Zitto Kabwe: Vitabu nilivyosoma Mwaka 2022

Apandishe mizmu ya yule mama yake mwanga
Huyu mshenzi toka alipomtukana kipenzi cha wengi, marehemu John ndio nikajua ni mwendawazimu…hata vitabu anasoma ni kutokana na waandishi na maandishi kupendwa na wengi, sauti ya wengi ni ya Mungu… mchawi tu huyo mwamba…
 
Mungu akujalie uzima ndg Zuberi Ztto. Achana na hawa wasiopenda wengine wawe juu. Chuki humu jamii forum ni kubwa. Kuna watu hata wakifanya njema humu ndani watasingina tu. Lakini kwa watu wanajua siasa wewe ni miongoni mwao. Mrengo wako ni wa kati penye kusema ukweli unasema ukweli na penye kutoa kasoro unatoa na kwa hoja sio personal attackings.
Ulivyoingia kwa siasa ulihamasisha vijana kupenda siasa 2005.
Kuna watu wanataka uwe adui na watu wengine hawataki kabisa wakuone uko na akina makamba hata mkipiga story. Siasa sio vita ishi hivo hivo achana na fkra za baadhi za watu humu.
 
Naona huu uzi ni wa kijivuni tu na show off. Kwenye kundi la vijana wengi wanaosota mtaani bila ajira na hata wenye ajira vipato havitoshi halafu anatokea mpenda sifa Zitto na kudai "huwa ninasafiri na familia yangu kwenda nchi fulani"..... huu ni ukenge maji. Huko Mwandiga kunanuka umaskini lakini mbunge unajimwambafai kipuuzi. Kuna watu huwa wanaenda Ulaya kutazama tu mechi na kurudi ila huwezi kabisa kujua.
 
Du!! Wananchi wa humu wana hasira na wewe vipi mbona hujibu chochote? Au umetoka nduki. Je huwezi kubadilika ili uendane na matakwa ya jamiii? Au ndio umeshajifungia vioo husikii la muhazini wala la mnadi swala.
Siyo tabia yake kujibu maswali ama hoja kwenye uzi wake.

Kwa hiyo, utulie.
 
Bwana Zitto mimi wajibu wangu pendwa ni kukupatia ujumbe huu hapa,hayo mengine yakae pembeni kwanza😁😁😁
 
Mwaka huu unaomalizika 2022 nimebahatika kusoma vitabu mbalimbali 33 (2021:29, 2020:16, 2019:34). Ulikuwa mwaka mzuri kwa usomaji vitabu na pia mwaka ambao nilibahatika kupata zawadi nyingi za vitabu kutoka kwa marafiki zangu na ndugu zangu.

Nitaanza mwaka 2023, Mungu akijaalia kuvuka salama, nikiwa na karibu dazeni ya vitabu ambavyo sijasoma. Kama nilivyofanya mwaka jana, kutoka orodha ya mwaka huu nimeshatoa orodha ya vitabu 10 ninavyopendekeza watu kuvisoma mwaka ujao kama hawajavisoma.

Vitabu nilivyosoma mwaka huu kwa makundi mbalimbali ni kama ifuatavyo;

