Umesoma nimeandika nini? Ukilaza wako ufiche. Zitto Kabwe: Tanzania Bara (Tanganyika) inachukua 98% ya Mapato yote ya Muungano, Zanzibar inaambulia 2% tuHuna hoja ndio maana unaongea ujinga.
Hakuna mtu anataka kujua sura Yako Bali content zako zinaonyesha ni kiazi.
Acha kula mayai viza yasiyo na baba ndio maana huna akiliUmesoma nimeandika nini? Ukilaza wako ufiche. Zitto Kabwe: Tanzania Bara (Tanganyika) inachukua 98% ya Mapato yote ya Muungano, Zanzibar inaambulia 2% tu
Kwa ehamtaki Kila mtu abakie na chake?Sasa watu asilimia 2 unataka tuga2ane nusu kwa nusu? Si upoyoyo huo? Huko shuleni ulienda kusomea ujinga?
Nyerere alifanya makosa sana,alitakiwa uweke sawa iwe nchi moja toka wakati ule.But hata nchi zilizounganana na kuwa moja,ilitumika force.Maana ya Muungano itakuwa haipo.Suluhu ni Nchi Moja ,jambo ambalo Wazanzibar hawataki kusikia.
Kama vipi hata muungano ufe kwani lazima? Kila mtu akibaki na chake, hapo hakuna muungano.Kwa ehamtaki Kila mtu abakie na chake?
Russian vs UkranePesa
Security
Israel vs Gaza
China vs Taiwan
US anajuta pale Kwa Cuba 😂😂😂😂
Umeongea vizuri sana kuhusu uchumi na nguvu kazi Ya zanzibar utajiri waanchi wala hauitaji majitu yenye misuli mikubwa sana ila inaitaji watu wenye vichwa vizuri kwa mfano Swiden ni nchi ndogo sana ila bajeti yake Tanzani hatuiwezi hata mara 100, Twende hapo Rwanda tu watu wake wanaishi maisha mazuri kuliko Tanzania, Magari ya Rwanda yanayokuja kuchua mizigo bandari ya Dsm na mamia kwa mamia kila siku. Zanzibar kwa idadi ya watu walio nao utalii na Bahari tu vinaendesha hiyo nchi. Sehemu za uwekezaji zanzibar hakuna ila wanaweza wakaendesha uchumi kwa kipato hicho hicho wanachokipata tofauti na sisi. Kuhusu uwezo wa kufanya kazi Wanzanzibar siyo slake kama unavyowaona wanapiga mzigo tu bila shida ila huku kote tumetoka nje ya Mada Mada muhimu muungano uboreshwe ili uwe na tija kila upande. Uu muungano tulionao hauweleweki ni Muungano wa Aina gani ni kama vile ukoloni mamboleoKaka unatakiwa utafakari kabla hujaongea.
Kama Zanzibar itaendelea mara dufu muungano ukivunjika mbona Pemba tu haijaendelea!?
Nigeria ni nchi yenye reserve kubwa ya mafuta je imeendelea?
Ghana na Senegal nao ni vile vile je wameendelea!?
Zanzibar ni visiwa vinavyokosa watu wenye weledi na wachapakazi.
Ili nchi iendelee inahitaji nguvu kazi yenye weledi na wachapakazi na waliokua foresighted.
Lakini hiko kitu Wazanzibari hawana,nani atawaendeleza!?
Unadhani mafuta yanajichimba tu yenyewe pasi na kuwa na viongozi wenye kuweka sera nyoofu za kiuchumi!?
Nani kakudanganya uchumi wa buluu peke yake unawatosha!?
MADAGASCAR ilijidanganya vivyo hivyo kuwa na uchumi wa buluu na Madagascar ni miongoni mwa mataifa kumi masikini duniani.
Zanzibar muungano ukivunjika hao waarabu wataihama Zanzibar na kuja bara woooteeee.
Zanzibar hakuna room of adjustment mzee.
Kungekuwepo ungewaona kina Ghalib Said na Said Salim Bakhresa wameshawekeza.
Nenda Unguja na Pemba wengi wao watakwambia "NDOTO ZETU NI KUFIKA BARA TUKAFANYE UWEKEZAJI".
Jiulize kwanini wengi wao husema hivyo!?
Investment ni kitu muhimu ila kwa Zanzibar sio sehem rafiki kwa investment.
Msijidanganye Waarabu wenyewe Zanzibar wanaikimbia wanaona matatizo matupu.
Muulize Bakhresa anatokea wap???Ndio matajiri wa Bara hapa,punguzeni majungu na fitina pigeni kazi
Kwa hiyo hoja yake huyu Mhutu Tanganyika ife na Zanzibar iishi?
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa mojawapo ya Changamoto za Muungano Kwa miaka Mingi.
Aidha Kwa wale msiojua TRA inakusanya zaidi ya Bilioni 400 Kila mwaka kutoka Zanzibar ambazo Kwa sehemu kubwa zinatumika Bara.
