Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Baada ya purukushani na kuwepo kwa vitendo vya wizi na udanganyifu kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo amewahimiza wananchi kususia na kugomea viongozi wa Serikali za Mitaa waliochaguliwa
Zitto amesema kuwa hakuna haja ya wananchi kuzipa imani serikali na viongozi walioingia kwenye madaraka kwa njia ya udanganyifu.
============================================
Na hii ndo approach nzuri. Hamna kususia uchaguzi lakini unasusia viongozi waliochaguliwa. CHADEMA mjifunze hapa