Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwinyi katika kitabu chake alisema aliibiwa vitu vyake vya ujenzi na waziri mwenzake na akamwambia arudi kwao Zanzibar. Kama waziri anaambiwa hivyo basi ni kazi sanaZanzibar inachangia kiasi Gani kwenye bajeti ya mambo ya muungano?
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa mojawapo ya Changamoto za Muungano Kwa miaka Mingi.
Aidha Kwa wale msiojua TRA inakusanya zaidi ya Bilioni 400 Kila mwaka kutoka Zanzibar ambazo Kwa sehemu kubwa zinatumika Bara.
View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785636663323996254?t=s92jVBKH81hHu1XZDDDIwg&s=19
My Take
Naunga mkono hoja ya Zito, Wazanzibar ndio wanapaswa kulaumu na kulalamika kuhusu Muungano kwamba wanapunjwa na sio Tanzania Bara kama wanavyodanganywa na kina Lissu.
View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785629244741005525?t=aa-cd8j2wSKWNuS9EY_8Dw&s=19
Unajaribu kujiuliza, Chadema na Lisu wake na kina Mbowe wanahubiri Mgawanyiko,chuki na Utengano wa Tanzania Kwa maslahi ya nani hasa?

Jikite kwenye hoja acha ujingaZi
Zitto anawategemea sana wazazibar kuendesha chama chake Cha ACT bila Zanzibar hakuna ACT.
Acha kukurupuka,ingekuwa haichangii hiyo ratio usingeiona hapoJapo ni uongo na hata kama ingekuwa kweli kwenye alimia 100 ya hayo mapato Zanzibar inachangia shilingi ngapi?
Wapi kasema kugawanya sawa!?..huwa mmejaza maji vichwani!?Yeye akiwa Rais atawagawanya bara sawa kwa sawa na visiwani. Je Ratio ya mapato bara na visiwani yakoje?
Share yao ya mikopo tangu muungano mmewapa!?..au hiyo 20% ndiyo wameamua kukata deni lao!?..ukila Cha mtu utalipa,mapato ya utalii zenji mnabebaZito awaokote wasiojielewa.
Wale wasiojua:
Mikopo inachukuliwa na Tanganyika kwa jina la Tanzania. Na siku zote mkopaji ndiye anayedaiwa. Lakini kuanzia mwaka 2022 Zanzibar imekuwa ikipewa 20% ya mikopo hiyo huku Zanzibar ikiwa na watu 3% tu ya watu wote.
Kuanzia mwaka 2022, misaada ambayo imekuwa ikitolewa kwa Tanzania, Zanzibar imekuwa ikichukua 20% wakati idadi ya watu na ukubwa wa eneo la Zanzibar ni chini ya 4% ya nchi.
Makubaliano wakati wa Muungano, Zanzibar inastahili kupewa 8%, ambayo bado ilikuwa kubwa sana kulinganisha na kile wanachopata Tanganyika. Lakini sasa, kimya kimya imetoka kwenye 8% mpaka 20%. Wakati huo huo, bado kuna gharama nyingine kama umeme, Zanzibar imekuwa hailipii kwa maelezo kuwa mapato yake ni madogo!!
Hata wewe unaweza kuonyeha Zanzibar anachangia ngapi na tanganyika anachangia ngapi sio lazima aonyeshe zitoHuyu chenga tu kwanini asioneshe pia wao wanachangia kiasi gani
Majibu haya ulitakiwa umjibu lissu lakini huwa unajificha wakati mama wa watu anatemreshwa pwani samahani nimetumia lugha ya kimwambao zaidi!Lisu hajatoa hoja zaidi ya kuhubiri chuki na mgawanyiko.
Mbona Mkapa mlisema anauza Nchi,alikuwa ni Mzanzibari?
Tangu lini ubinafsishaji ukawa kuuza Mali?
Pili tangu lini kuhamisha Masai kuwatoza kwenye Hifadhi Ili kuilinda ikawa kufukuza watu? Maana wanaohamishwa Kwa staha na stahiki zote,kufukuza kunatokea wapi?
Hapo Kuna hoja au upunguani?
Mwisho uvunje Muungano Kwa maslahi ya nani? Ili kitokee nini hasa?
Zanzibar inachangia kiasi Gani kwenye bajeti ya mambo ya muungano?
Kwa nini wachangie wakati wanawadai ?Zanzibar inachangia kiasi Gani kwenye bajeti ya mambo ya muungano?
Kwa hiyo pesa muliokopa kujenga tanganyika walipe wazanzibari? Pole sanaPia itakuwa busara tukisema na madeni tushare kwa pro-rata
Kudaiwa na zanzibar is not a point kama deni la nje ni tril 90 walelete madai yao yaoigizwe kwenye deni tukisha rekebisha muungano tutalipa tu
Utamfikishia weweMajibu haya ulitakiwa umjibu lissu lakini huwa unajificha wakati mama wa watu anatemreshwa pwani samahani nimetumia lugha ya kimwambao zaidi!