=======
MAPATO KARIBU YOTE YA MUUNGANO HUCHUKULIWA NA TANZANIA BARA - ZITTO
Zitto Kabwe amesema Mapato yote ya Muungano kutoka mambo ya muungano, Zanzibar inatumia 2% tu, wakati Tanganyika inatumia 98%. Ziada ya mapato ya Muungano ukiondoa matumizi ya muungano yote inachukuliwa na Tanganyika," Zitto Kabwe
Pia ameeleza kuwa Zanzibar wanapata 4.5% tu ya mikopo na misaada ya kimataifa kutoka nje. Zanzibar inaidai Serikali ya Muungano matrilioni ya fedha ambazo hawapati kama mgawo wao. Ukweli ni kwamba hata mtaji wa kuanzisha Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zilitumika fedha za Zanzibar
========
My Take
Naunga mkono hoja ya Zito, Wazanzibar ndio wanapaswa kulaumu na kulalamika kuhusu Muungano kwamba wanapunjwa na sio Tanzania Bara kama wanavyodanganywa na kina Lissu.
Unajaribu kujiuliza, Chadema na Lisu wake na kina Mbowe wanahubiri Mgawanyiko,chuki na Utengano wa Tanzania Kwa maslahi ya nani hasa?
Mfanyakazi Online Media
Tanganyika ilishajigeuza Tanzania.Sasa kelele za nyie punguani Zina msingi gani?Kwa hiyo hoja yake huyu Mhutu Tanganyika ife na Zanzibar iishi?
Hata maji hakunaTizama uwiano hapo chini.
Huo ni mfano tu nimechukua mapato ya mwaka fulani na mwaka fulani kote kote .View attachment 2979568View attachment 2979569
Mwambieni huyo shangazi @fatumakarume kwamba babu yake Abeid Aman Karume alikuwa Mnyasa wa Malawi aliyeenda Zanzibar kutafuta kazi ya ubaharia mwishoe kaangukie kwenye siasa na ndiye aliyekubali kuungana na Tanganyika kwa mapatano na Nyerere na sio kushirikisha wananchi wa pande zote mbili kuridhia.Sasa hapo ndio uneongea nini? Kwanza Huwa mnawapelekea Watangabyika kutawala kule View attachment 2978632
Wala sio nje ya mada vinahusiana.Umeongea vizuri sana kuhusu uchumi na nguvu kazi Ya zanzibar utajiri waanchi wala hauitaji majitu yenye misuli mikubwa sana ila inaitaji watu wenye vichwa vizuri kwa mfano Swiden ni nchi ndogo sana ila bajeti yake Tanzani hatuiwezi hata mara 100, Twende hapo Rwanda tu watu wake wanaishi maisha mazuri kuliko Tanzania, Magari ya Rwanda yanayokuja kuchua mizigo bandari ya Dsm na mamia kwa mamia kila siku. Zanzibar kwa idadi ya watu walio nao utalii na Bahari tu vinaendesha hiyo nchi. Sehemu za uwekezaji zanzibar hakuna ila wanaweza wakaendesha uchumi kwa kipato hicho hicho wanachokipata tofauti na sisi. Kuhusu uwezo wa kufanya kazi Wanzanzibar siyo slake kama unavyowaona wanapiga mzigo tu bila shida ila huku kote tumetoka nje ya Mada Mada muhimu muungano uboreshwe ili uwe na tija kila upande. Uu muungano tulionao hauweleweki ni Muungano wa Aina gani ni kama vile ukoloni mamboleo
Zenji wanapiga kazi ...umeshaafanya kaz na hao wwtu kweli .kuna siku naamin wwtabaki wemyewe nione miujiza yao .kisingizio cha muungano kuwanyanya hakitakuwepoZenj wangejitawala wangekuwa mbali sana,wanapiga kazi ila Bara watu Wana mdomo na fitina hatari.
Just imagine licha ya Samia kutoka Zanzibar kuwaokoa kwenye uchumi ulikokuwa unakuta wameishia kumjazia fitina 😁😁
Wajinga na wavivu ndo hujiona kuww mmungano ni kikwwzo cha wao kuendeleaTuseme ukweli, nje ya muungano, SMZ haiwezi kuendesha taifa la Zanzibar hata kwa miezi mitatu.
Muungano kimaisha unatusitiri mnoo wazanzibar.
Ndo maana naamini kuna siku huu mungano utavunjika nione watafanya miujiza ganipesa ndogo sana hiyo,Tena wazanzibar wanatupunja,hiyo ina maana TRA Kila mwezi huchukua billion 33.3🤣🤣🤣,halafu hela hiyohiyo tuwalipe wabunge wao 80 wanaofika huku,wanajeshi,police na uhamiaji walioko kule,wizara zote za muungano na hapohapo wanapata asilimia mbili Tena aisee mbona tunapunjwa sisi wabara
Wanasiasa wasaliti na wapumbavu kama hawa....ni hasara kwa taifa...hatuwezi kuendeleaAnaongelea TRA ilhali anafahamu fika kuwa Zanzibar wana mamlaka yao ya mapato ZRA, ambayo Zanzbar inatumia mapato yake yote kwa 100%
Kama suala la mapato ni la Muungano, ZRA ni ya kazi gani Zenji? Si iwe tu hiyohiyo TRA...!!?
Kumbe kweli Zitto ni "mpumbavu"