Zitto Kabwe, Tusamehe kwa kukuita Msaliti ulipotaka kumng'oa Mbowe

Zito bado ni Msaliti na usaliti uko katika mishipa ya damu yake
 
Ndio maana sijawahi kutamani kuwa mwana siasa...
 
Huenda Mbowe ni asset ya CCM toka zamani sema tulikuwa hatujamstukia tu
Kura zikiibwa alikuwa anasema tu "tumeibiwa kura" halafu anatulia zake kimyaaaa then next time under the same circumstances anaingiza chama kwenye uchaguzi. Huyu alikuwa ni sleeping agent wao sio bure!
 
Shughuli za Kitaifa anaweza kushiriki na wanachadema wenzie bila kulazimika kukaa meza moja na watesi waliomuita muuza unga, gaidi na wanaotaka kumnyonga mwenyekiti wake
Mnachukulia siasa very personal ndio maana nafsi zinawauma huku wenzenu wana enjoy maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…