GE2025 Zitto Kabwe: Tusiruhusu Miaka mitano mingine ya Bunge kibogoyo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Roma Mkatoliki kwenye wimbo wake Paka na Panya kuna verse anasema yule panya buku wa kigoma huwa anawasaliti panya wenzake.
Zito ukienda kwenye uchaguzi na ukachezewa rough ulipige kelele. Vumilia tu maana mlishaonywa.
 
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akizungumza katika mkutano wa hadhara Mkoani Kigoma, leo Julai 2, 2025 amewataka Wananchi kutotoa nafasi nyingine ya miaka mitano kwa Bunge alilosema limeshindwa kuisimamia Serikali na kutetea maslahi ya Watu.

Ameyasema hayo katika Uwanja wa Uyui Sekondari ambapo ACT inaendelea na mikutano yake iliyopewa jina la Operesheni Majimaji
Bila marekebisho ya mfumo wa uchaguzi, (uchafuzi), bunge litabaki kibogoyo

NERNE-2025
No electroral reforms, 2025, No elections, 2025
 
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akizungumza katika mkutano wa hadhara Mkoani Kigoma, leo Julai 2, 2025 amewataka Wananchi kutotoa nafasi nyingine ya miaka mitano kwa Bunge alilosema limeshindwa kuisimamia Serikali na kutetea maslahi ya Watu.

Ameyasema hayo katika Uwanja wa Uyui Sekondari ambapo ACT inaendelea na mikutano yake iliyopewa jina la Operesheni Majimaji

Kwa hiyo anataka kusema kuwa 2024 waliruhusu.....!!?

ACT wanafanya hivi wakitegemea huruma ya CCM kuwagawia kidogo.
 
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akizungumza katika mkutano wa hadhara Mkoani Kigoma, leo Julai 2, 2025 amewataka Wananchi kutotoa nafasi nyingine ya miaka mitano kwa Bunge alilosema limeshindwa kuisimamia Serikali na kutetea maslahi ya Watu.

Ameyasema hayo katika Uwanja wa Uyui Sekondari ambapo ACT inaendelea na mikutano yake iliyopewa jina la Operesheni Majimaji
Kwa nini waliruhusu mwaka 2020 na sasa watafanya kuzuia hilo Bunge
 
..bila Reforms na wakishiriki uchaguzi basi kupata bunge kibogoyo ni guarantee.
Not necesarily, kuna kitu kinaitwa probability, hata bila ya reforms zozote, na tumeccm, policcm, bao la mkono, na figisu zote zile, bado Aida alipenya Nkasi!.

Kwenye urais 2025, TAL has all the comperative advantages over mgombea wa chama kubwa, nimemfanyia swot analysis take it from me japo hawezi kutinga ikulu, lakini angevuna kura za kutosha kuingiza wabunge 50 wa viti maalum!, kwa kusafiria upepo wa ki trampu-kamala!
1. Kete ya strength na weakness, TAL anachukua point zote tatu
2. Kete ya gender, kuna watu kibao ni male chouvenists, wanaimba tuu, “mama mama“, na “mitano tena“, lakini tukija kwenye kuchagua, kamwe hawachagui mwanamke hata iweje!.
3. Muslim extremists, hawawezi kuchagua rais mwanamke, wangetumia formular ya
"Kafiri akuufaye..." Wangempa TAL!.
4. Kwenye uwezo wa kujieleza, TAL anapiga knock out!.
5. Gen Zii, hawa ndio idadi kubwa ya wapiga kura, wangehamasishwa kujiandikisha na kujitoleza kupiga kura, hawa ndio walikuwa wanakuja kui vote out CCM!.
6. Mfumo Kristo, TAL ni Mkatoliki, TEC wangetoa waraka wa maandishi , kuwa Wakristu wote wajitokeze kwa wingi kushiriki uchaguzi lakini wawachague viongozi wacha Mungu, hakuna Mkatoliki wa kweli mwenye hofu ya Mungu wa ukweli anaweza kumchagua Muislamu na kumuacha Mkatoliki!.
Hizi zote ni comparative advantages za TAL over Sa100!.
Nimewashauri sana Chadema
- Pre GE2025 - Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!
Humo nilisema Hizi fursa za Chadema uchaguzi wa 2025 nimezitaja hapa.
  1. Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?
  2. Thamani Kuu ya Tundu Lissu ndani ya CHADEMA ni Ipi Kati ya Uwezo wa Uenyekiti wa chama au Uwezo wa kukipeleka chama Ikulu 2025 ?
  3. Je, Wajua? Wamarekani ni Wabaguzi wa Kichinichini. Wanaendekeza Mfumo Dume, Ubaguzi wa Jinsia, Racism na Kuwabagua Wahamiaji
  4. Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?
  5. Kiukweli wazungu ni wabaguzi Sana!, Sio tuu wanawabagua wanawake, bali hata Afrika, Sijui Wanatuona Kama Manyani?
  6. Kilichotokea Uchaguzi wa Marekani, kinaweza kutokea Uchaguzi 2025?. Tuyatumie matokeo yao kama shamba darasa la 2025 au wao ni wao, na sisi ni sisi
Kitendo cha Lissu kupigwa risasi 16 na akasurvive wakati risasi moja tuu inatosha kutoa uhai wa mtu, hamjajua tuu huu ni muujiza wa Mungu, kwasababu Lissu ni mpango wa Mungu kutaka kuonyesha amemponya kwa makusudi fulani, ili kuuonyeshea Utukufu wake kwa kulifanya lile jiwe lililokataliwa na waashi kulifanya kuwa jiwe kuu la pembeni!. Lissu anatakiwa kutimiza mapenzi ya Bwana, yatimizwe!.

