Zitto Kabwe: Tanzania Bara (Tanganyika) inachukua 98% ya Mapato yote ya Muungano, Zanzibar inaambulia 2% tu

Tusaidie tujue hayo mapato ya Muungano ni yapi?
 
Zenj,hawalipi bill ya umeme wanaotumia, unalipwa na Kodi za Bara! Wabunge wao waliopo Dom, mishahara Yao inatoka hazina Bara, mzenj anaweza pata ajira pande zote za, serikali,m Bara ni, Bara tu, wazir wa Mambo ya ndani mzenj, boss wa takukuru mzenj, zenj wapo 4M, Bara tupo 60M, you lose some you gain some, me thinks hii ni zero sum game! Hakuna mwenye faida wala hasara!
 
Mchukue mabilioni Yao afu useme walipie?
 
Kipimdi hicho alikua mzima, saiz akili zime change yule anaropoka tu hana hat staha ya maneno
 
Pole sana, utakufa na chuki zako
 
Ulitaka zito afanyaje kwasababu kivunjika kwa muungano nikuvunjika kwa ACT-wazelendo
 
Umezunguka weeee kumbe mada yako inamhusu Mh Lissu na Chadema. Washukuru sana bila wao unadhani nani angekuwa anakulipa hizo buku7
 
Zito huwa yuko makini sana, huchagua angel moja muhimu na kuielezea kifasaha sana kwa lugha rahisi, ya busara na ya staha sana.....

sasa sikilizia mamluki wa kibaraka, kwanza watachangamka kidogo, japo watakua wamechanganyikiwa vibaya zaidi πŸ’
Hata hueleweki umeandika nini, au ndiye mleta mada? Mbona kama ujinga wenu unafanana?
 
Hata hueleweki umeandika nini, au ndiye mleta mada? Mbona kama ujinga wenu unafanana?
ulielewa mbona umepanic na kuhemka sasa, badala ye kuchangia hoja Mahususi mezani 🀣

kwamba wewe umejaa makasiriko tu akilini na moyoni, right?πŸ’
 
Kama kila upande unalalamika, tutafute namna ya kuwa na amani. Kusiwepo na wakumlalamikia mwingine. Tuachane kwa amani na upendo, tukutane kwenye East Africa Community, kama ilivyo Kenya, Uganda na wengineo.

Halafu kuwe na sheria maalum ya kuruhusu uraia pacha kwa Wazanzibari waliokwishaweka makazi Tanganyika, na Watanganyika wenye makazi Zanzibar. Halfu kuwepo na kipindi cha mpito ili kuiwezesha Zanzibar kuunda taasisi zake ambazo awali haikuwa nazo.
 
Pole sana, utakufa na chuki zako
Mie sina chuki na mtu buddah.
Ila kama ukweli umekuuma pole sana.
Sina chuki na yeyote yule,hao wapemba ni ndugu zangu na kila mwisho wa mwaka nawatembelea,tunakula pamoja na kulala pamoja.
Ila ukweli wapaswa usemwe.
 
Wewe nd mpumbavu, kama ZNZ wanatumia ZRA sasa iyo TRA kule zanzibar imefat nn ??
 
Maana ya Muungano itakuwa haipo.Suluhu ni Nchi Moja ,jambo ambalo Wazanzibar hawataki kusikia.
Sasa ndugu, kama kweli unapenda haki na usawa, kwann mnaing'ang'ania znz, kama wenyew wanatak serikali tatu why muwang'ang'anie waingie serikali moja ??
Tafsiri yake ni kwamba Bara wanawahitaji zaidi zenji huko wanavowahitaji
 
Mimi hoj yang ni ndg t, kama mgawanyo hauwiani kwann na badi zanzibar hawautak muungano kwann mnawa ng'ang'ania ? Kwann hamvunji huu muungano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…