Zitto Kabwe: Tanzania Bara (Tanganyika) inachukua 98% ya Mapato yote ya Muungano, Zanzibar inaambulia 2% tu

Wao zanzibar wanachangia asilimia ngapi kwenye revenue? Nadhani hata hiyo 2% ni uoendeleeo. Kwa population yao 1% inatosha.
 
Zanzibar inachangia kiasi Gani kwenye bajeti ya mambo ya muungano?
Mwinyi katika kitabu chake alisema aliibiwa vitu vyake vya ujenzi na waziri mwenzake na akamwambia arudi kwao Zanzibar. Kama waziri anaambiwa hivyo basi ni kazi sana
 
Kwanini hamjibu hoja ya lisuu mnaleta vioja?
 
TRA ya Zanzinar imeshikilia zile nyenzo kubwa za mapato, halafu ZRB wakapewa wakusanye zile nyenzo ndogo ndogo za mapato.
Nilishuhudia live kuna hoteli fulani ipo Zanzibar mmiliki wa hoteli hiyo aliamua kubadilisha jina la hotel tu basi akaamriwa aende kubadilisha jina Bara.
 
Zi Zitto anawategemea sana wazazibar kuendesha chama chake Cha ACT bila wazanzibar hakuna ACT.
 
Kama haya anayoyasema Ndugu Zitto,basi ni KWELI kuna TATIZO..ameongezea kwenye HOJA za Mh Lissu..na msingi TUKAE chini,tujadiliane kwa UWAZI n UKWELI huku tukitanguliza MBELE Mama Tanzania,
 
Uyu dogo akili aliziacha baada ya kukutanishwa na kikwete

Hajawahi kuaminika tena
 

Zitto kauza Chama kwa Wazanzibar sasa anawatumikia ....!!
 
Japo ni uongo na hata kama ingekuwa kweli kwenye alimia 100 ya hayo mapato Zanzibar inachangia shilingi ngapi?
Acha kukurupuka,ingekuwa haichangii hiyo ratio usingeiona hapo
 
Leta vyanzo vya mapato vya muungano then tuone upande upi unavyanzo vingi then tuanze kudadavua upande upi unaumia
 
Share yao ya mikopo tangu muungano mmewapa!?..au hiyo 20% ndiyo wameamua kukata deni lao!?..ukila Cha mtu utalipa,mapato ya utalii zenji mnabeba
 
Majibu haya ulitakiwa umjibu lissu lakini huwa unajificha wakati mama wa watu anatemreshwa pwani samahani nimetumia lugha ya kimwambao zaidi!
 
Pia itakuwa busara tukisema na madeni tushare kwa pro-rata

Kudaiwa na zanzibar is not a point kama deni la nje ni tril 90 walelete madai yao yaoigizwe kwenye deni tukisha rekebisha muungano tutalipa tu
Kwa hiyo pesa muliokopa kujenga tanganyika walipe wazanzibari? Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…