Wenzangu hamjamuona Lissu anafanana fulani na Tirampu?hamuioni hii fursa?, TAL, Chadema, acheni ujinga changamkieni fursa
Do the right thing or else!.

Jipangeni

Paskali
 
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akizungumza katika mkutano wa hadhara Mkoani Kigoma, leo Julai 2, 2025 amewataka Wananchi kutotoa nafasi nyingine ya miaka mitano kwa Bunge alilosema limeshindwa kuisimamia Serikali na kutetea maslahi ya Watu.

Ameyasema hayo katika Uwanja wa Uyui Sekondari ambapo ACT inaendelea na mikutano yake iliyopewa jina la Operesheni Majimaji
2015 mlikuwepo Bungeni nini mlibadilisha? Mnakua kama wapiga kelele kwenye maamuzi hakuna mnachofanya mnataka muende tena mtuletee story zile zile bila mabadiliko ya mifumo na sheria mnapoteza muda nakuonesha dhamira yenu ya ubinafsi tu nakujali maslahi yenu yakuwa wabunge No reform No Election imekuja kuonesha nani mwenye nia ya dhati na nani kibaraka mana CDM wangetaka ubinafsi kama nyie wangeenda kwenye uchafuzi mnaotaka mabadiliko yanayopiganiwa ni ya vyama vyote sio kwa ajili yao utengenezwe uwanja sawa kama ACT ameshinda atangazwe kama CCM ameshinda Atangazwe na wengine pia

No Reform No Election agenda ya Taifa kwa wapenda Haki
 
Not necesarily, kuna kitu kinaitwa probability, hata bila ya reforms zozote, na tumeccm, policcm, bao la mkono, na figisu zote zile, bado Aida alipenya Nkasi!.

