Zitto Kabwe: Uzalendo bora ni ule wa kuikosoa Serikali kwa manufaa ya Taifa

Zitto Kabwe: Uzalendo bora ni ule wa kuikosoa Serikali kwa manufaa ya Taifa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Akihojiwa na Zuhura Yunus wa BBC nchini Uingereza Mbunge wa Kigoma Mh Zitto Kabwe amesema uzalendo sio kuitetea serikali bali kulipenda na kulitetea taifa.

Amesisitiza kuwa uzalendo bora ni ule wa kuikosoa serikali kwa manufaa ya taifa na kwamba yeye hajaomba Tanzania ifutiwe mkopo bali mkopo usitishwe hadi andiko litakapoboreshwa ili wanufaika wawe ni wasichana wote bila kujali walipata ujauzito ama la.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia

My take: Hii tafsiri ya Uzalendo iliyotolewa na Zitto ni sahihi?
 
Mhe, ZITO yupo sahihi kabisa kabisa. Tatizo ni kauli za Magufuli zenye sintofahamu nyingi.
 
Back
Top Bottom