Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Huyu bado mdogo ukilinganisha na akina Lukuviukishakuwa kiongozi wa chama ukastaafu halafu ukaanza kugombea ubunge naona ni kujishusha hadhi
Tusikubali kwa maneno pekee?
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akizungumza katika mkutano wa hadhara Mkoani Kigoma, leo Julai 2, 2025 amewataka Wananchi kutotoa nafasi nyingine ya miaka mitano kwa Bunge alilosema limeshindwa kuisimamia Serikali na kutetea maslahi ya Watu.
Ameyasema hayo katika Uwanja wa Uyui Sekondari ambapo ACT inaendelea na mikutano yake iliyopewa jina la Operesheni Majimaji
Huyu ana amini kutakuwa na uchaguzi chini ya sheria zilizopo??
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akizungumza katika mkutano wa hadhara Mkoani Kigoma, leo Julai 2, 2025 amewataka Wananchi kutotoa nafasi nyingine ya miaka mitano kwa Bunge alilosema limeshindwa kuisimamia Serikali na kutetea maslahi ya Watu.
Ameyasema hayo katika Uwanja wa Uyui Sekondari ambapo ACT inaendelea na mikutano yake iliyopewa jina la Operesheni Majimaji
Njaa na sijui anaongea kama nani katika hicho chamaukishakuwa kiongozi wa chama ukastaafu halafu ukaanza kugombea ubunge naona ni kujishusha hadhi
Naunga mkono hoja Watanzania tusiruhusu tena Bunge Kibogoyo dhaifu kama hili, lisilo na Meno, kukosa Kambi ya Upinzani na kushindwa kuisimamia Serikali kikamilifu!
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akizungumza katika mkutano wa hadhara Mkoani Kigoma, leo Julai 2, 2025 amewataka Wananchi kutotoa nafasi nyingine ya miaka mitano kwa Bunge alilosema limeshindwa kuisimamia Serikali na kutetea maslahi ya Watu.
Ameyasema hayo katika Uwanja wa Uyui Sekondari ambapo ACT inaendelea na mikutano yake iliyopewa jina la Operesheni Majimaji
Act NI ya zitto.ukishakuwa kiongozi wa chama ukastaafu halafu ukaanza kugombea ubunge naona ni kujishusha hadhi
Njaa haina bouncerukishakuwa kiongozi wa chama ukastaafu halafu ukaanza kugombea ubunge naona ni kujishusha hadhi
Too late, Mh. Mwijaku mze wa kuvua boksa hadharani kishachukua form kugombea jimbo la Zitto. Na huko mitaani anajidai kuwa atawala wabunge wa kuteuliwa kama njugu mpaka mkewe aombe poo.
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akizungumza katika mkutano wa hadhara Mkoani Kigoma, leo Julai 2, 2025 amewataka Wananchi kutotoa nafasi nyingine ya miaka mitano kwa Bunge alilosema limeshindwa kuisimamia Serikali na kutetea maslahi ya Watu.
Ameyasema hayo katika Uwanja wa Uyui Sekondari ambapo ACT inaendelea na mikutano yake iliyopewa jina la Operesheni Majimaji
Mkuu huyu yupo kitandani na chama tawala kama suria, ulifikiri atasema nini???Huyu ana amini kutakuwa na uchaguzi chini ya sheria zilizopo??
Anakosea sana