Zitto Kabwe: Vitabu nilivyosoma Mwaka 2022

Labda kama ni hobby tu, lakini huu usomaji wako haujawahi kukutofautisha na wasiosoma.

BTW:Wewe utaandika lini kitabu chako tukusome?
 
Vitabu vichache sana, japo vizuri,,.
Binafsi nilikuaga nasoma novel moja kubwa per 24 hours,, novel ndogo kama za james hadley chase namaliza ndani ya masaa7,
Kwahiyo nilikua naweza kusoma vitabu zaidi ya 200 kwa mwaka tangu niko form two,
Sijui kama hii rekodi yupo aliewahi kuiweka,
 
Mhe, Zitto kabwa watalaamu wanashauri tusome vitabu ili tuongee maarifa na busara katika kufikiria mambo ..... Sasa kwa imekaaje ili Hali unasoma vitubu vingi ila bado upo kwenye fikra zilezile za mwanzo,
Nilitegemea uje na potential benefits za izo vitabu ulivyo visoma na zikiwa na impact kwenye jamii amboyo bado ni maskini wa kutupwa ... Kama kiongozi mkubwa tu kwenye siasa za nchi hii
Anyway endelea kusomga kama sehemu ya kujifuraisha mwenyewe ..,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesoma wewe inatusaidia nini sisi?
 
Katika mwaka mmoja, Zito amesoma karibu vitabu 36, ambapo ni karibu wastani wa vitabu vitatu kila mwezi.

Pamoja na kuelewa kusoma ni jambo zuri, sasa nimeelewa kwa nini ACT Wazalendo wanalalamika Zitto hana muda wa kujihusisha na siasa au kukosoa serikali inapofanya madudu. Yuko busy anasoma vitabu!
 
ulisoma kwanza hiki ulichokiandika? ulikielewa?
 
Kama wasomaji wa vitabu wapo hivi, tujikite kwenye magazeti ya udaku tu🤨
 
Swali mkuu ZZK, nauliza swali hili kwa nia njema kabisa kutaka kujua kitu fulani..

Unaweza kutuambia ACT Wazalendo wanakulipa mshahara kiasi gani kwa cheo au majukumu uliyo nayo hapo?...

Nje ya kazi yako ya ACT Wazalendo unafanya kazi gani nyingine kukuongezea kipato?
 
Unaweza pia kutuambia unatumia muda gani kusoma kila kitabu, ni vyema ukatuambia kwa vitabu hivi ulivyosoma kila moja umetumia muda gani?
 
Makasiriko kama yote. Hongera ZZK, mimi nimekuwa mvivu nimesoma vitabu vinne tu mwaka mzima. Mwakani nitajitahidi nisome at least 12 books.
 
Du!! Wananchi wa humu wana hasira na wewe vipi mbona hujibu chochote? Au umetoka nduki. Je huwezi kubadilika ili uendane na matakwa ya jamiii? Au ndio umeshajifungia vioo husikii la muhazini wala la mnadi swala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…