? Acha utoto