Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
We ni mchaga bila shaka?na hapa ni mbege ndio zinakuongozaZitto ni mnafiki na shetani mkubwa, CHADEMA wanazo mpaka taarifa za Zitto akichonga na maafisa wa serikali kuhakisha kesi inayomkabili Mbowe iishie kwa Mbowe kufungwa kimahakama. Ushahidi upo.
Pia Zitto aache uongo, Mbowe hajamtuma mtu mwingine yoyote kumtafutia msamaha wa kutoka jela. Mambo yote ya Mbowe yanasemewa na yeye mwenyewe Mbowe, Familia yake, Viongozi wa Chadema au Mawakili wake, na wote hao wamekuwa na msimamo unaofanana.
Zitto aiche Chadema na mambo yake, aendelee na siasa zake za kuilamba viatu CCM na serikali ya Mama Samia.
YEYE AMEFANYA juhudi gani binafsi za (KUONDOA UKURUTU USONI) MWAKE ???🤣🙄😶Zitto kabwe kiongozi wa chama cha ACT wazalendo amewambia wahariri wa vyombo vya habari kuwa amefanya sana jitihada kumtoa Mbowe Jela na Mbowe mwenyewe alibariki jitihada za Zitto kupambana kumtoa Jela
Zitto anasema kuwa chadema wanamuona Mbowe kama mwenyekiti yeye ana muona kama kaka yake ambaye yuko gerezani!
Zitto ametaka wahariri wawatafute viongozi wa chadema wawaulize wamefanya jitihada gani kumtoa Mbowe Jela?
My opinion!
Zitto anaona wazi kuwa njia ya Chadema kutumia mahakama kumpambania Mbowe aiwezi zaa matunda kamwe na ana hakika haitozaa na ndio maana anaona njia ya kumuombea msamha kwa Rais ndio njia bora na anawaona chadema hawafanyi lolote liwezekanalo kumtoa Mbowe!
Zitto anaona Mbowe amefanya kosa tofauti na sisi tunavyo ona? Zitto anajua zaidi kuzidi sisi?
Zitto anawezaje kujitenga na hoja ya kutaka kutumika na CCM kama daraja la kumtafutia Rais umaarufu....kwa kutengeneza tatizo na kulitatua na kujipigia makofi?
Zitto ni kweli anaamini Mbowe ni gaidi?
View attachment 2110118
I am ur big fan[emoji91][emoji91]Zitto ni mnafiki na shetani mkubwa, CHADEMA wanazo mpaka taarifa za Zitto akichonga na maafisa wa serikali kuhakisha kesi inayomkabili Mbowe iishie kwa Mbowe kufungwa kimahakama. Ushahidi upo.
Pia Zitto aache uongo, Mbowe hajamtuma mtu mwingine yoyote kumtafutia msamaha wa kutoka jela. Mambo yote ya Mbowe yanasemewa na yeye mwenyewe Mbowe, Familia yake, Viongozi wa Chadema au Mawakili wake, na wote hao wamekuwa na msimamo unaofanana.
Zitto aiche Chadema na mambo yake, aendelee na siasa zake za kuilamba viatu CCM na serikali ya Mama Samia.
Na visunza[emoji23][emoji23]YEYE AMEFANYA juhudi gani binafsi za (KUONDOA UKURUTU USONI) MWAKE ???[emoji1787][emoji849][emoji55]
Apeleke tu unafiki wake kule. Yeye anataka avujishiwe mikakati ili afanye nini? Yeye si asubiri aone kama mbowe atatoka au hatoki?Zitto kabwe kiongozi wa chama cha ACT wazalendo amewambia wahariri wa vyombo vya habari kuwa amefanya sana jitihada kumtoa Mbowe Jela na Mbowe mwenyewe alibariki jitihada za Zitto kupambana kumtoa Jela
Zitto anasema kuwa chadema wanamuona Mbowe kama mwenyekiti yeye ana muona kama kaka yake ambaye yuko gerezani!
Zitto ametaka wahariri wawatafute viongozi wa chadema wawaulize wamefanya jitihada gani kumtoa Mbowe Jela?
My opinion!
Zitto anaona wazi kuwa njia ya Chadema kutumia mahakama kumpambania Mbowe aiwezi zaa matunda kamwe na ana hakika haitozaa na ndio maana anaona njia ya kumuombea msamha kwa Rais ndio njia bora na anawaona chadema hawafanyi lolote liwezekanalo kumtoa Mbowe!