Riwaya
  • Magic of Saida – MG Vassanji
  • I am Semba – Ajeka&Fox
  • The Book of Secrets – MG Vassanji
  • The House of Rust – Khadija Abdallah Bajaber
  • Mtumwa kwenye Nchi Huru – Elizabeth Mramba
  • A Line In The River: Khartoum City of Memory – Jamal Mahjoub
  • We are all Birds of Uganda – Hafsa Zayyan
  • The In-Between World of Vikram Lall – MG Vassanji
  • Next In Line – Jeffrey Archer
  • Tea with Ms. Tanzania – Fayyaz Vellani
  • The Shadow King – Maaza Mengiste
Wasifu/Tawasifu
  • The Chancellor: The Remarkable Odyssey of Angela Merkel – Kati Marton
  • Njinga of Angola: Africa’s Warrior Queen – Linda M. Heywood
  • The Prime Ministers We Never Had: Success and Failure from Butler to Corbyn – Steve Richards
  • 38 Reflections on Mwalimu Nyerere – Ed. Mark Mwandosya and Juma V Mwapachu
  • Hani: A life too short – Janet Smith and Beauregard Tromp
  • Juhudi na Changamoto – Sheikh Ponda Issa Ponda
  • The Bhutto Dynasty: The Struggle for Power in Pakistan – Owen Bennett-Jones
  • Maisha Yangu – Khamis Abdallah Ameir
  • Revolution in Zanzibar: An American’s Cold War Tale – Don Petterson
  • The Tanganyika Way: A personal Story of Tanganyika’s Growth to Independence – Sophia Mustafa
Nchi ya mwaka, India
  • Indian Summer: The Secret History of the End of an Empire – Alex Von Tunzelm
  • Pride, Prejudice and Punditry: The Essential – Shashi Tharoor
  • Mamata Beyond 2021 – Jayanta Ghosal
  • The Rise of The BJP: The Making of the World’s Largest Political Party – Bhupender Yadav and Ila Patnak
  • India in a New Key: Nehru to Modi, 75 years of freedom and democracy – Narain D. Batra
Mchanganyiko
  • Time for Socialism – Thomas Piketty
  • Capturing Hope: The Struggle Continues for a New Malaysia – Mahathir Mohamed
  • Final Reckoning: An Insider’s View of the Fall of Malaysia’s Barisan Nasional Government – Romen Bose
  • The World for Sale: Money, Power and the Traders Who Barter the Earth’s Resources – Javier Blas and Jack Farchy
  • Sudan’s Unfinished Democracy: The Promise and Betrayal of a People Revolution – Willow Berridge, Justin Lynch, Raga Makawi and Alex De Waal
  • From Rebel to Ruler: One Hundred Years of the Chinese Communist Party – Tony Saich
  • Borderland: A Journey Through the History of Ukraine – Anna Reid
Heri ya mwaka mpya 2023

23/12/2022

ILANI: Kila mwaka, nikibahatika na kujaaliwa, huwa ninasafiri pamoja na familia yangu. Kwa muda sasa nchi ninayotembelea huchomoza kupitia vitabu nilivyosoma mwaka huo. Mwaka huu nimeamua kuweka kundi la Nchi ya Mwaka ili kuonyesha vitabu nilivyosoma kuhusu nchi husika. Mwaka 2022 ilikuwa India (Rwanda 2021).
Haitusaidii chochote sisi wana Mwandiga
 
Zitto sio chawa ila anatamani sana mabadiliko kiasi cha kuamini akijirahisisha kwao wenye nguvu huruma inaweza kuwajia na kupata angalau nusu mkate.
Mbona Zitto kasoma hivyo vitabu na hatofautiani na baba levo kwa uchawa
 
Zitto sio chawa ila anatamani sana mabadiliko kiasi cha kuamini akijirahisisha kwao wenye nguvu huruma inaweza kuwajia na kupata angalau nusu mkate.
Zzk ni zaidi ya chawa
 
Swali mkuu ZZK, nauliza swali hili kwa nia njema kabisa kutaka kujua kitu fulani..

Unaweza kutuambia ACT Wazalendo wanakulipa mshahara kiasi gani kwa cheo au majukumu uliyo nayo hapo?...

Nje ya kazi yako ya ACT Wazalendo unafanya kazi gani nyingine kukuongezea kipato?
Subiria majibu

Akikijibu uni tag

Ova
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Sisi inatuhusu nini sasa!!
 
Sisi wengine hatuna muda wakusoma vitabu tuko bize na ugumu wa maisha Hongera sana RUYAGWA
 
Nadhani angefanya personal tu. Kutangazia watu vitabu ulivyosoma ambavyo hakuna ushahidi wa kuthibitisha ni kujionesha.
Kweli..walau kwenye hotuba zake angekuwa akiweka rejea za vitabu alivyosoma la sivyo vinaweza kuwa 5, 10, 100 au hata 1,000 kwetu sie ni titles na numbers tu!!
 
Zitto ni mzalendo anayeipenda Tanzania zadi kuliko maslahi yake binafsi, tatizo huenda ni njia anazochagua kufikia malengo yake ya kisiasa.
Zzk ni zaidi ya chawa
 
Zitto pia ni realist zaidi kuliko idealist. Anafahamu ni kipi kinawezekana kwa mazingira yapi na wakati upi wa kisiasa na aina ya raia wengi wa nchi hii walivyo.
 
Mwaka huu unaomalizika 2022 nimebahatika kusoma vitabu mbalimbali 33 (2021:29, 2020:16, 2019:34). Ulikuwa mwaka mzuri kwa usomaji vitabu na pia mwaka ambao nilibahatika kupata zawadi nyingi za vitabu kutoka kwa marafiki zangu na ndugu zangu.

