LGE2024 Zitto Kabwe: Tunatangaza kususia ofisi za viongozi wote waliochaguliwa kwa kura bandia mpaka Uchaguzi ufanyike upya

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wakuu,

Baada ya purukushani na kuwepo kwa vitendo vya wizi na udanganyifu kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo amewahimiza wananchi kususia na kugomea viongozi wa Serikali za Mitaa waliochaguliwa

Zitto amesema kuwa hakuna haja ya wananchi kuzipa imani serikali na viongozi walioingia kwenye madaraka kwa njia ya udanganyifu.

============================================

Na hii ndo approach nzuri. Hamna kususia uchaguzi lakini unasusia viongozi waliochaguliwa. CHADEMA mjifunze hapa

View attachment 3165324
Ila Zitto! 😁😁😁

Napata wasiwasi kama Kiongozi Mstaafu wa #ACT-Wazalendo, Kaka Zitto Kabwe, kweli anajua majukumu ya viongozi hao kwenye jamii na changamoto zinazowakumba jamii kila siku zinazohitajika kutatuliwa na viongozi hao kila siku. Kuhamasisha wananchi kususia huduma za kijamii ni kama kumshauri mtu aache kula wakati wote akijua njaa haina huruma wala subira. Je, unafahamu kwamba huduma hizi za msingi mara nyingi ndizo tegemeo kuu la wananchi wa kipato cha chini, uchumi wa kati na wenye vipato vikubwa?

Kaka Zitto, ni vyema ukajikita katika kushauri wanachama na viongozi wa chama chako kutangaza sera na mipango madhubuti ya kuleta maendeleo badala ya kuwaingiza wananchi kwenye migogoro isiyo na tija. Siasa si porojo, ni mkakati na utekelezaji wa mipango inayowagusa watu moja kwa moja.

Kama mtazidi kuendelea na mikakati ya "kuzurura" bila dira ya wazi, 2025 haitakuwa mbali, na matokeo yake ni "mgaragazo" wa kishindo kama drum ya Halleluya! 😀😀😀

Kwa ushauri wa bure, jenga ajenda zinazojibu changamoto za wananchi. Masuala ya elimu, afya, ajira, na uchumi yanahitaji mwelekeo thabiti. Badala ya kutegemea porojo za kisiasa, elekezeni nguvu zenu kujenga sera zinazotegemewa na watu wa kawaida.

Mfikishieni Zitto ujumbe huo😁😁😁
Kila la heri, Kaka Zitto. 👊
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Wakuu,

Baada ya purukushani na kuwepo kwa vitendo vya wizi na udanganyifu kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo amewahimiza wananchi kususia na kugomea viongozi wa Serikali za Mitaa waliochaguliwa

Zitto amesema kuwa hakuna haja ya wananchi kuzipa imani serikali na viongozi walioingia kwenye madaraka kwa njia ya udanganyifu.

============================================

Na hii ndo approach nzuri. Hamna kususia uchaguzi lakini unasusia viongozi waliochaguliwa. CHADEMA mjifunze hapa

View attachment 3165324
Mnamsikilza zitto, mwambie aache kususia na kule zanzibar anapokula mifedha kila mwezi
 
Wakuu,

Baada ya purukushani na kuwepo kwa vitendo vya wizi na udanganyifu kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo amewahimiza wananchi kususia na kugomea viongozi wa Serikali za Mitaa waliochaguliwa

Zitto amesema kuwa hakuna haja ya wananchi kuzipa imani serikali na viongozi walioingia kwenye madaraka kwa njia ya udanganyifu.

============================================

Na hii ndo approach nzuri. Hamna kususia uchaguzi lakini unasusia viongozi waliochaguliwa. CHADEMA mjifunze hapa

View attachment 3165324
Hii mzuri sana. Vyama vyote vikubaliane hili. Haiwezekani tuendelee kuchezewa na kikundi kidogo cha watu kwa tamaa zao za madaraka.
 
Wewe ndio
Huyu naye hajitambui kuwa alishapuuuzwa na watanzania muda mrefu sana. Anapiga tu Makele kujifurahisha maana hakuna mtanzania mwenye akili Timamu anayeweza kumsikiliza huo ujinga. Huwezi ukapata barua ya utambulisho bila kupitia kwa mwenyekiti wa mtaa wako.huwezi ukaenda kwa mtendaji wa kata au mtaa au kijiji kupata huduma fulani bila kupitia kwa mwenyekiti wa mtaa kupata barua ya utambulisho. Huwezi pia kwenda kupata dhamana polisi au popote pale bila kuanzia huku kwa wenyeviti wa mitaa kupata barua za utambulisho.

Kwa ufupi ni kuwa huyo jamaa anajitekenya na kujichekesha Mwenyewe na wala hakuna wa kumsikiliza wala hata kumfuatilia ndio maana wananchi wanamdharau sanaaa.maana wanajua ni mnafiki ,kigeugeu,ndumila kuwili na mwenye matendo kama kinyonga.
Wewe ndio hujitambui unatetea uovu.
 
Wakuu,

Baada ya purukushani na kuwepo kwa vitendo vya wizi na udanganyifu kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo amewahimiza wananchi kususia na kugomea viongozi wa Serikali za Mitaa waliochaguliwa

Zitto amesema kuwa hakuna haja ya wananchi kuzipa imani serikali na viongozi walioingia kwenye madaraka kwa njia ya udanganyifu.

