johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbona amesalimu amri bwashee?!
Kwahiyo wanaoisifia serikali siyo wazalendo?!Tena ni zaidi ya SAHIHI.
Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Ndo maanake. We ulikuwa hujui?Kwahiyo wanaoisifia serikali siyo wazalendo?!
Amri ya mwenyekiti wa ccm kuhusu wanafunzi kupata mimba inatakiwa ifutwe ndiyo WB watoe mkopo full stop.Mbona amesalimu amri bwashee?!
Hajazuia mkopo bali ameomba maboresho ya andiko uwe unaelewa na wewe!
Wewe mwenye mapenzi mema umefanya nini cha maana ?Zitto aache unafiki hana mapenzi mema na taifa hili
Yeye amefanya nini cha maanaWewe mwenye mapenzi mema umefanya nini cha maana ?
Wasaka tonge...hujamuona mwenzio LugolaKwahiyo wanaoisifia serikali siyo wazalendo?!
NjooYeye amefanya nini cha maana