Zitto anaona Mbowe amefanya kosa tofauti na sisi tunavyo ona? Zitto anajua zaidi kuzidi sisi?
Zitto anawezaje kujitenga na hoja ya kutaka kutumika na CCM kama daraja la kumtafutia Rais umaarufu....kwa kutengeneza tatizo na kulitatua na kujipigia makofi?
Zitto ni kweli anaamini Mbowe ni gaidi?
View attachment 2110118
Aisee😬😬hujafa hujaumbikaYEYE AMEFANYA juhudi gani binafsi za (KUONDOA UKURUTU USONI) MWAKE ???🤣🙄😶
Unategemea uheshimike Kwa kuendekeza upumbavu?We ni mchaga bila shaka?na hapa ni mbege ndio zinakuongoza
Aisee hili lipo kweli kama ulivyosema?Zitto ni mnafiki na shetani mkubwa, CHADEMA wanazo mpaka taarifa za Zitto akichonga na maafisa wa serikali kuhakisha kesi inayomkabili Mbowe iishie kwa Mbowe kufungwa kimahakama. Ushahidi upo.
Pia Zitto aache uongo, Mbowe hajamtuma mtu mwingine yoyote kumtafutia msamaha wa kutoka jela. Mambo yote ya Mbowe yanasemewa na yeye mwenyewe Mbowe, Familia yake, Viongozi wa Chadema au Mawakili wake, na wote hao wamekuwa na msimamo unaofanana.
Zitto aiche Chadema na mambo yake, aendelee na siasa zake za kuilamba viatu CCM na serikali ya Mama Samia.
Sisi chadema tunataka mbowe akae jela hadi siku tukishinda kesi,, hatuna haraka hata kesi ikichukua miaka 10,sawa tu [emoji1745]Zitto kabwe kiongozi wa chama cha ACT wazalendo amewambia wahariri wa vyombo vya habari kuwa amefanya sana jitihada kumtoa Mbowe Jela na Mbowe mwenyewe alibariki jitihada za Zitto kupambana kumtoa Jela
Zitto anasema kuwa chadema wanamuona Mbowe kama mwenyekiti yeye ana muona kama kaka yake ambaye yuko gerezani!
Zitto ametaka wahariri wawatafute viongozi wa chadema wawaulize wamefanya jitihada gani kumtoa Mbowe Jela?
My opinion!
Zitto anaona wazi kuwa njia ya Chadema kutumia mahakama kumpambania Mbowe aiwezi zaa matunda kamwe na ana hakika haitozaa na ndio maana anaona njia ya kumuombea msamha kwa Rais ndio njia bora na anawaona chadema hawafanyi lolote liwezekanalo kumtoa Mbowe!
Zitto anaona Mbowe amefanya kosa tofauti na sisi tunavyo ona? Zitto anajua zaidi kuzidi sisi?
Zitto anawezaje kujitenga na hoja ya kutaka kutumika na CCM kama daraja la kumtafutia Rais umaarufu....kwa kutengeneza tatizo na kulitatua na kujipigia makofi?
Zitto ni kweli anaamini Mbowe ni gaidi?
View attachment 2110118
Kuna jambo moja nina uhakika nalo..wengi wanamzungumzia ZZK kiushabiki....Zitto anajua kijacho! Anajaribu kunusuru jahazi..unfortunately hapewi support! Muda ni daktari mzuri sana!Kama ni kweli Zitto Kabwe anaweza kumtoa Mbowe jela basi kama taifa hatuna utawala wa sheria!
Huu ujinga hata Nelson mandela sijui kwanini alimkubalia kufanya maxungumzo na serikali aachiwe baada ya kufungwa jela,Kwani Rais anaruhusiwa kuingilia uhuru wa mahakama? Au hao chadema wana ruhusa ya kuingilia uhuru wa mahakama?
Labda kuna ambalo hatulifahamu na ingekua vizuri kama bwana Zitto angetufahamisha
Nadhani yeye binafsi ni mfuasi wa rais Samia.Zitto kabwe kiongozi wa chama cha ACT wazalendo amewambia wahariri wa vyombo vya habari kuwa amefanya sana jitihada kumtoa Mbowe Jela na Mbowe mwenyewe alibariki jitihada za Zitto kupambana kumtoa Jela
Zitto anasema kuwa chadema wanamuona Mbowe kama mwenyekiti yeye ana muona kama kaka yake ambaye yuko gerezani!