============================================

Na hii ndo approach nzuri. Hamna kususia uchaguzi lakini unasusia viongozi waliochaguliwa. CHADEMA mjifunze hapa

View attachment 3165324
Unafiki mkubwa, mngesusia uchaguzi
 
Wengine ndio maana tumejitenga na siasa.. maana kwa kua kinyume/ kutaka mabadiriko TUNGESHA UWAWA maana "It's better to live one day like a lion rather than 100 years as a cowards.
Mbona hueleweki kwanini umechagua Sasa njia mbaya ya kuwa coward? Au haujui ulichoandika.
 
Safi sana Zito. Ila wananchi wasiishie kuwasusia viongozi hao bandia oekee yao, bali pia waliowezesha huo uhalifu. Watendaji wa na mitaa , na watendaji wa kata, watengenezewe mazingira ya kutokalika kwenye maeneo waliyofanyia uovu. Wananchi wasikuli kamwe kuishi na waovu maeneo yao.
 
Mbona hueleweki kwanini umechagua Sasa njia mbaya ya kuwa coward? Au haujui ulichoandika.
Hio ilikua ni N:B

CCM FOR YEARS HUWA HAWAPENDI KUSIKIA/ KUAMBIWA UKWELI.

HII NCHI UKITAKA KUSEMA UKWELI UTAKANDAMIZWA,UTAUMIA, UTANUNULIWA,UTAKALIPIWA, UTAAMBIWA HAUNA MALEZI YA PANDE MBILI.

NA KUMPAMBANIA MTANZANIA NI KUJISUMBUA YAACHE YATESEKE MPAKA AKILI ZIWAKAE SAWA.

MTU ANAHOMGWA DOTI YA KANGA, T-SHIRT,POMBEKALI, NYAMA CHOMA NA PESA KIDUCHU NA ANAMCHAGUA MTU AMBAE HATO MTUMIKIA/ KIONGOZI ANAE TUMIKIA TUMBO LAKE.

NB.
MIMI NA HAKIKISHA FAMILIA YANGU / UKOO WANGU UNAISHI VYEMA NYINYI WENGINE ENDELEZENI MAPAMBANO SISI NGOJA TUJITENGE NA HIZI SIASA MAANA KUMPAMBANIA MITANZANIA UNAWAPAMBANIA WAPUMBAVU (MAJORITY YA WATANZANIA NI WAPUMBAVU)
 
Wakuu,

Baada ya purukushani na kuwepo kwa vitendo vya wizi na udanganyifu kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo amewahimiza wananchi kususia na kugomea viongozi wa Serikali za Mitaa waliochaguliwa

Zitto amesema kuwa hakuna haja ya wananchi kuzipa imani serikali na viongozi walioingia kwenye madaraka kwa njia ya udanganyifu.

============================================

Na hii ndo approach nzuri. Hamna kususia uchaguzi lakini unasusia viongozi waliochaguliwa. CHADEMA mjifunze hapa

View attachment 3165324
Safi Zitto Kabwe, shida yako tu uliondoka CDM.
 
Huyu naye hajitambui kuwa alishapuuuzwa na watanzania muda mrefu sana. Anapiga tu Makele kujifurahisha maana hakuna mtanzania mwenye akili Timamu anayeweza kumsikiliza huo ujinga. Huwezi ukapata barua ya utambulisho bila kupitia kwa mwenyekiti wa mtaa wako.huwezi ukaenda kwa mtendaji wa kata au mtaa au kijiji kupata huduma fulani bila kupitia kwa mwenyekiti wa mtaa kupata barua ya utambulisho. Huwezi pia kwenda kupata dhamana polisi au popote pale bila kuanzia huku kwa wenyeviti wa mitaa kupata barua za utambulisho.

Kwa ufupi ni kuwa huyo jamaa anajitekenya na kujichekesha Mwenyewe na wala hakuna wa kumsikiliza wala hata kumfuatilia ndio maana wananchi wanamdharau sanaaa.maana wanajua ni mnafiki ,kigeugeu,ndumila kuwili na mwenye matendo kama kinyonga.
Lucas ungejua kuwa u uchi wa mnyama, ungekumbilia nguo haraka,

Lakini Kwakuwa hulitambui Hilo, unaendelea tu kutembea Kwa madhabahu ilhali u uchi!
 
Siyo ofice tu, viongozi wapya wote wakose ushirikiano - kuanzia misiba, shughuli zote za kijamii, akija dukani usimuuzie kitu - yaani hadi wanyooke.

Vyama vya upinzani tafuteni viongozi wenu ili mfanye maemdeleo yenu kwa njia ya nguvu kazi na michango.
 
Huyu naye hajitambui kuwa alishapuuuzwa na watanzania muda mrefu sana. Anapiga tu Makele kujifurahisha maana hakuna mtanzania mwenye akili Timamu anayeweza kumsikiliza huo ujinga. Huwezi ukapata barua ya utambulisho bila kupitia kwa mwenyekiti wa mtaa wako.huwezi ukaenda kwa mtendaji wa kata au mtaa au kijiji kupata huduma fulani bila kupitia kwa mwenyekiti wa mtaa kupata barua ya utambulisho. Huwezi pia kwenda kupata dhamana polisi au popote pale bila kuanzia huku kwa wenyeviti wa mitaa kupata barua za utambulisho.

Kwa ufupi ni kuwa huyo jamaa anajitekenya na kujichekesha Mwenyewe na wala hakuna wa kumsikiliza wala hata kumfuatilia ndio maana wananchi wanamdharau sanaaa.maana wanajua ni mnafiki ,kigeugeu,ndumila kuwili na mwenye matendo kama kinyonga.
Dish lililocheza nalo limeona wasiojitambua? Kazi kwelikweli!
 
Back
Top Bottom