Nitaanza mwaka 2023, Mungu akijaalia kuvuka salama, nikiwa na karibu dazeni ya vitabu ambavyo sijasoma. Kama nilivyofanya mwaka jana, kutoka orodha ya mwaka huu nimeshatoa orodha ya vitabu 10 ninavyopendekeza watu kuvisoma mwaka ujao kama hawajavisoma.

Vitabu nilivyosoma mwaka huu kwa makundi mbalimbali ni kama ifuatavyo;

Riwaya
  • Magic of Saida – MG Vassanji
  • I am Semba – Ajeka&Fox
  • The Book of Secrets – MG Vassanji
  • The House of Rust – Khadija Abdallah Bajaber
  • Mtumwa kwenye Nchi Huru – Elizabeth Mramba
  • A Line In The River: Khartoum City of Memory – Jamal Mahjoub
  • We are all Birds of Uganda – Hafsa Zayyan
  • The In-Between World of Vikram Lall – MG Vassanji
  • Next In Line – Jeffrey Archer
  • Tea with Ms. Tanzania – Fayyaz Vellani
  • The Shadow King – Maaza Mengiste
Wasifu/Tawasifu
  • The Chancellor: The Remarkable Odyssey of Angela Merkel – Kati Marton
  • Njinga of Angola: Africa’s Warrior Queen – Linda M. Heywood
  • The Prime Ministers We Never Had: Success and Failure from Butler to Corbyn – Steve Richards
  • 38 Reflections on Mwalimu Nyerere – Ed. Mark Mwandosya and Juma V Mwapachu
  • Hani: A life too short – Janet Smith and Beauregard Tromp
  • Juhudi na Changamoto – Sheikh Ponda Issa Ponda
  • The Bhutto Dynasty: The Struggle for Power in Pakistan – Owen Bennett-Jones
  • Maisha Yangu – Khamis Abdallah Ameir
  • Revolution in Zanzibar: An American’s Cold War Tale – Don Petterson
  • The Tanganyika Way: A personal Story of Tanganyika’s Growth to Independence – Sophia Mustafa
Nchi ya mwaka, India
  • Indian Summer: The Secret History of the End of an Empire – Alex Von Tunzelm
  • Pride, Prejudice and Punditry: The Essential – Shashi Tharoor
  • Mamata Beyond 2021 – Jayanta Ghosal
  • The Rise of The BJP: The Making of the World’s Largest Political Party – Bhupender Yadav and Ila Patnak
  • India in a New Key: Nehru to Modi, 75 years of freedom and democracy – Narain D. Batra
Mchanganyiko
  • Time for Socialism – Thomas Piketty
  • Capturing Hope: The Struggle Continues for a New Malaysia – Mahathir Mohamed
  • Final Reckoning: An Insider’s View of the Fall of Malaysia’s Barisan Nasional Government – Romen Bose
  • The World for Sale: Money, Power and the Traders Who Barter the Earth’s Resources – Javier Blas and Jack Farchy
  • Sudan’s Unfinished Democracy: The Promise and Betrayal of a People Revolution – Willow Berridge, Justin Lynch, Raga Makawi and Alex De Waal
  • From Rebel to Ruler: One Hundred Years of the Chinese Communist Party – Tony Saich
  • Borderland: A Journey Through the History of Ukraine – Anna Reid
Heri ya mwaka mpya 2023

23/12/2022

ILANI: Kila mwaka, nikibahatika na kujaaliwa, huwa ninasafiri pamoja na familia yangu. Kwa muda sasa nchi ninayotembelea huchomoza kupitia vitabu nilivyosoma mwaka huo. Mwaka huu nimeamua kuweka kundi la Nchi ya Mwaka ili kuonyesha vitabu nilivyosoma kuhusu nchi husika. Mwaka 2022 ilikuwa India (Rwanda 2021).

Vitabu unavyosoma vinatusaidia nini,,endelea kulamba asali
 
Unaweza kusema Mbowe analamba asali kama mataga wanavyodai?
Mataga kazi yao ni kuharibu ili waendelee kuuza umbea na kwa kufanya hivyo wanajipatia mkate wao wa kila siku
 
Mla rushwa, mdini, muuaji, mfitini, mjahidina, muongo, mzinzi, mnafiki, mlevi, mchawi, chawa chawa, jambazi, mwizi, roho mbaya, n.k.
 
Siasa za udalali

Udini

Chuki

Undumilakuwili.

Hivyo vitabu kusoma kote sijawahi Ona impact yake.

Hio knowledge huwa unaiapply wapi!?

Ushawahi kuona mjamaa anazurura kwa mabeberu.

"Usiwaamini wanasiasa..." -zitto kabwe
 
Back
Top Bottom