Kwenye urais 2025, TAL has all the comperative advantages over mgombea wa chama kubwa, nimemfanyia swot analysis take it from me japo hawezi kutinga ikulu, lakini angevuna kura za kutosha kuingiza wabunge 50 wa viti maalum!, kwa kusafiria upepo wa ki trampu-kamala!
1. Kete ya strength na weakness, TAL anachukua point zote tatu
2. Kete ya gender, kuna watu kibao ni male chouvenists, wanaimba tuu, “mama mama“, na “mitano tena“, lakini tukija kwenye kuchagua, kamwe hawachagui mwanamke hata iweje!.
3. Muslim extremists, hawawezi kuchagua rais mwanamke, wangetumia formular ya
"Kafiri akuufaye..." Wangempa TAL!.
4. Kwenye uwezo wa kujieleza, TAL anapiga knock out!.
5. Gen Zii, hawa ndio idadi kubwa ya wapiga kura, wangehamasishwa kujiandikisha na kujitoleza kupiga kura, hawa ndio walikuwa wanakuja kui vote out CCM!.
6. Mfumo Kristo, TAL ni Mkatoliki, TEC wangetoa waraka wa maandishi , kuwa Wakristu wote wajitokeze kwa wingi kushiriki uchaguzi lakini wawachague viongozi wacha Mungu, hakuna Mkatoliki wa kweli mwenye hofu ya Mungu wa ukweli anaweza kumchagua Muislamu na kumuacha Mkatoliki!.
Hizi zote ni comparative advantages za TAL over Sa100!.
Nimewashauri sana Chadema
- Pre GE2025 - Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!
Humo nilisema Hizi fursa za Chadema uchaguzi wa 2025 nimezitaja hapa.
  1. Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?
  2. Thamani Kuu ya Tundu Lissu ndani ya CHADEMA ni Ipi Kati ya Uwezo wa Uenyekiti wa chama au Uwezo wa kukipeleka chama Ikulu 2025 ?
  3. Je, Wajua? Wamarekani ni Wabaguzi wa Kichinichini. Wanaendekeza Mfumo Dume, Ubaguzi wa Jinsia, Racism na Kuwabagua Wahamiaji
  4. Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?
  5. Kiukweli wazungu ni wabaguzi Sana!, Sio tuu wanawabagua wanawake, bali hata Afrika, Sijui Wanatuona Kama Manyani?
  6. Kilichotokea Uchaguzi wa Marekani, kinaweza kutokea Uchaguzi 2025?. Tuyatumie matokeo yao kama shamba darasa la 2025 au wao ni wao, na sisi ni sisi
Kitendo cha Lissu kupigwa risasi 16 na akasurvive wakati risasi moja tuu inatosha kutoa uhai wa mtu, hamjajua tuu huu ni muujiza wa Mungu, kwasababu Lissu ni mpango wa Mungu kutaka kuonyesha amemponya kwa makusudi fulani, ili kuuonyeshea Utukufu wake kwa kulifanya lile jiwe lililokataliwa na waashi kulifanya kuwa jiwe kuu la pembeni!. Lissu anatakiwa kutimiza mapenzi ya Bwana, yatimizwe!.

Wenzangu hamjamuona Lissu anafanana fulani na Tirampu?hamuioni hii fursa?, TAL, Chadema, acheni ujinga changamkieni fursa
Do the right thing or else!.

Jipangeni

Paskali
Huu ni ulaghai sorry to say that, CDM wakashiriki wakapate mbunge mkoja je umeshahesabia wangapi walipoteza maisha? Wangapi walipotezwa? Wangapi walipata ulemavu? Na mbunge mmoja au hata 30 watasaidia nini kama wanachama wako hawana uhakika wa uhai wanapoenda kwenye uchaguzi? Na kwanini hamuelezi kiundani kinachowazuia masisiemu wenzenu kukataa mabadiliko kuruhusu uchaguzi huru na wa haki? Mnatumia nguvu kubwa kuishawishi CDM wakubali hivi hivi? Kama upo timamu unaambiwa demu au mshikaji amewaka lakini unataka kulazimishwa upige kavu kavu ile hali wewe unataka kuvaa mpira huyo anaekulazinisha nimuuaji kabisa hafai hata kidogo mbinafsi kabisa? Nendeni mkafanye uchaguzi wenyewe muendelee kutawala kama hiyo ndio raha yenu ili wananchi wenye mawazo mbadala waendelee kubaki salama mana hamtadumu nakuishi milele ni swala la muda na Mungu akiamua

No reform No Election
 
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akizungumza katika mkutano wa hadhara Mkoani Kigoma, leo Julai 2, 2025 amewataka Wananchi kutotoa nafasi nyingine ya miaka mitano kwa Bunge alilosema limeshindwa kuisimamia Serikali na kutetea maslahi ya Watu.

Ameyasema hayo katika Uwanja wa Uyui Sekondari ambapo ACT inaendelea na mikutano yake iliyopewa jina la Operesheni Majimaji
Kwani wananchi ndio waliruhusu bunge kibogoyo!!?
Zitto anajifanya hajui kuwa ni ubovu wa katiba ndio unatupa bunge kibogoyo!
 
Back
Top Bottom