Zitto ametaka wahariri wawatafute viongozi wa chadema wawaulize wamefanya jitihada gani kumtoa Mbowe Jela?
My opinion!
Zitto anaona wazi kuwa njia ya Chadema kutumia mahakama kumpambania Mbowe aiwezi zaa matunda kamwe na ana hakika haitozaa na ndio maana anaona njia ya kumuombea msamha kwa Rais ndio njia bora na anawaona chadema hawafanyi lolote liwezekanalo kumtoa Mbowe!
Zitto anaona Mbowe amefanya kosa tofauti na sisi tunavyo ona? Zitto anajua zaidi kuzidi sisi?
Zitto anawezaje kujitenga na hoja ya kutaka kutumika na CCM kama daraja la kumtafutia Rais umaarufu....kwa kutengeneza tatizo na kulitatua na kujipigia makofi?
Zitto ni kweli anaamini Mbowe ni gaidi?
View attachment 2110118
Zitto anatafuta umaarufu kupitia jina la mbowe.Zitto kabwe kiongozi wa chama cha ACT wazalendo amewambia wahariri wa vyombo vya habari kuwa amefanya sana jitihada kumtoa Mbowe Jela na Mbowe mwenyewe alibariki jitihada za Zitto kupambana kumtoa Jela
Zitto anasema kuwa chadema wanamuona Mbowe kama mwenyekiti yeye ana muona kama kaka yake ambaye yuko gerezani!
Zitto ametaka wahariri wawatafute viongozi wa chadema wawaulize wamefanya jitihada gani kumtoa Mbowe Jela?
My opinion!
Zitto anaona wazi kuwa njia ya Chadema kutumia mahakama kumpambania Mbowe aiwezi zaa matunda kamwe na ana hakika haitozaa na ndio maana anaona njia ya kumuombea msamha kwa Rais ndio njia bora na anawaona chadema hawafanyi lolote liwezekanalo kumtoa Mbowe!
Zitto anaona Mbowe amefanya kosa tofauti na sisi tunavyo ona? Zitto anajua zaidi kuzidi sisi?
Zitto anawezaje kujitenga na hoja ya kutaka kutumika na CCM kama daraja la kumtafutia Rais umaarufu....kwa kutengeneza tatizo na kulitatua na kujipigia makofi?
Zitto ni kweli anaamini Mbowe ni gaidi?
View attachment 2110118
Mara pap, Mbowe anasujudu mbele ya Mfalme, nimekosa mimi nimekosa sana ee mfalme nihurumie.Zitto kabwe kiongozi wa chama cha ACT wazalendo amewambia wahariri wa vyombo vya habari kuwa amefanya sana jitihada kumtoa Mbowe Jela na Mbowe mwenyewe alibariki jitihada za Zitto kupambana kumtoa Jela
Zitto anasema kuwa chadema wanamuona Mbowe kama mwenyekiti yeye ana muona kama kaka yake ambaye yuko gerezani!
Zitto ametaka wahariri wawatafute viongozi wa chadema wawaulize wamefanya jitihada gani kumtoa Mbowe Jela?
My opinion!
Zitto anaona wazi kuwa njia ya Chadema kutumia mahakama kumpambania Mbowe aiwezi zaa matunda kamwe na ana hakika haitozaa na ndio maana anaona njia ya kumuombea msamha kwa Rais ndio njia bora na anawaona chadema hawafanyi lolote liwezekanalo kumtoa Mbowe!
Zitto anaona Mbowe amefanya kosa tofauti na sisi tunavyo ona? Zitto anajua zaidi kuzidi sisi?
Zitto anawezaje kujitenga na hoja ya kutaka kutumika na CCM kama daraja la kumtafutia Rais umaarufu....kwa kutengeneza tatizo na kulitatua na kujipigia makofi?
Zitto ni kweli anaamini Mbowe ni gaidi?
View attachment 2110118
Mkuu acha kumzushia Zitto uongo....huku ni kumchonganisha na wafuasi wa CDM.Zitto ni mnafiki na shetani mkubwa, CHADEMA wanazo mpaka taarifa za Zitto akichonga na maafisa wa serikali kuhakisha kesi inayomkabili Mbowe iishie kwa Mbowe kufungwa kimahakama. Ushahidi upo.