LGE2024 Zitto Kabwe: Tunatangaza kususia ofisi za viongozi wote waliochaguliwa kwa kura bandia mpaka Uchaguzi ufanyike upya

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Baada ya purukushani na kuwepo kwa vitendo vya wizi na udanganyifu kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo amewahimiza wananchi kususia na kugomea viongozi wa Serikali za Mitaa waliochaguliwa

Zitto amesema kuwa hakuna haja ya wananchi kuzipa imani serikali na viongozi walioingia kwenye madaraka kwa njia ya udanganyifu.

============================================

Na hii ndo approach nzuri. Hamna kususia uchaguzi lakini unasusia viongozi waliochaguliwa. CHADEMA mjifunze hapa

Your browser is not able to display this video.
 
Wengine ndio maana tumejitenga na siasa.. maana kwa kua kinyume/ kutaka mabadiriko TUNGESHA UWAWA maana "It's better to live one day like a lion rather than 100 years as a cowards.
 
Yani anamaanisha ukitakiwa upate barua ya mwenyekiti labda unaomba kazi basi ususie hiyo kazi uitoe sadaka 😂😂

Wapinzani wa hii nchi hivi bado hamjajua watanzania wanajielewa sana!!?? 😃
 
Yaani Kodi za Mwananchi zitumike kwa maigizo, alafu wakipata balaa na hizo ofisi wasiende, wakati nyie hapo nyuma ndio mlibariki kwamba mambo yanakwenda poa and all is Kosher ?

Kwahio wasusie mpaka baada ya miaka mitano muingie tena kwenye kinyanganyiro yatokeee haya haya ili wasusie tena...

- Heri Udikteta Kuliko Maigizo ya Demokrasia
 
Yani anamaanisha ukitakiwa upate barua ya mwenyekiti labda unaomba kazi basi ususie hiyo kazi uitoe sadaka 😂😂

Wapinzani wa hii nchi hivi bado hamjajua watanzania wanajielewa sana!!?? 😃
Una uhakika, weka ushahidi wa uelewa wao
 
Jamaa anaongea utadhani yupo serious vile....
Wapinzan ni wavuta bangi

Huu uchaguz ulionesha dalili zote chafu lakin wakakaza fuvu

Eti watazisusia ofisi,kwan kaambiwa ofisi za mitaa ni kama duka,pale lazima utaenda tu ukiwa na shida
 
Huyu naye hajitambui kuwa alishapuuuzwa na watanzania muda mrefu sana. Anapiga tu Makele kujifurahisha maana hakuna mtanzania mwenye akili Timamu anayeweza kumsikiliza huo ujinga.
 
Reactions: Tui
Huyu naye hajitambui kuwa alishapuuuzwa na watanzania muda mrefu sana. Anapiga tu Makele kujifurahisha maana hakuna mtanzania mwenye akili Timamu anayeweza kumsikiliza huo ujinga. Huwezi ukapata barua ya utambulisho bila kupitia kwa mwenyekiti wa mtaa wako.huwezi ukaenda kwa mtendaji wa kata au mtaa au kijiji kupata huduma fulani bila kupitia kwa mwenyekiti wa mtaa kupata barua ya utambulisho. Huwezi pia kwenda kupata dhamana polisi au popote pale bila kuanzia huku kwa wenyeviti wa mitaa kupata barua za utambulisho.

Kwa ufupi ni kuwa huyo jamaa anajitekenya na kujichekesha Mwenyewe na wala hakuna wa kumsikiliza wala hata kumfuatilia ndio maana wananchi wanamdharau sanaaa.maana wanajua ni mnafiki ,kigeugeu,ndumila kuwili na mwenye matendo kama kinyonga.
 
Daah zito kweli kaisha, hv yeye mfano inatakiwa barua ya utambulisho kwa ajili ya dhamana labda mahakamani, ya ndugu yake hataenda kwenye ofisi ya mtaa kuchukua?
Ni upuuzi mtupu,
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…