Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Yeye mwenyewe ni kada wa CCMNi bora kuishi na mchawi kuliko kuishi na mnafiki kama Zitto ! Muulize Zitto Kabwe atashiriki uchaguzi ujao na tume hii hii na hawa wakurugenzi?
Hasimamii uchaguziYeye mwenyewe ni kada wa CCM
Yeye sio kada pia?Zitto Kabwe amesema kuwa
''Katika marekebisho ya sheria za uchaguzi Serikali imebakiza wakurugenzi wa halmashauri kuwa wasimamizi wa uchaguzi kitu ambacho nadhani si sahihi kwa sababu wakurugenzi wengi wa halmashauri ni makada wa CCM hawawezi kutenda haki, kwahiyo hili ni eneo ambalo tutalipigania kwenye kamati za Bunge kuwaondoa wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi"
Uchaguzi hata Wakala wa mgombea anasimamia au ulikuwa hujuiHasimamii uchaguzi
Yeye ameshasema atashiriki hata iweje. Anajua huko ccm aliyekuwa hamtaki ni Magufuli tu, hao wanaccm wenzake wengine Hana shida nao, kama wao wasivyo na shida na yeye. Ameshaahidiwa ubunge wake, hivyo Hana sababu ya kutoshiriki. Na hakuna kitu Zito anasikia raha kama wanaccm wakimpamba kuwa ana siasa za kistaarabu.Ni bora kuishi na mchawi kuliko kuishi na mnafiki kama Zitto ! Muulize Zitto Kabwe atashiriki uchaguzi ujao na tume hii hii na hawa wakurugenzi?
Kama anazani si sawa mwambie sisi tunazani ni sawa. Ni mwendo wa kuzani mpaka akiliiwakaeZitto Kabwe amesema kuwa
''Katika marekebisho ya sheria za uchaguzi Serikali imebakiza wakurugenzi wa halmashauri kuwa wasimamizi wa uchaguzi kitu ambacho nadhani si sahihi kwa sababu wakurugenzi wengi wa halmashauri ni makada wa CCM hawawezi kutenda haki, kwahiyo hili ni eneo ambalo tutalipigania kwenye kamati za Bunge kuwaondoa wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi"
Kweli kabisaUchaguzi bila Tume huru na katiba mpya ambao mtashiriki mungu awaongoze.