Kama hawawapendi mbona wanawachagua??๐๐Ili kuikandamiza Zanzibar.Muache na kuwapelekea Viongozi wa Bara ๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hawawapendi mbona wanawachagua??๐๐Ili kuikandamiza Zanzibar.Muache na kuwapelekea Viongozi wa Bara ๐๐
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa mojawapo ya Changamoto za Muungano Kwa miaka Mingi.
Aidha Kwa wale msiojua TRA inakusanya zaidi ya Bilioni 400 Kila mwaka kutoka Zanzibar ambazo Kwa sehemu kubwa zinatumika Bara.
=======
MAPATO KARIBU YOTE YA MUUNGANO HUCHUKULIWA NA TANZANIA BARA - ZITTO
Zitto Kabwe amesema Mapato yote ya Muungano kutoka mambo ya muungano, Zanzibar inatumia 2% tu, wakati Tanganyika inatumia 98%. Ziada ya mapato ya Muungano ukiondoa matumizi ya muungano yote inachukuliwa na Tanganyika," Zitto Kabwe
Pia ameeleza kuwa Zanzibar wanapata 4.5% tu ya mikopo na misaada ya kimataifa kutoka nje. Zanzibar inaidai Serikali ya Muungano matrilioni ya fedha ambazo hawapati kama mgawo wao. Ukweli ni kwamba hata mtaji wa kuanzisha Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zilitumika fedha za Zanzibar
========
My Take
Naunga mkono hoja ya Zito, Wazanzibar ndio wanapaswa kulaumu na kulalamika kuhusu Muungano kwamba wanapunjwa na sio Tanzania Bara kama wanavyodanganywa na kina Lissu.
Kama Zanzibar isingekuwa inapangiwa na kutawaliwa na Tanganyika ingekuwa kama Mauritius au Saychelles ๐๐
View: https://twitter.com/AfricaFactsZone/status/1787528342389879247?t=spKjGQ9yyEpYSftfw0IDbg&s=19View attachment 2983347View attachment 2983348View attachment 2983350
Unajaribu kujiuliza, Chadema na Lisu wake na kina Mbowe wanahubiri Mgawanyiko,chuki na Utengano wa Tanzania Kwa maslahi ya nani hasa?
Mfanyakazi Online Media
Kwa mfano nani?Ndio matajiri wa Bara hapa,punguzeni majungu na fitina pigeni kazi

Mchukue mabilioni Yao afu useme walipie?Zenj,hawalipi bill ya umeme wanaotumia, unalipwa na Kodi za Bara! Wabunge wao waliopo Dom, mishahara Yao inatoka hazina Bara, mzenj anaweza pata ajira pande zote za, serikali,m Bara ni, Bara tu, wazir wa Mambo ya ndani mzenj, boss wa takukuru mzenj, zenj wapo 4M, Bara tupo 60M, you lose some you gain some, me thinks hii ni zero sum game! Hakuna mwenye faida wala hasara!
Kipimdi hicho alikua mzima, saiz akili zime change yule anaropoka tu hana hat staha ya manenoWewe huelewi chochote kuhusiana na Lisu.
Spika Anna Makinda, kama spika mstaafu akimwelezea Lisu, anasema hakuna hata mbunge mmoja aliyewahi kuwa na mchango na msaada mkubwa kwa bunge katika kupitia miswada ya inayoletwa na Serikali Bungeni, kama TUNDU ANTIPAS LISU. Anasema alikuwa mwalimu wa wabunge. Na anasema kuwa Lisu ndiye aliyekuwa anawafungua akili kwenye miswada tata, na bila ya Lisu, mara kadhaa Bunge lilikuwa kwenye hatari ya kupitisha miswada tata kuwa sheria.
Halafu unakuta mtu ambaye ni ounguani kabisa, anasema Lisu hana mchango kwa Taifa. Lisu kwa ujumla, hata bila ya kuwa na Serikali, mchango na influence yake kwa nchi, haupimiki.
Acha kuwadanganya , wataishi kama Burundi au MalawiZenji shikilieni hapo , mkiwa wachache mtaishi kama Botswana.
Pole sana, utakufa na chuki zakoMatajiri ni wapemba waarabu.
Generally tuseme waarabu,wazanzibari hawana hurka ya maendeleo,hawapendi kusoma na wanapenda umwinyi.
Zanzibar kama ingeachwa yenyewe ingebaki MASIKINI KUTUPWA.
Nenda Zanzibar halafu ukaone maisha yao.
Mtu anafanya kazi akishapata hela ya kula basi anarudi nyumbani kupumzika,elimu hawataki wanashikilia kusomeshana elimu ya majini tu.
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa mojawapo ya Changamoto za Muungano Kwa miaka Mingi.
Aidha Kwa wale msiojua TRA inakusanya zaidi ya Bilioni 400 Kila mwaka kutoka Zanzibar ambazo Kwa sehemu kubwa zinatumika Bara.
=======
MAPATO KARIBU YOTE YA MUUNGANO HUCHUKULIWA NA TANZANIA BARA - ZITTO
Zitto Kabwe amesema Mapato yote ya Muungano kutoka mambo ya muungano, Zanzibar inatumia 2% tu, wakati Tanganyika inatumia 98%. Ziada ya mapato ya Muungano ukiondoa matumizi ya muungano yote inachukuliwa na Tanganyika," Zitto Kabwe
Pia ameeleza kuwa Zanzibar wanapata 4.5% tu ya mikopo na misaada ya kimataifa kutoka nje. Zanzibar inaidai Serikali ya Muungano matrilioni ya fedha ambazo hawapati kama mgawo wao. Ukweli ni kwamba hata mtaji wa kuanzisha Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zilitumika fedha za Zanzibar
========
My Take
Naunga mkono hoja ya Zito, Wazanzibar ndio wanapaswa kulaumu na kulalamika kuhusu Muungano kwamba wanapunjwa na sio Tanzania Bara kama wanavyodanganywa na kina Lissu.
Kama Zanzibar isingekuwa inapangiwa na kutawaliwa na Tanganyika ingekuwa kama Mauritius au Saychelles ๐๐
View: https://twitter.com/AfricaFactsZone/status/1787528342389879247?t=spKjGQ9yyEpYSftfw0IDbg&s=19View attachment 2983347View attachment 2983348View attachment 2983350
Unajaribu kujiuliza, Chadema na Lisu wake na kina Mbowe wanahubiri Mgawanyiko,chuki na Utengano wa Tanzania Kwa maslahi ya nani hasa?
Mfanyakazi Online Media
Hata hueleweki umeandika nini, au ndiye mleta mada? Mbona kama ujinga wenu unafanana?Zito huwa yuko makini sana, huchagua angel moja muhimu na kuielezea kifasaha sana kwa lugha rahisi, ya busara na ya staha sana.....
sasa sikilizia mamluki wa kibaraka, kwanza watachangamka kidogo, japo watakua wamechanganyikiwa vibaya zaidi ๐
ulielewa mbona umepanic na kuhemka sasa, badala ye kuchangia hoja Mahususi mezani ๐คฃHata hueleweki umeandika nini, au ndiye mleta mada? Mbona kama ujinga wenu unafanana?
JidanganyeAcha kuwadanganya , wataishi kama Burundi au Malawi
Mie sina chuki na mtu buddah.Pole sana, utakufa na chuki zako
Wewe nd mpumbavu, kama ZNZ wanatumia ZRA sasa iyo TRA kule zanzibar imefat nn ??Anaongelea TRA ilhali anafahamu fika kuwa Zanzibar wana mamlaka yao ya mapato ZRA, ambayo Zanzbar inatumia mapato yake yote kwa 100%
Kama suala la mapato ni la Muungano, ZRA ni ya kazi gani Zenji? Si iwe tu hiyohiyo TRA...!!?
Kumbe kweli Zitto ni "mpumbavu"
Sasa ndugu, kama kweli unapenda haki na usawa, kwann mnaing'ang'ania znz, kama wenyew wanatak serikali tatu why muwang'ang'anie waingie serikali moja ??Maana ya Muungano itakuwa haipo.Suluhu ni Nchi Moja ,jambo ambalo Wazanzibar hawataki kusikia.
Mimi hoj yang ni ndg t, kama mgawanyo hauwiani kwann na badi zanzibar hawautak muungano kwann mnawa ng'ang'ania ? Kwann hamvunji huu muunganoHiyo figure ya bilioni 400 haina maana yoyote kama huelezi Zanzibar inapata nini kutoka Serikali ya JMT. Kwenye makusanyo ya TRA umetaja figure ya makusanyo. Kwenye mgawanyo wa makusanyo unataja asilimia! Unaficha nini? Ndiyo maana nasema kuwa hoja ya Zito ni kwaajili ya wajinga.
Kama hujui, makusanyo ya TRA ya JMT ni wastani wa trilioni 3 kwa mwezi. Kwa mwaka ni takribani trilioni 36. Bilioni 400 ni only 1%. Hivyo, hata maneno yamo ya kusrma kuwa Zanzibar inapata 4.5% yangekuwa ni ya kweli, bado Zanzibar inapata kikubwa sana ukilinganisha na inachochangia. Zanzibar inachangia 1%, halafu inapata 4.5%.
Yaelekea wewe siyo mfuatiliaji wa mambo. Hata ile pesa ya mkopo wa Covid toka Jumuia ya Ulaya, Zanzibar ilipata 20%, na watu walilalamika, na hata hapa JF kulikiwa na mada iliyohusiana na mgawanyo huo usiozingatia uhalisia.